GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
This is very sad Story Tuna CCM dhaifu kuliko CCM zote tulizowahi kuzishuhudia
Hii Tume haina Uhuru Wa kufanya jambo Lolote na MKURUGENZI wake Ni Mtu wa Pupa Sana katika kufanya maamuzi

Msajili ana Double Standard Yupo pale kwa Maslahi ya Chama kimoja Hii sio AFYA kwa Demokrasia Yetu hii sio Sawa Kabisa Tume iliyohuru Haiwezekani kuwa hivi kabisa

This is Shame
We ndio binadamu dhaifu kutokea, tumia akili badala ya makalio. Mnataka kuleta uasi? Maana kutotii sheria za nchi ni uasi
 
Kwa mujibu wa wasilisho la jana la Polepole, yaliyotokea nyuma ya pazia kwenye suala hili ni kinyume kabisa na mtazamo mlionao humu.
Usiseme kwa mujibu wa maneno ya watu. Wewe sema Tume ya Uchaguzi inapaswa kuzingatia Katiba ya Chama au ya Nchi kwenye suala la wagombea Urais?
 
Sikumsikiliza, nilisikiliza baadhi ya clips tu.
Okay. Kifupi ni kwamba kwenye suala la kuenguliwa Mpina hata Polepole ameshiriki ku-engineer mchakato wa kuandaa hoja na nyaraka zilizopelekea kufikia uamuzi wa kumuengua Mpina; lengo ni kuvuruga igizo lililokuwa limepangwa kufanyika kwani uwepo wa Mpina ungechangamsha uchaguzi kwa kuonekana kana kwamba kuna upinzani strong hivyo kuhalalisha uchaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo? Au kuna linalokuja? ACT ikishinda mahakamani Mpina atarudi na nguvu zaidi. Itaonekana kaishinda serikali.
 
Usiseme kwa mujibu wa maneno ya watu. Wewe sema Tume ya Uchaguzi inapaswa kuzingatia Katiba ya Chama au ya Nchi kwenye suala la wagombea Urais?
Katiba inatamka Mgombea laz
Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo?

Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo? Au kuna linalokuja? ACT ikishinda mahakamani Mpina atarudi na nguvu zaidi. Itaonekana kaishinda serikali.
Na ndivyo alivyojisifu Polepole; kwamba kwa hili la Mpina kuenguliwa, wamewapiga bao wauni.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
CCM waliovunja Katiba ya Nchi kwa kuteua mgombea wa Urais kabla Bunge kuvunjwa wamefanywa nini?
Tunawalaani ccm kwa kushindwa kuheshimu sheria, tunapaswa kuwa tofauti.

Tofauti na hapo tunataka mabadiliko ya nini kama nasi tutakwenda kuwa sawa na hao tunaotaka kuwatoa!
 
Tuseme tu ukweli.

CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.

Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.

MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.

Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.

MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.

No Reforms No Election ✊️✌️
1756285019060.jpeg
 
Reforms muhimu ila Mpina hajaonewa!!

Wengine tulishauri Mpina awahi form ya ubunge baada tu ya huyo Mama kuibua hii issue.
 
Katiba inatamka Mgombea laz

Na ndivyo alivyojisifu Polepole; kwamba kwa hili la Mpina kuenguliwa, wamewapiga bao wauni.
Mkuu, inatakiwa akili kubwa ili kumwelewa Polepole vizuri.

Mbali na kwamba yuko smart, jamaa ni mjanja wa siasa pia.

Anajua nn aseme au asiseme na wakati gani.

Lengo kubwa la maongezi yake ni kutupatia taarifa na kuhimiza uchukuaji wa hatua makhususi za mabadiliko.

Kila siku akizungumza wapo watu wanaofanya maamuzi accordingly.

Kwa mantiki hiyo, sayansi ya uwasilishaji na siasa inamlazimu aweze ku-capitalize kwenye matukio ya siku kwa siku.

Matukio yote, yawe mazuri ama mabaya, huwa ni udongo tifutifu ambapo mwanasiasa mahiri hutumia fursa husika kupanda mbegu za mabadiliko.

A good politician has to learn to be consistently flexible - without significantly altering the core purpose of the cause they're fighting for.
 
Tulishakubaliana kuwa ACT ni branch a.k.a Agent ila naona tunachanganywa na tunachanganyika haswa.
Nukta yake kuu ilikuwa kwamba kama mgombea urais wa ACT ameenguliwa kwa kukosa vigezo, CCM nayo ilipaswa kufanyishwa the right thing.

Ni kweli watu wote wanaweza kusikia, ila si wote wawezao kuelewa.
 
Nukta yake kuu ilikuwa kwamba kama mgombea urais wa ACT ameenguliwa kwa kukosa vigezo, CCM nayo ilipaswa kufanyishwa the right thing.

Ni kweli watu wote wanaweza kusikia, ila si wote wawezao kuelewa.
Sawa sawa mkuu.
 
Reforms muhimu ila Mpina hajaonewa!!

Wengine tulishauri Mpina awahi form ya ubunge baada tu ya huyo Mama kuibua hii issue.
Ammeonewa kwa sababu case yake ipo sawa na ya Samia.

CCM pia Kuna mtu aliibu issue ya katiba kuvunjwa na akaiandikia msajili. Mbona hakuna kilichofanyika?
 
Ammeonewa kwa sababu case yake ipo sawa na ya Samia.

CCM pia Kuna mtu aliibu issue ya katiba kuvunjwa na akaiandikia msajili. Mbona hakuna kilichofanyika?
Two wrongs don't make a right!

Reforms zinahitajika ili ofisi ya Msajili iwe huru tofauti na ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom