Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30..
Yaan wamekula kila walichwekewa mpaka maji wamemalliza🤣🤣🤣 halafu wana angalia kwa makini ivyo vyakula ambavyo havijaliwa 🤭🤭 ila mbona kama mother hawajamuwekea chakula chochote 🤔
 
Watu wako busy huko kwenye maship building yard, kwenye malocomotive factories, kwenye automotives factories, kwenye heavy engine manufacturing factories, kwenye maviwanda ya electronics huko.

Wengine wako busy kwenye research centres huko kudevelop new products waendane na kasi ya Dunia + kulinda brand zao kama Samsung, Hyundai nk.
Majeshi yako busy kwenye mapatrol huko na kujiweka sawa na adui zao kama North Korea na China Kwa mbali.

Kifupi Taifa liko busy na huku Kila mtu akiwa busy na productive, HUO MUDA WAKUJA MAMIA YA WATU KUONGEA NA WATU KUTOKA AFRICA UNAFIKIRI WANAUTOA WAPI?
 
Kama Nina macho nahisi nimeona vikombe vya chai /kahawat.....nasikia navyo vimelipiwa😆
 
Aibu kweli yaani! Hao ndio wameuza Bahari yetu, waone walivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…