nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Hayo manini?Ndiyo Hayo Sasa Hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo manini?Ndiyo Hayo Sasa Hivi
Mbona walinzi bado anao wengi tu... Na huko anakoenda kwenye hiyo picha ana miadi na wengine!Haitaji tena ulinzi, wametolewa na kupangiwa majukumu mengine
Majukumu Ya Kuzurura Ya BashiteHayo manini?
Wewe unaumia nini akizurura kutafuta rizikiMajukumu Ya Kuzurura Ya Bashite
Thibitisha kauli yako alihusika na mauji yapi? Lini na wapi?Kwanza afikishwe mahakamani na kujibu tuhuma mbali mbali zikiwemo za maiaji na kutesa watu
Mbona hayuko peke yake? Hapo ni nyumbani kwa mganga wake, mguse kama haukunata.Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).
Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.
Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!
Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!
Wakati ukutaView attachment 2082013
Cc: Lemutuz
Ben saa8Thibitisha kauli yako alihusika na mauji yapi? Lini na wapi?
Mateso ya mkatoliki roma + kumtesa, kupora mali za manji+……..,,,+Thibitisha kauli yako alihusika na mauji yapi? Lini na wapi?
Si kweli..Mateso ya mkatoliki roma + kumtesa, kupora za manji+
Hahha thibitishaBen saa8
Simo [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji3]
Mlikuwa mnasema hivyo hivyo kwa sabaya na mwisho wa siku ukweli umesimama japo kidogo tuuHahha thibitisha
Hakuna kitu kama hicho lete video makonda akiwaua hao uliowataja?Mlikuwa mnasema hivyo hivyo kwa sabaya…..
Basi kashuka kiwango maana alikuwa ana importWengine wanasema eti anasaka waganga
Laana huwa haifi bali hukua na ikikomaa huzaa visasi na mapoozaLAANA ya WARIOBA hii hapaaaView attachment 2082048
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Maelezo yako hayo marefu lakini hakuna mahali ulipoeleza makosa hasa ya makonda aliyofanya!Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).