Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

Yuko wapi Victor Makinda, mwandishi mchambuzi wa siasa akiandika makala gazetini Rai? Alhamis kwangu ilikuwa siku njema sana nikitaraji kupata uchambuzi wa kina na mwanana wa siasa gazetini Rai.
 
Yuko wapi Misanya Bingi aliyekuwa mtangazaji Radio one Stereo?
Alienda kusoma South Africa akarudi bongo akawa lecturer km sijasahau Udsm ila ashafariki miaka michache ilopita.
 
Yuko wapi Juliet Kairuki aliyekuwa mkurugenzi wa TIC?

Yuko wapi Nehemia Mchechu bosi wa zamani NHC?

Hawa inasemakana ndio waliokuwa watumishi wa umma waliokuwa wakilipwa mishahara mikubwa zaidi nchini.
 
Enzi za Rai yenye watu wa weledi wa juu,imebaki historia.
Yuko wapi Victor Makinda, mwandishi mchambuzi wa siasa akiandika makala gazetini Rai? Alhamis kwangu ilikuwa siku njema sana nikitaraji kupata uchambuzi wa kina na mwanana wa siasa gazetini Rai.
 
Wako wapi wasabato masalia?
 
Wapo wapi hawa wachezaji wa zamani wa SIMBA kiongozi jabir shika MKONO.. David ngonya....wachezaji..Juma shamte,,john bosco..,rapahel Paul, Michael kidilu,,Adam selemani,,juma limonga,,Adolf Kondo,,Francis mwikalo,,Dan muhoja,,john makelele,,malota soma,,Sunday juma. ..twaha hamidu,,abou bakar kombo,,Edward chumila.. Eric sagala..Aston padon..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…