GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️

20250827_115358.jpg

Update
Na wa ADC nae kaliwa kichwa
20250827_115206.jpg
 
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anyepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️
20250712_193436.jpg
 
Unaelewa maana ya reforms ? Na unaelewa maana ya kukidhi vigezo?
 
Yule mama alitonywa na wakubwa awake pingamizi, maana Mpina angeruhusiwa kuzungumza kwenye majukwaa angeibua tusiyoyajua.
Mpina alishakua waziri. If you know you know and the guys knows a lot.
 
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anyepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️
Tulishakubaliana kuwa ACT ni branch a.k.a Agent ila naona tunachanganywa na tunachanganyika haswa.
 
Upo sahihi bongo watu watumiwa kubadilisha upepo kuingiza ajenda zao kuwatoa watu kwenye reli
 
  • Masikitiko
Reactions: Tsh
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anyepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️
Hee ilikuaje tena sii tunaambiwa ACT ni CCM b ?
 
This is very sad Story Tuna CCM dhaifu kuliko CCM zote tulizowahi kuzishuhudia
Hii Tume haina Uhuru Wa kufanya jambo Lolote na MKURUGENZI wake Ni Mtu wa Pupa Sana katika kufanya maamuzi

Msajili ana Double Standard Yupo pale kwa Maslahi ya Chama kimoja Hii sio AFYA kwa Demokrasia Yetu hii sio Sawa Kabisa Tume iliyohuru Haiwezekani kuwa hivi kabisa

This is Shame
 
Kwa hiyo rasmi mpambano ni Samia vs Salum Mwalimu wa Chaumwa !!!
Kuna mambo mawili yanaendelea

1. CCM ku collapse mifumo yote ya nchi.

2. Wazanzibar kulazimisha kuwatawala Watanganyika kwa nguvu na kuwaua na kuwatesa wanaobisha.

Chagueni wenyewe. Mnazika au Mnasafirisha?
 
Inasikitisha sana CCM imeiuza Tanganyika utumwani Zanzibar.
 
Tulishakubaliana kuwa ACT ni branch a.k.a Agent ila naona tunachanganywa na tunachanganyika haswa.
Ni kweli, ila Mpina sio ACT ni adui wa uongozi wa sasa wa CCM
 
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anyepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️
We ni useless sperm, familia kuwa na mtu mpumbavu km wewe ni laana. Kwa hiyo mvunje sheria za nchi muachwe? Halafu mnakuja kulialia humu ht bila aibu? Useless kabisa we zombie. Mnataka muipeleke nchi wapi, muwe jamii ya aina gani? Mkatii sheria nyie wehu
 
Mpina anaenguliwa na Katiba ya ACT Wazalendo. hapo Tume wala sheria za Uchaguzi hazihusiki wala Serikali haihusiki.
 
We ni useless sperm, familia kuwa na mtu mpumbavu km wewe ni laana. Kwa hiyo mvunje sheria za nchi muachwe? Halafu mnakuja kulialia humu ht bila aibu? Useless kabisa we zombie. Mnataka muipeleke nchi wapi, muwe jamii ya aina gani? Mkatii sheria nyie wehu
Wamevunja Sheria ipi?

CCM waliovunja Katiba ya Nchi kwa kuteua mgombea wa urais kabla ya Bunge kuvunjwa wamefanywa nini?
 
Back
Top Bottom