Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Hahahah.
Babu acha umbeaaaaaaaaa.
Valentina na sister namsuta babu yenu huku.
Ila kutoka moyoni kupapasa upara usiku wa manane siwezi ati.

Si yule mwenye jimwili rirefu kama mkojo wa mlevi?
We nawe...hukuwa unasoma picha?
Raha ya umbea uudake fasta fasta, nishakuacha
We si mzima wallahi ujue[emoji1]

Ile raha nyingine si ulipata lakini? Au hukufikishwa nako
 
Pale ndo nyumbani kwa mafumanizi. Kuna njemba zinakaa pale kuangalia wanaoingia. Wakikujua wanauza mechi. Wakware wengi wamepakimbia...
Pale opposite ni kwa wakwe zangu...wambea wakapeleka news kwa shemeji, yaliyonikuta, bora mechi nikapigie Kibaha ila sio Dar hii
 
Pale opposite ni kwa wakwe zangu...wambea wakapeleka news kwa shemeji, yaliyonikuta, bora mechi nikapigie Kibaha ila sio Dar hii
Afu ukute wakati unafumaniwa wadudu ndo walikuwa wanafungua mlango wa kutoka.

Na wewe umezidi unaiba mpaka kwa wakwe?
 
Moyo u radhi, akili imekubali na baioloji imeridhia kuwa sister achukue ubavu wangu akae nao atakavyo
Umenifanya nami biolojia isisimke gafla......love u ndindindi.........afu ile dawa niongezee ili nikupende daima.
 
Ananitaka kinguvu ilhali nguvu zangu zote ziko kwako. Leo nakuletea limbwata uniwekee baby wangu
Tatizo nakusifia sana ndiyo maana wanataka na wao.......aya baby uje nalo tu mana hamna namna.
 
Umenifanya nami biolojia isisimke gafla......love u ndindindi.........afu ile dawa niongezee ili nikupende daima.
Usijali... hiyo ndindindi ndo nayoitaka. Ntakuja na dawa kojoza. Najua unaipendaga sana kwakuwa inakupa usingizi mwororo na ndoto murua
 
Back
Top Bottom