HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
wapo sana ila wamegundua mungu wa sasa Ana wivu sana asijewageuza mashetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mutoto ya mutu mukubwa.kuna pedeshee BASHITE aka faa faa faa
Mambo ya pale Casa au wanaita Masters[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Pedeshee Amos Makala
Inabidi kuangalia suala la chakula bora DodomaTumulize lemutuz yeye ndy alikuwa naooo mapedeshe
Ova
Msofe hakutoka ?Ndama, Msofe wako jela - Misifa anamlalamikia Mavoko kamdhulumu hela zake ?
Sina uhakika - Kama katoka labda dhamanaMsofe hakutoka ?
Unaweza kufafanua walikuwa na kesi gani, walihukumiwa adhabu gani?Ndama, Msofe wako jela - Misifa anamlalamikia Mavoko kamdhulumu hela zake ?
Ha ha haaaa nyie watu mna vichekeshoHuyo hajamzidi pdg Daudi Alberto bashite [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtaalamu Wa kununua vyeti
Bila kumsahau PDG Jack Pemba , mwingine yuko mbeya anaitwa PDG Amos Makalla .Ndama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu
kuna wakati nchi ilikuwa ikiongozwa na mapedeshee..Bila kumsahau PDG Jack Pemba , mwingine yuko mbeya anaitwa PDG Amos Makalla .
Huyo chief kiumbe ndo kaisha kabisaNdama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu