Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Hija inafanywa na kikundi au mtu mmoja mmoja?Wale wa Kibiti nao walikuwa funded na US?
Tatizo la dini yako ni pale inapotaka kujipa mamlaka ya kisiasa!
Fikiria haya kwanza: pesa wanatoa wapi ? Je,wao ni asilimia ngapi ya waislamu wote duniani ,ISIS na makundi mengine wameua sana waislamu kuliko jamii nyingine kama hujui...Onesha wapi mtume aliamrisha kutumia bunduki .🤣🤣
 
Lete ushahidi, kuna Ushahidi wa kutosha Israel na Usa wana fund Isis na Al Qaeda.

Tuliona mpaka Kina Netanyahu wakiwa tembelea Hospital.

Juzi hapa Limebumburuka Boko Haram wanapewa misaada na US Aid, kwenye Bunge la Usa,

Unaweza ukaniambia hao Isis huko Congo
1. Nani anawapa silaha
2. Nani anagharamia kulipa Askari na wengineo?
Unafikiri silaha wanapewa bure?Mzungu anafanya biashara!
Kwani silaha za Hamas zinatoka wapi?
 
Fikiria haya kwanza: pesa wanatoa wapi ? Je,wao ni asilimia ngapi ya waislamu wote duniani ,ISIS na makundi mengine wameuwa sana waislamu kuliko jamii nyingine kama hujui...Onesha wapi mtume aliamrisha kutumia bunduki .🤣🤣
Enzi za mtume kulikuwa na mapamga na ndiyo mnayatumia kuchinja wasioamini!
Bunduki zimekuja hivi karibuni
 
Unafikiri silaha wanapewa bure?Mzungu anafanya biashara!
Kwani silaha za Hamas zinatoka wapi?
Hamas silaha zao zinajulikana most of them ni za kizamani sana ama ni home made hawana silaha yoyote ya kisasa hata kulipua Nyumba tu.

Anafanya biashara toka wapi? Unahisi kununua silaha ni child play? Zina gharama matrilioni ya hela, hao Is wanatoa wapi hayo Matrilioni ya hela, hapo hio Article wameonesha tu baadhi ya Silaha ni 2.8B usd zaidi ya Trilioni 6, kikundi cha waasi kinatoa wapi Trilioni 6.

Na kama Is wanatibiwa Israel, wanapewa Silaha na Marekani iweje uwanasibishe na waisilamu ambao kila siku wanauliwa na hao Is? Asilimia zaidi ya 90 ya watu Wanaouliwa na Is ni waisilamu.
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuutetea uislamu.
Shida ya dini yako ni kutaka kuwa na mamlaka ya kisiasa na si vinginevyo!Hao wa Isis,Boko harama, Kibiti na wengineo ndoto yao ni kuutawala ulimwengu kupitia uislamu.Watafanya kila hila ili azma yao itimie.
 
Lete ushahidi, kuna Ushahidi wa kutosha Israel na Usa wana fund Isis na Al Qaeda.

Tuliona mpaka Kina Netanyahu wakiwa tembelea Hospital.

Juzi hapa Limebumburuka Boko Haram wanapewa misaada na US Aid, kwenye Bunge la Usa,

Unaweza ukaniambia hao Isis huko Congo
1. Nani anawapa silaha
2. Nani anagharamia kulipa Askari na wengineo?
Swali kwanini wanaokubali kutumiwa na hao uliosema wengi au wote wanatumia jina la Mungu wa kwenye uislam?
 
....Hakuna kitu kam hicho Qur an ilishakataa kuuwa watu.
Mbona kurani 9.5 inawataka waislamu kuwaua waamini miungu wengi unless wakubali kuwa waislamu?

''Then when the sacred months have passed, kill the polytheists wherever you find them, capture them, besiege them, and lie in wait for them at every ambush. But if they repent, establish prayer, and give zakah, then let them go their way. Indeed, Allah is Forgiving and Merciful."
 
Ilikuwa ni wakati wa vita ambapo waliwekeana treaty ya nakubaliano ,some mwanzo mwisho yaani ile kushambuliwa na wao wanashambulia...Soma Qur an nzima yaani surah nzima sio nusu nusu .

Kwa hiyo ukute tu watu uanze kuwakamata 🤣🤣
 
M23 wanahoja, Congo hakuna serikali.

Tanzania inatakiwa kukaa mbali na haya mambo.

Donald Trump anataka deal na Ukraine liusishe US kupata access to rare earth minerals.

China kama counter measure ya US tariffs na wao wakatishia kupunguza supply ya rare earth mineral; ghafla bei ya commodity imepanda sokoni,

Sasa how on earth nchi yenye moja ya reserve kubwa duniani kama Congo. Eneo ambalo lenye hizo resources ulinzi wake wanafanyia mzaha.

Halafu sisi tujitie kimbele-mbele kuingilia. Matatizo ya Congo tuwaachie wenyewe; muhimu ni kwamba huo upuuzi auingii kwenye mipaka ya Tanzania.

Let it be
 
Ilikuwa ni wakati wa vita ambapo waliwekeana treaty ya nakubaliano ,some mwanzo mwisho yaani ile kushambuliwa na wao wanashambulia...Soma Qur an nzima yaani surah nzima sio nusu nusu .

Kwa hiyo ukute tu watu uanze kuwakamata 🤣🤣
Ilikuwa wakati wa vita ? So una maana hiyo aya imepitwa na wakati?
 
Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Suala ni kwamba wanajinadibisha na Uislam, na wanashanhiliwa na juungwa mkono na Waislam wengi,akiwemo Faiza!
 
Back
Top Bottom