Wakongwe Forum

Makapuku ndo wapi tena huko swahiba. Baki hapa tujikumbushie michuchu wetu wa enzi hizo.

Umenionea wapi rubii?
Makapuku ni kule kwa new fish in town mkuu, shida ya huku baada ya kulana wengi wamebadilisha ID kwa kukimbia vimeo sasa waeza jikuta unamtongoza mtu mara mbili, makapuku forum ipo himu humu ya wageni wameanzisha muda kdg.
 
Duh kumbe tena?? Basi huko huchelewi kutongoza mwanao. Bora tutongozane kijamaa huku. Liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…