Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Hawawezi kutoboa. Muda umewatupa mkono.
 
Wakijikaza wanaweza wakarudisha japo
Nusu ya heshima yao

Nako2nako dha ndo
Tuliwazka kabsa au kuna
Sku mtafufuka
 
Wakijikaza wanaweza wakarudisha japo
Nusu ya heshima yao

Nako2nako dha ndo
Tuliwazka kabsa au kuna
Sku mtafufuka
Lord eyes katoka mwenyewe Mtonyo wangu wapi, G nako weusi, Bu nako namuona mitaa ya milestone anakula maisha.

Ndio zetu kuwakilisha haaa hatujaja kuwashika kila unaposikia sauti hizi majamaa walikua utamu sana kwa hip hop.
 
P1 black,Saida karoli,Dudu baya,Tid,Chid Benz,Mansul...nk

Je watatoboa kwa Vijana kwa Digitalia?

Time will tell.


Hapo msanii wa ukweli ni Saida Karoli tu, hao wengine ni wale wale wa kukopi na kupaste. Mwanamuziki unatumia computer?
 
Back
Top Bottom