Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Acha kulalama ili kuficha ukweli dunia nzima wanajua wanaochinja watu ni hiyo dini kwa kuwa wao walishajichafua wameona walichafue na kanisa kwa kwenda ku hinja watu ndani ya kanisa hilo kuficha uovu wao!!
 
Hivi vikundi Vya kigaidi vipo kwa ajili ya kuharibu Taswira ya uislamu! Boko haramu,alshababu,islamic state ni mashetani tu
 
Huu ndio ukweli.Hivi vikundi vinapata pesa na silaha kutoka wapi.Na hili jambo la hao wanaowapa silaha na pesa,wasipokemewa,na kuanikwa wazi,hii hali,haitakwisha.
 
Umeulizwa swali wale magaidi wa Kibiti na wale waliokuwa wanachapa viboko watu kwenye mfungo wa Ramadhan nao walikuwa funded na US na Israel ?
Hakuna waislam hapo,fikiria katika akili yako,wanapata pesa wapi,za kula na mahitaji mengine,bila ya kuwa yupo mfadhili mwenye uwezo.Katika masharti ya kufunga katika uislamu
1.Anayefunga asiwe mgonjwa
2.Mwanamke asiwe kwenye siku zake.
3.Msafiri,kapewa ruhusa asifunge.
4kufunga lazima uwe muislamu
5.Mkichaa,haruhusiwi kafunga.
6.Ambaye hajafika umri wa kufunga,yaani amebalekhe au amevunja ungo.
Hawa wote utawajuwaje,kama hakufunga kwa sababu hizo,uwachape tu bakora.
 
Kumbe hata huelewi unachoandika, na source zako za kubumba, hapo ni kuwa USAID walitoa msaada kwa waislam kwa ajili ya shule zao, kwa upumbavu wao wakazihamishia hizo hela kwenye shughuli za ugaidi, who is fool now?
 
Hawa mahayawani wana roho za ajabu sana. Unauaje mtu huku ukiwa huna sababu za msingi za kufanya hivyo!
 
Kwamba waislam wao hawana pridence wakipewa fedha na makafiri wanaua tuu?
Nioneshe makala yako moja tu uliyowahi kuandika humu ukikemea mauaji yanayofanywa na waislamu wenzio nami nikuoneshe makala zako ukifurahia mauaji yanayofanywa na waislamu wenzio!
 
Ivi DRC napo kuna wanamgambo wa Islamic State kama Boko haram wa Nigeria 🇳🇬?
Huwa Najiuliza hawa waasi wanawashida vipi wanajeshi wa UN??
Wewe kwa akili yako hao ni waasi au mabepari wamewaweka kwa mipango yao? Hayo madini yote yanaenda kwa mabepari kwa nusu bei dunia ndio ipo hivyo na dunia nzima inajua
Unaona trump alichomwambia zelensky? Atachukua nusu ya madini ya ukraine kufidia alivyomsaidia
 
Matajiri wa uarabuni wengi tu wanafadhili makundia ya ugaidi kisiri.
 
Hakuna hata cha uislamu mkuu hao boko haramu imekuja kugundulika usaid ndio waliyokuwa wanawafadhili
ISis ni branch ya mosad
Wakishindwa kuweka magaidi nchini kwako wanakuua kama libya na iraq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…