Ww sh*ga nn.Kwan ni uongo yanga na simba wamejaa Muslims, anzia akina gsm wote( hersi saidi, hasan bumbul, manara, omar,n.k)njoo, moo( try again, Barbara, Ahmed ali,kassim, rabi Hume,babchicharito,asha baraka n.k)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww sh*ga nn.Kwan ni uongo yanga na simba wamejaa Muslims, anzia akina gsm wote( hersi saidi, hasan bumbul, manara, omar,n.k)njoo, moo( try again, Barbara, Ahmed ali,kassim, rabi Hume,babchicharito,asha baraka n.k)
YESU NI MUNGU LAZIMA ABUDIWE.
KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI
JESUS FIRST JESUS FOREVER
ndo maana nini sasa🤔 nimeshauri tu achana na mambo ya udini ... haya mambo ya dini ndo yanavuruga amani,
Nikweli kabisa nyuma ya haya mambo wapo WAISIHARAMU ambao wafanya juu chini kutuchafuria taifa kuna tofauti baina ya MUISIHARAMU NA MUISLAMU
Stupid thread.Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
Tafadhali sana. Tuheshimiane. Nimeandika maoni yao sasa unaingizaje hapo uislamu?Mbona Hao wakristo wako Wana mambo ya waislam??kulalama Lalama Tu.
Umekunywa maji ya upako?Wewe ni miongoni mwa wajinga, ukijielimisha kidogo utakaa sawa.
Wakristo wanapambana usiku na mchana kuurithi Ufalme wa Mbingu.
Leo tumekesha kwa Kiongozi Mwamposa kuusaka huo ufalme
We unahangaika na timu za mpira
Inaonekana hadi sasa hata hufahamu bado nani ni Wakristo.
Stupidest comment.Stupid thread.
Umetumwa na demigod kuja kuhalalisha jezi lenu la Sensa na Makazi siyoNmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
too be honest, hizi timu mbili kubwa za kariakoo, waasisi wake ni watu wa pwani ambao ni waislamu.
sishangai kama yanga watakuwa wameweka alama ya dini ya kiislamu kwenye jezi yao.
kwani watu wasiojishughulisha na dini ndo wanajishughulisha na shetani? unafikiria kutumia nini🤯Tuache mambo ya dini ili tushike mambo ya shetani??!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achaa kuwakejelii Wana yanga mkuu kwa kutumia dini ya kristo ,waambiee ukwelii tu ulionao moyonii mkuuu kuhusu jezi yao!!
Jamaa una akili wewe😂😂😂. Jezi imekosa kanisa tu ila kila kitu kipo hadi SGRNmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.
Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?
Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
Kwa Bwana Yesu, kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu ni Bwana.YESU NI MUNGU LAZIMA ABUDIWE.
KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI
JESUS FIRST JESUS FOREVER
Na mpumbavu ana comment upumbavu katika uzi huo huo. Maajabu hayaishi.Kweli kabisa ,kuna wapumbavu wamevamia na kuanzisha yao kipumbavu katika uzi wa kipumbavu.
Ungemjibu tu msikiti upo kweli au haupo. Na Kama upo umefuata Nini kwenye jezi za yanga? Je yanga ni timu ya kidini ?...Kichwa habari umesema ' Wakristo walalamikia...wakati Aya kwanza ya bandiko lako Umeanza na ' Baadhi ya Wakristo.. '
Usichanganye Mambo. Baadhi ya Wakristo hauwezi ikawa Dini Nzima....!!
Kwa sababu huna dini ndio maana hujui madhara ya udini. Unafikiri wangefanikiwa kuanzisha mahakama ya kadhi kipindi like wewe isingekugusa. Unawajua hao unaowatetea Wana malengo gani na hii nchi?.Nashangaa ...Wakristo hawana huo upuuzi