Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye RED. check the fact before leap to conclusion. CCM ndiyo waliopendekeza wagombea binafsi.Nape Nnauye
Tatizo lako kwenye mada muhimu kama hizi zinazohitaji umahiri wa mtu huwa unazileta kwa mtindo wa mipasho, ungekuwa unatoa mada neutrally watu wangekuwa wanajadili vizuri, back to the topic.
Kwanza hakuna aliyesema tume haina weledi ila penye kitu kipya ni vizuri kuwa na tahadhali, kelele za wapinzani na akina Deus Kibamba wa Jukwaa la katiba zilikuwa ni katika kuhakikisha tunapata katiba nzuri lakini kwa wengine mliwaona kama wahuni.
Nikwambie @Nape, bila kelele hizo hata rasimu tunayoisifia leo ingekuwa tofauti na matarajio ya wengi, najua nyie wenzetu wa CCM kutaja kwa uchache hamkuwa kabisa wala wazo la sera ya katiba mpya, mlikuwa hamtaki serikali tatu, mlikuwa hamtaki mgombea binafsi, kwa hiyo kwa mawazo yangu sidhani kama rasimu hii mmeipokea kwa moyo mmoja mnachekelea usoni lakini moyoni mnajua itawaumiza.
Jamaa yangu Nape ndo hivyo tena mmekufa kifo cha mende JK amewatosa ameamua kusimama na wananchi; mgombea binafsi, hakuna spika wala naibu kuwabeba, hakuna mawaziri wa ujenzi wa kuwapigia debe wala kutaja ilani zenu majukwaani, nk bado uhai mnao hapooo? poleni sasa ndugu zangu JK kaamua kusambaratisha genge la waporaji; mlipomzidi kete na kukataa kuvua magamba alijua atawakomoa mbele ya safari na sasa ndio baibai sisiemuNinasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Usizungumzie matukio ya mwaka huu, jikumbushe historia au kwa kukusaidia pitia kesi na hukumu ya Jaji Kahwa Rugakingira, na tume za (Nyalali na Kisanga) jinsi CCM ilivyoingilia kuzuia mgombea binafsi na mambo mengine.Hapo kwenye RED. check the fact before leap to conclusion. CCM ndiyo waliopendekeza wagombea binafsi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-binafsi-kwa-nafasi-zote-ukiwemo-urais-2.html
aki za kibavicha hizoNape ni mzee wa mipasho,
Ukweli umeisha upata.Usizungumzie matukio ya mwaka huu, jikumbushe historia au kwa kukusaidia pitia kesi na hukumu ya Jaji Kahwa Rugakingira, na tume za (Nyalali na Kisanga) jinsi CCM ilivyoingilia kuzuia mgombea binafsi na mambo mengine.
Sikutegemea kusikia kauli hiyo kutoka kwako, nilitegemea ungepongeza tume na kidogo kujaribu kufanya analysis yako kujua wapi wameweza na wapi wameshindwa. Nilitegemea pia ungeomba waendelee kuwasimamia wananchi na kuhimili pressure kutoka kwa wasioitakia mema nchi yetu. Pia nilitegemea ungetoa rai kwa watanzania kuungana katika kuhakikisha yaliyomo yanasimamiwa na kushirikiana ili kuifanya iwe bora zaidi. Kauli za majungu na kujenga mazingira ya mgawanyiko nisingetegemea zitoke kwa kiongozi mkubwa kama wewe ndani ya chama chako. Umekua mtu mzima siku hizi, jaribu kufanya au kuongea mambo yanayoendana na hadhi yako na umri wako.
jana nimemckia mmoja wa. waliokuwa wakipinga. tume hyo akipongeza rasimu hyo
sasa ina maana alikuwa anapinga kitu asichokijua
Duh, Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kweli kuwa na akili za kibavicha ni hasara kwa taifaHivi huyu Nape ana akili au ndiyo hili ombwe la uongozi tulilonalo Tanzania!!??
Yaani kwa wadhifa wake alionao kwenye chama ni sawa na waziri serikalini halafu anaandika na kuchangia humu kama yuko kijiweni. Seriously, I can't believe my eyes!!??
So far hiyo Rasimu is not as good as they might want us to think it's..............!!! Ina mapungufu mengi tu na imeacha nafasi kubwa kwa CCM kufanya vitu vyao watakapokwenda kwenye mabaraza na bunge la katiba!!!
Labda kama wanataka tushangilie sasa ili baadaye tukianza kuhoji watuulize kuwa mbona mliikubali rasimu??
Maswala kama ya Rais kuteua tume huru ya uchaguzi, Wakuu wa mikoa na wila kutotolewa mapendekezo nafikiri ilikuwa kwa ajili ya ineterst za CCM na wala siyo za nchi kama bwna Nape anavyotaka tuamini!!
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Kwani mko wapi mliokuwa mnasambaza maagizo kwa watendaji wa vijiji na viongozi wa ccm wilaya mpaka kwenye matawi,mkisisitiza wanachama wa ccm watoe maoni kama yale ya ccm,ikiwemo muundo wa muungano wa serikali mbili.shame on you PUNGUANI- NAPENinasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Wewe unayejifanya kuwa na busara wakati huna hata tone la busara zaidi ya matusi.Mkuu bwana MARK nafurahishwa kuona una busara kuliko kiongoz wa juu wa chama,tena chama tawala!
Huu sio muda wa MAJUNGU!
Toa kauli ya chama chako na sio kuanza kusutana! Katika weupe kabisa CCM ni pamoja na mtoa mada!
Wananchi tunahitaji kusikia maoni yenu kama viongozi wa juu wa chama na sio majungu!
Mambo hayo ndio maana mnawapata wa vijijini
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kweli JF tamu sn yaan umenichekesha mpaka basi. Real you have made ma day na umenifanya nisaau kidogo machungu ya kupigwa chin na demu wangu
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena wakisema nakurudia maneno yale na pengine kwa kuyapigia mstari mkubwa!!
Mkuu, yaani ni Full Vituko, yaani kama Watu dizain ya Nape na Mwigulu wameweza kupewa wadhifa Mkubwa hivyo Ndani ya Chama, Aisee mie kwa Uwezo wangu Nastahili kuwa Rais wa Dunia