nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
We ndio binadamu dhaifu kutokea, tumia akili badala ya makalio. Mnataka kuleta uasi? Maana kutotii sheria za nchi ni uasiThis is very sad Story Tuna CCM dhaifu kuliko CCM zote tulizowahi kuzishuhudia
Hii Tume haina Uhuru Wa kufanya jambo Lolote na MKURUGENZI wake Ni Mtu wa Pupa Sana katika kufanya maamuzi
Msajili ana Double Standard Yupo pale kwa Maslahi ya Chama kimoja Hii sio AFYA kwa Demokrasia Yetu hii sio Sawa Kabisa Tume iliyohuru Haiwezekani kuwa hivi kabisa
This is Shame
Mbadi sana!!Ameingizwa cha kike, Zitto Kabwe ni mtu mbaya sana.
Nijibu wewe kipi kinatakiwa kuzingatiwa na Tume? Katiba ya Nchi au chama?una uhakika hayo ndo malalamiko yaliyowasilishwa na yule mama ACT Wazalendo aliyepinga uteuzi wa Mpina?
Ndio iko hivyo ila mpina hatakiwiHee ilikuaje tena sii tunaambiwa ACT ni CCM b ?
Usiseme kwa mujibu wa maneno ya watu. Wewe sema Tume ya Uchaguzi inapaswa kuzingatia Katiba ya Chama au ya Nchi kwenye suala la wagombea Urais?Kwa mujibu wa wasilisho la jana la Polepole, yaliyotokea nyuma ya pazia kwenye suala hili ni kinyume kabisa na mtazamo mlionao humu.
Okay. Kifupi ni kwamba kwenye suala la kuenguliwa Mpina hata Polepole ameshiriki ku-engineer mchakato wa kuandaa hoja na nyaraka zilizopelekea kufikia uamuzi wa kumuengua Mpina; lengo ni kuvuruga igizo lililokuwa limepangwa kufanyika kwani uwepo wa Mpina ungechangamsha uchaguzi kwa kuonekana kana kwamba kuna upinzani strong hivyo kuhalalisha uchaguzi.Sikumsikiliza, nilisikiliza baadhi ya clips tu.
Mwone Dr. Doroth Gwajima upate vitamin vya akili.Nijibu wewe kipi kinatakiwa kuzingatiwa na Tume? Katiba ya Nchi au chama?
Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo? Au kuna linalokuja? ACT ikishinda mahakamani Mpina atarudi na nguvu zaidi. Itaonekana kaishinda serikali.Okay. Kifupi ni kwamba kwenye suala la kuenguliwa Mpina hata Polepole ameshiriki ku-engineer mchakato wa kuandaa hoja na nyaraka zilizopelekea kufikia uamuzi wa kumuengua Mpina; lengo ni kuvuruga igizo lililokuwa limepangwa kufanyika kwani uwepo wa Mpina ungechangamsha uchaguzi kwa kuonekana kana kwamba kuna upinzani strong hivyo kuhalalisha uchaguzi.
Katiba inatamka Mgombea lazUsiseme kwa mujibu wa maneno ya watu. Wewe sema Tume ya Uchaguzi inapaswa kuzingatia Katiba ya Chama au ya Nchi kwenye suala la wagombea Urais?
Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo?
Na ndivyo alivyojisifu Polepole; kwamba kwa hili la Mpina kuenguliwa, wamewapiga bao wauni.Ooh, so ni jambo limefanikiwa. Ngoja tuone yatakayojiri, Je ccm itaenda kwenye uchaguzi na hawa waliopo? Au kuna linalokuja? ACT ikishinda mahakamani Mpina atarudi na nguvu zaidi. Itaonekana kaishinda serikali.
Mkuu hivi unaelewa maana ya covering tracks?🤣🤣🤣Hee ilikuaje tena sii tunaambiwa ACT ni CCM b ?
Tunawalaani ccm kwa kushindwa kuheshimu sheria, tunapaswa kuwa tofauti.CCM waliovunja Katiba ya Nchi kwa kuteua mgombea wa Urais kabla Bunge kuvunjwa wamefanywa nini?
Tuseme tu ukweli.
CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.
Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani Tanzania Jakaya Kikwete wakijinasibu kuwa Reforms zimefanyika hakutakuwa na kuondoa Wagombea na Upinzania Lissu na Heche walitusanua Wananchi mapema sana kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa danganya toto maana hautaondolewa moja kwa moja na Tume bali kupitia mapingamizi mengine.
MUNGU si Athumani wala Mzee Mgaya, mangalizo na maonyo waliyatoa Chadema hasa Lissu na Heche yamekuja kutimia ndani ya miezi minne tu.
Leo Luhaga Mpina mgombea wa Urais kwa ticketi ya ACT Wazalendo amekatwa na kuenguliwa kwa njia ile ile waliyosema Chadema itatumika.
MUNGU awabariki sana Chadema. Hiki chama kweli kinafanya kazi ya Mungu nchini Tanzania.
No Reforms No Election ✊️✌️
Mkuu, inatakiwa akili kubwa ili kumwelewa Polepole vizuri.Katiba inatamka Mgombea laz
Na ndivyo alivyojisifu Polepole; kwamba kwa hili la Mpina kuenguliwa, wamewapiga bao wauni.
Nukta yake kuu ilikuwa kwamba kama mgombea urais wa ACT ameenguliwa kwa kukosa vigezo, CCM nayo ilipaswa kufanyishwa the right thing.Tulishakubaliana kuwa ACT ni branch a.k.a Agent ila naona tunachanganywa na tunachanganyika haswa.
Sawa sawa mkuu.Nukta yake kuu ilikuwa kwamba kama mgombea urais wa ACT ameenguliwa kwa kukosa vigezo, CCM nayo ilipaswa kufanyishwa the right thing.
Ni kweli watu wote wanaweza kusikia, ila si wote wawezao kuelewa.
Hawezi kukujibu huyu kilazaCHADEMA walisema sifa za mgombea zinazotakiwa kufuatwa ziwe ni zile tu zilizoko kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na si vinginevyo... Mpina anazo hizo sifa ama hana?
Ammeonewa kwa sababu case yake ipo sawa na ya Samia.Reforms muhimu ila Mpina hajaonewa!!
Wengine tulishauri Mpina awahi form ya ubunge baada tu ya huyo Mama kuibua hii issue.
Two wrongs don't make a right!Ammeonewa kwa sababu case yake ipo sawa na ya Samia.
CCM pia Kuna mtu aliibu issue ya katiba kuvunjwa na akaiandikia msajili. Mbona hakuna kilichofanyika?