Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

Bila kelele za wananchi na vyombo vingine, hii rasimu ya katiba ingechakachuliwa.
 
......(3) Muundo, madaraka na mambo mengine ya kiutendaji yahusuyoSerikali yaTanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yataainishwa
katika Katiba za Washirika wa Muungano.

Katiba ya Tanganyika itaanza kuandaliwa lini na itapitishwa na chombo kipi? Zanzibar tayari wana ya kwao Nape Nnauye
 
Nape Nnauye

Tatizo lako kwenye mada muhimu kama hizi zinazohitaji umahiri wa mtu huwa unazileta kwa mtindo wa mipasho, ungekuwa unatoa mada neutrally watu wangekuwa wanajadili vizuri, back to the topic.

Kwanza hakuna aliyesema tume haina weledi ila penye kitu kipya ni vizuri kuwa na tahadhali, kelele za wapinzani na akina Deus Kibamba wa Jukwaa la katiba zilikuwa ni katika kuhakikisha tunapata katiba nzuri lakini kwa wengine mliwaona kama wahuni.

Nikwambie @Nape, bila kelele hizo hata rasimu tunayoisifia leo ingekuwa tofauti na matarajio ya wengi, najua nyie wenzetu wa CCM kutaja kwa uchache hamkuwa kabisa wala wazo la sera ya katiba mpya, mlikuwa hamtaki serikali tatu, mlikuwa hamtaki mgombea binafsi, kwa hiyo kwa mawazo yangu sidhani kama rasimu hii mmeipokea kwa moyo mmoja mnachekelea usoni lakini moyoni mnajua itawaumiza.
Hapo kwenye RED. check the fact before leap to conclusion. CCM ndiyo waliopendekeza wagombea binafsi.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-binafsi-kwa-nafasi-zote-ukiwemo-urais-2.html
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Jamaa yangu Nape ndo hivyo tena mmekufa kifo cha mende JK amewatosa ameamua kusimama na wananchi; mgombea binafsi, hakuna spika wala naibu kuwabeba, hakuna mawaziri wa ujenzi wa kuwapigia debe wala kutaja ilani zenu majukwaani, nk bado uhai mnao hapooo? poleni sasa ndugu zangu JK kaamua kusambaratisha genge la waporaji; mlipomzidi kete na kukataa kuvua magamba alijua atawakomoa mbele ya safari na sasa ndio baibai sisiemu
 
Hivi huyu Nape ana akili au ndiyo hili ombwe la uongozi tulilonalo Tanzania!!??

Yaani kwa wadhifa wake alionao kwenye chama ni sawa na waziri serikalini halafu anaandika na kuchangia humu kama yuko kijiweni. Seriously, I can't believe my eyes!!??

So far hiyo Rasimu is not as good as they might want us to think it's..............!!! Ina mapungufu mengi tu na imeacha nafasi kubwa kwa CCM kufanya vitu vyao watakapokwenda kwenye mabaraza na bunge la katiba!!!

Labda kama wanataka tushangilie sasa ili baadaye tukianza kuhoji watuulize kuwa mbona mliikubali rasimu??

Maswala kama ya Rais kuteua tume huru ya uchaguzi, Wakuu wa mikoa na wila kutotolewa mapendekezo nafikiri ilikuwa kwa ajili ya ineterst za CCM na wala siyo za nchi kama bwna Nape anavyotaka tuamini!!
 
Usizungumzie matukio ya mwaka huu, jikumbushe historia au kwa kukusaidia pitia kesi na hukumu ya Jaji Kahwa Rugakingira, na tume za (Nyalali na Kisanga) jinsi CCM ilivyoingilia kuzuia mgombea binafsi na mambo mengine.
Ukweli umeisha upata.

Mawazo yako ni sawa na kung'ang'ania kuziita mpaka sasa nchi zilizokuwa za kijamaa kama wajamaa wakati kwao kwa sasa ujamaa ni historia.

Sera zinabadilika kulingana na mazingira, vivyo hivyo hata CCM nayo inabadilika.

Kupingana na ukweli ni kupoteza muda.
 
Sikutegemea kusikia kauli hiyo kutoka kwako, nilitegemea ungepongeza tume na kidogo kujaribu kufanya analysis yako kujua wapi wameweza na wapi wameshindwa. Nilitegemea pia ungeomba waendelee kuwasimamia wananchi na kuhimili pressure kutoka kwa wasioitakia mema nchi yetu. Pia nilitegemea ungetoa rai kwa watanzania kuungana katika kuhakikisha yaliyomo yanasimamiwa na kushirikiana ili kuifanya iwe bora zaidi. Kauli za majungu na kujenga mazingira ya mgawanyiko nisingetegemea zitoke kwa kiongozi mkubwa kama wewe ndani ya chama chako. Umekua mtu mzima siku hizi, jaribu kufanya au kuongea mambo yanayoendana na hadhi yako na umri wako.

Mkuu bwana MARK nafurahishwa kuona una busara kuliko kiongoz wa juu wa chama,tena chama tawala!
Huu sio muda wa MAJUNGU!
Toa kauli ya chama chako na sio kuanza kusutana! Katika weupe kabisa CCM ni pamoja na mtoa mada!
Wananchi tunahitaji kusikia maoni yenu kama viongozi wa juu wa chama na sio majungu!
Mambo hayo ndio maana mnawapata wa vijijini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hivi huyu Nape ana akili au ndiyo hili ombwe la uongozi tulilonalo Tanzania!!??

Yaani kwa wadhifa wake alionao kwenye chama ni sawa na waziri serikalini halafu anaandika na kuchangia humu kama yuko kijiweni. Seriously, I can't believe my eyes!!??

So far hiyo Rasimu is not as good as they might want us to think it's..............!!! Ina mapungufu mengi tu na imeacha nafasi kubwa kwa CCM kufanya vitu vyao watakapokwenda kwenye mabaraza na bunge la katiba!!!

Labda kama wanataka tushangilie sasa ili baadaye tukianza kuhoji watuulize kuwa mbona mliikubali rasimu??

Maswala kama ya Rais kuteua tume huru ya uchaguzi, Wakuu wa mikoa na wila kutotolewa mapendekezo nafikiri ilikuwa kwa ajili ya ineterst za CCM na wala siyo za nchi kama bwna Nape anavyotaka tuamini!!
Duh, Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kweli kuwa na akili za kibavicha ni hasara kwa taifa

Kwa mawazo yako, watu wanaotakiwa kuijadili rasimu kwa akili yako, unataka rasimu iwajadili wao.

Bila aibu uko mbele kutoa ushauri kwa Nape Nnauye.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Ulitaka wasiwakosoe ili mchakachue???? Wewe Nnape akili yako huwa inawaza kwa nyuma nyuma tu!!!!!!!!!!Kukosolewa mapema na taadhali waliyopewa ndiyo imesaidia wao angalau kufanya walichokifanya:nod:
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Kwani mko wapi mliokuwa mnasambaza maagizo kwa watendaji wa vijiji na viongozi wa ccm wilaya mpaka kwenye matawi,mkisisitiza wanachama wa ccm watoe maoni kama yale ya ccm,ikiwemo muundo wa muungano wa serikali mbili.shame on you PUNGUANI- NAPE
 
Nape Nnauye wewe kweli bado mtoto, mambo yako bado ya kitoto, Mbona wakati Antipasi Tundu lisu alipokuja na ushahidi wa mawasiliano ya email jinsi mlivyojipanga kuchakachua hukutoka hadharani na kukanusha?
Nilitegemea ungekuja na uchambuzi wa hiyo katiba, kwa mtazamo wangu hufai kuwa kiongozi hata balozi wa nyumba kumi.
 
Last edited by a moderator:
Nape nadhani usubiri hii rasimu iwe katiba ya nchi angalau ndo uongee,tutajuaje kama rasimu hii kuonekane kama inavyosomeka ni matokeo ya hao unaowasema kusema walichosema.
Kumbuka sarakasi za kichina ulizocheza kwenye zoezi zima la ccm kujivua gamba, Je ni nani anajua kama hata hili hamtabinuka huko huko hewani kunakoitwa mabaraza ya katiba,na kuonyesha points zote muhimu kuwa zimepingwa kwenye mabaraza?
Nadhani imani kubwa ya watanzania itakuwa halisi pale vipengele vyote vilivyotajwa vitakuwa kwenye katiba mpya.
 
Mkuu bwana MARK nafurahishwa kuona una busara kuliko kiongoz wa juu wa chama,tena chama tawala!
Huu sio muda wa MAJUNGU!
Toa kauli ya chama chako na sio kuanza kusutana! Katika weupe kabisa CCM ni pamoja na mtoa mada!
Wananchi tunahitaji kusikia maoni yenu kama viongozi wa juu wa chama na sio majungu!
Mambo hayo ndio maana mnawapata wa vijijini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wewe unayejifanya kuwa na busara wakati huna hata tone la busara zaidi ya matusi.

Kwa akili yako hii finyu, unafikiria watu wa kijijini ndiyo wanapenda majungu.

Hebu tuambie wewe wa mjini usiyependa majungu umeweka input gani katika rasimu.
 
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!

Nape, yote hiyo ilikuwa ni njia ya kuishinikiza tume izingatie maoni ya wananchi na kwa kiasi kikubwa wamefanya hivyo.Naipongeza tume na wote walioishinikiza.
 
Mkuu, yaani ni Full Vituko, yaani kama Watu dizain ya Nape na Mwigulu wameweza kupewa wadhifa Mkubwa hivyo Ndani ya Chama, Aisee mie kwa Uwezo wangu Nastahili kuwa Rais wa Dunia

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Inasemekana ccm , ukijipendekeza kwa M/kiti tu , unapewa Cheo ,haijalishi una uwezo gani !
 
Back
Top Bottom