Wakongwe Forum

Ile zamani wakisemaga ni kipara cha utajiri. Siku hizi upara unawaibukia mpaka madogo. Sijui ni hawa kuku hawa??
hahaaaa upara wa utajiri....itakuwa makuku hayo mana wengi wavivu wa kutafuna nyama ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…