GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️

View attachment 3454664

Update
Na wa ADC nae kaliwa kichwa
View attachment 3454667
Tutalinda kura,ila zito ni tapeli wa kisiasa aliyekubuhu
 
CCM CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
We ni useless sperm, familia kuwa na mtu mpumbavu km wewe ni laana. Kwa hiyo mvunje sheria za nchi muachwe? Halafu mnakuja kulialia humu ht bila aibu? Useless kabisa we zombie. Mnataka muipeleke nchi wapi, muwe jamii ya aina gani? Mkatii sheria nyie wehu
We ndo useful sperm? Kwa kushabikia uminywaji wa demokrasia na ukiukaji wa haki za binadamu na utawala bora kunakofanywa na CCM?!!
Ama kweli wonders shall never end!!!
 
Two wrongs don't make a right!

Reforms zinahitajika ili ofisi ya Msajili iwe huru tofauti na ilivyo sasa.
Hujui unachoandika. Umesema hajaonewa, nimekuambia kaonewa sababu sheria ikimruka mwingine ikakufata wewe huo ni uonevu. Labda hujui uenevu ni nini
 
Ccm hasa ngaz ya urais wamejaa kiburi ambacho sjawah kukishuhudia hapa duniani

Yaan nchi imekuwa mali ya mtu pambafu
 
Inasikitisha sana CCM imeiuza Tanganyika utumwani Zanzibar.
Nyerere angekuwepo leo angeukana muungano au kujuta kutuingiza utumwani Zanzibar. Mpaka 2030 mazezeta Tanganyika mtaenda kuomba misaada Zanzibar, wakati pesa imetoka kwenu na wanakopa nje kwa fujo, wanajenga kwao na madeni mtalipa wenyewe Mitanganyika.
 
Hii ya Mpina wamefanya kupunguza presha ya polepole kusema ACT ni CCM B inabidi wafanye Mpina amekosa sifa
 
Back
Top Bottom