Wewe njoo...utakayeniona nae ndo huyohuyo.Ijumaa tunakuja aiseee......
Prado halina tofauti na chumba namba 7 Mianzini guest house[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mzee wa Prado huyo......chezeya ..........
sawa babu .......Usiseme kwa sauti.... wezi wengi ujue...
hahahaaa wakati mwenzio anatambia mtaani........Prado halina tofauti na chumba namba 7 Mianzini guest house[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ntaanzia wapi kusahau kwa mfano? Ni heri nisahau kuvaa boxer kuliko nisahau mihadi yetubaby tunaanzia kwanza Azura afu tunamalizia Goba.......umesahau eeeh.
Hahahaha...hahahaaa wakati mwenzio anatambia mtaani........
Ila dah Mianzini ya sasa sio ya kipindi kile.Prado halina tofauti na chumba namba 7 Mianzini guest house[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Namjua....maana nakumbuka fujo zake enzi zile.Hakuna analoshindwa bazazi yule mbele ya K.
Pale ndo nyumbani kwa mafumanizi. Kuna njemba zinakaa pale kuangalia wanaoingia. Wakikujua wanauza mechi. Wakware wengi wamepakimbia...Ila dah Mianzini ya sasa sio ya kipindi kile.
ukisukuma mlango, uko chumbani.
Ya sasa ni mwaaaah!!!!
Ila sitasahau fumanizi la pale.
Hebu tuyaache haya
Hahahahaaa.... I reserve my comment.[emoji36]Bazazi mwenzio kule hazai mpaka leo, popo kanyea mbingu hiyo, kategua korodani na bamia yake
coming soon............Hahahaha...
Afu baby nikuambie kitu? ODM kasimama huku, nimwambieje?
Eagerly waìting.... Liwalo na liwe[emoji8]coming soon............