GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tutalinda kura,ila zito ni tapeli wa kisiasa aliyekubuhu
 
CCM CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
We ndo useful sperm? Kwa kushabikia uminywaji wa demokrasia na ukiukaji wa haki za binadamu na utawala bora kunakofanywa na CCM?!!
Ama kweli wonders shall never end!!!
 
Two wrongs don't make a right!

Reforms zinahitajika ili ofisi ya Msajili iwe huru tofauti na ilivyo sasa.
Hujui unachoandika. Umesema hajaonewa, nimekuambia kaonewa sababu sheria ikimruka mwingine ikakufata wewe huo ni uonevu. Labda hujui uenevu ni nini
 
Ccm hasa ngaz ya urais wamejaa kiburi ambacho sjawah kukishuhudia hapa duniani

Yaan nchi imekuwa mali ya mtu pambafu
 
Inasikitisha sana CCM imeiuza Tanganyika utumwani Zanzibar.
Nyerere angekuwepo leo angeukana muungano au kujuta kutuingiza utumwani Zanzibar. Mpaka 2030 mazezeta Tanganyika mtaenda kuomba misaada Zanzibar, wakati pesa imetoka kwenu na wanakopa nje kwa fujo, wanajenga kwao na madeni mtalipa wenyewe Mitanganyika.
 
Hii ya Mpina wamefanya kupunguza presha ya polepole kusema ACT ni CCM B inabidi wafanye Mpina amekosa sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…