Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.