Wakongwe Forum

Siku hizi kuna machine za kufuta tatoo....nini muhuri binamu.
Ila nyie viumbe wengine wa kiume bhana, huwa mnakulaga nini?....utakuta nakaa na protini yako siku 3.
Jamaniiiii.....
Hahahahaahhaa tende na maziwa, hahahahaaa mchakamchaka hadi mwisho wa kituo
 
Naona umeamua kujitekenya ili ucheke mwenyewe! Hongere...nasubir ifikie page ya 10738
 
Muanzisha uzi mwenye sio mkongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…