Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

wapo sana ila wamegundua mungu wa sasa Ana wivu sana asijewageuza mashetani
 
Ndama, Msofe wako jela - Misifa anamlalamikia Mavoko kamdhulumu hela zake ?
 
Ninakunywa COKE BASHITE(Zamani COKE ZERO)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina uhakika.kama tembo akikonda atakuwa kama mbuzi.namba zinasomeka kwa masikini.
 
Aliebaki Anatetemesha Dunia Katika Wote Hao Ni Jack Pemba.Kwa Sasa Kajituliza Uganda Anatapanya Mifweza Huku Familia Yake Wanakufa Njaa Bongo.
 
Ndama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu
Bila kumsahau PDG Jack Pemba , mwingine yuko mbeya anaitwa PDG Amos Makalla .
 
MATAPELI WAKO WAPI...............KAMA PAPA MUSOFE, NDAMA TOTO YA NG'OMBE, HUSSEN MAKABURETA, MUDY KIZAIZAI..........
 
Ndama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu
Huyo chief kiumbe ndo kaisha kabisa
 
Back
Top Bottom