GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpina anaenguliwa na Katiba ya ACT Wazalendo. hapo Tume wala sheria za Uchaguzi hazihusiki wala Serikali haihusiki.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasemaje kuhusu sifa za mtu kuwa Mgombea Urais? Au sifa za kuwa Rais?
 
ACT wanapaswa kuadhibiwa. Wanashindwa kuheshimu katiba yao wenyewe?

Mpina anakosa sifa kwa mujibu wa katiba ya chama chake.
CCM waliovunja Katiba ya Nchi kwa kuteua mgombea wa Urais kabla Bunge kuvunjwa wamefanywa nini?
 
KWA
KWANI MPINA KAENGULIWA? WENYE CHAMA WAMEMKATAAA HAWAMTAKI
 
CCM huko mbona hawagusi licha ya vilio vingi?🤣🤣🤣
mkuu umemsikia comredi slowslow jana, mambo mazito sana hawezi kusema hadharani kwa kua kuna maadui mbalimbali (including nchi jirani)?

na ngoma hii inapepea mgombea anaenda kupita bila kupingwa huyu, chaumma kitapata viti maalumu tunakua kama 2020 tu
 
Wamevunja sheria ipi ndg. Nahisi akili yako inauhitaji wa Vitamins.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasemaje kuhusu sifa za mtu kuwa Mgombea Urais? Au sifa za kuwa Rais?
una uhakika hayo ndo malalamiko yaliyowasilishwa na yule mama ACT Wazalendo aliyepinga uteuzi wa Mpina?
 
CCM waliovunja Katiba ya Nchi kwa kuteua mgombea wa Urais kabla Bunge kuvunjwa wamefanywa nini?
mkuu ambaye hana nguvu ndo anatakiwa ahakikishe hakuna makosa ya namna yeyote anafanya,

sasa atakayemuadhibu ccm ni nani? maana ccm ndo boss mwenye kazi
 
Unaelewa maana ya reforms ? Na unaelewa maana ya kukidhi vigezo?
CHADEMA walisema sifa za mgombea zinazotakiwa kufuatwa ziwe ni zile tu zilizoko kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na si vinginevyo... Mpina anazo hizo sifa ama hana?
 
Tulishakubaliana kuwa ACT ni branch a.k.a Agent ila naona tunachanganywa na tunachanganyika haswa.
Kama ulimsikiliza vizuri Polepole kwenye wasilisho lake la jana, amelifafanua vizuri sana jambo hili.
 
Reactions: Tsh
Kama ulimsikiliza vizuri Polepole kwenye wasilisho lake la jana, amelifafanua vizuri sana jambo hili.
Sikumsikiliza, nilisikiliza baadhi ya clips tu.
 
Uchafu, hujawahi kuwa na akili, mnataka kuleta uasi msitii sheria za nchi? Mtashughulikiwa mambwa nyie mpk mnyooke
 
Kwani si mlishakubaliana kuwa ACT ni CCM B?
 
Yule mama alitonywa na wakubwa awake pingamizi, maana Mpina angeruhusiwa kuzungumza kwenye majukwaa angeibua tusiyoyajua.
Mpina alishakua waziri. If you know you know and the guys knows a lot.
Waziri wa uvuvi anajua siri gani zaidi ya uzushi? Mgombea wa urais hajui masharti na vigezo? Huyo atakuwa Rais wa ng'ombe?
 



Mpina ni mpinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…