Wakongwe Forum

Inshort Coastal Union wanautawala san huu mchezo
 
Faulu inapigwa kuelekea goal la Coastal.
Sio mbali sana na lango.
Ngoja tuone inakuwaje
 
Inapigwa kimakosa inaishia kuokolewa na mabeki
 
Kitayosce wanapata faulu nyingine wanapiga inatoka nje [emoji22]
 
Dakika za nyongeza ni 3.
Kuhitimisha kipindi cha kwanza
 
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinahitimishwa hapa Mkwakwani.
Matokeo yakiwa ni 0 kwa 0.

Tukutane tena kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…