Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

Iyo haijafanyika bahati mbaya
Yanga na simba kwa muda mrefu zimekuwa religion oriented

Kuna nguvu kubwa ipo nyuma ya pazia inataka kubadilisha utamaduni wa nchi yetu

Hawa waarabu wa yanga wanatunza pesa za wanasiasa fulani wanaoiumiza nchi
Kumbe na Wakristo mna haya mambo ya kulalamika kama wavaa kobazi 🤣
 
Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.

Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?

Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.
Hii ni sahii kabisa japo unaipoza kiaiba Yanga wamekosea sana tena sana
 
Na mpumbavu ana comment upumbavu katika uzi huo huo. Maajabu hayaishi.
Sio maajabu kabisa na inahitajika uwe Popoma wa kiwango cha GENTAMYCINE kuona maajabu mtu kucomment kwenye uzi wa kipumbavu uliyoanzishwa na mpumbavu ,mbona manabii na mitume wanawafuata watu na jamii yenye wapumbavu ili kuwaelimisha na kuwaongoza kwenye uelekeo sahihi nao ni wapumbavu ?
 
kwani watu wasiojishughulisha na dini ndo wanajishughulisha na shetani? unafikiria kutumia nini🤯

Jambo lolote jema ni jambo la Kidini, ni jambo linalompendeza Mungu, ni jambo lenye misingi kutoka kwa Mungu, kinyume chake ni jambo la shetani.

Hakuna jambo lolote likawa jema lisitoke kwa Mungu na mambo hayo tunayapata kupitia dini.

Wewe unashindwa kujua jambo hilo??, unafikiri kwa kitumia nini??🤣
 
Iyo haijafanyika bahati mbaya
Yanga na simba kwa muda mrefu zimekuwa religion oriented

Kuna nguvu kubwa ipo nyuma ya pazia inataka kubadilisha utamaduni wa nchi yetu

Hawa waarabu wa yanga wanatunza pesa za wanasiasa fulani wanaoiumiza nchi
Kwa wenye jicho la udini..na utakua Roma tu
 
too be honest, hizi timu mbili kubwa za kariakoo, waasisi wake ni watu wa pwani ambao ni waislamu.

sishangai kama yanga watakuwa wameweka alama ya dini ya kiislamu kwenye jezi yao.
Tangu enzi na enzi Yanga na Simba zimejijenga kwenye uislam. Angalia mkutano wa wanachama wa hizi timu uone jinsi kulivyo na vibaraghashia kwa wingi. Hata uchawi na dua zote zinazotumiwa na hizi timu asili yake ni uislam.
 
Jambo lolote jema ni jambo la Kidini, ni jambo linalompendeza Mungu, ni jambo lenye misingi kutoka kwa Mungu, kinyume chake ni jambo la shetani.

Hakuna jambo lolote likawa jema lisitoke kwa Mungu na mambo hayo tunayapata kupitia dini.

Wewe unashindwa kujua jambo hilo??, unafikiri kwa kitumia nini??🤣
unaweza ukawa una dini na ukafanya hayo mambo yasiyo mema na unaweza usiwe na dini ukafanya mema mengi tu, kumjua Mungu na kufanya mema hakusiani na dini, Mungu ana dini gani?
 
Usiue, usizini, usiibe, usiseme uongo nk, umejuaje kufanya mambo hayo ni kosa??,

Mungu hana dini bali watu ndio wanatakiwa wawe na dini.
 
Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine.

Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama mpaka mnara wa Askari upo ,msikiti upo. Why iwe ngumu kuweka Kanisa?

Anyway....mimi nadhani ni kuepuka tu hizi imani kuingia kwenye clubs maana mwisho wake hautakuwa mzuri. Nashauri sana haya mambo wakae wayamalize viongozi. Hatutaki Migogoro isiyo na msingi.

Daima mbele nyuma mwiko e e mbwa koko nilikuwa natafuta vina
 
Usiue, usizini, usiibe, usiseme uongo nk, umejuaje kufanya mambo hayo ni kosa??,

Mungu hana dini bali watu ndio wanatakiwa wawe na dini.
hauitaji dini kufanya mambo mema, unaweza kumjua Mungu bila kuwa na dini that's just human nature mkuu.
 
Sio maajabu kabisa na inahitajika uwe Popoma wa kiwango cha GENTAMYCINE kuona maajabu mtu kucomment kwenye uzi wa kipumbavu uliyoanzishwa na mpumbavu ,mbona manabii na mitume wanawafuata watu na jamii yenye wapumbavu ili kuwaelimisha na kuwaongoza kwenye uelekeo sahihi nao ni wapumbavu ?
Unazidi kuonesha upumbavu wako...mimi lengo langu uzidi ku comment kuonesha upumbavu wako....😂bwege mtozeni, mazafanta ...
 
hauitaji dini kufanya mambo mema, unaweza kumjua Mungu bila kuwa na dini that's just human nature mkuu.

Human nature is the same as animal nature, but human nature have to be forged so as to accomplish morals, where then do morals accomplishments come from??!!, if all human races had their own morals values, according to human nature, you would have seen different moral values in different races of the world, probably some races would term fornication, theft, killings etc to be their own morals , therefore universal morals are those which are forged and universally accepted throughout the world thus they must be derived from the single source viz God through religious teachings via prophets.

All morals comes from the single source, God.
 
Jambo lolote jema ni jambo la Kidini, ni jambo linalompendeza Mungu, ni jambo lenye misingi kutoka kwa Mungu, kinyume chake ni jambo la shetani.

Hakuna jambo lolote likawa jema lisitoke kwa Mungu na mambo hayo tunayapata kupitia dini.

Wewe unashindwa kujua jambo hilo??, unafikiri kwa kitumia nini??🤣
Hata mahakama ya KADHI ni Jambo la kidini na linampendeza mungu na zile jihad pia ni Mambo ya kidini na yanampendeza mungu maana wanasemaga Allah akbaru. Hovyo Sana wewe.
 
Umeanza mashambulizi na matusi badala ya kutoa hoja?!!.--- hujui usemalo na Yehova akusamehe.

Kumbuka kwamba Sio kila kitu kinachofanyika kwa misingi ya dini ni lazima kiwe kimetokana na dini husika kwani vitu vingine hufanywa na waumini kwa makosa au kwa kutimiza tamaa za nafsi zao, mfano huko Ulaya kuna baadhi ya mashoga wanasema ushoga wao wameupata kupitia Injili na USHAHIDI wanautoa, pia kuna baadhi ya wanajeshi wa America walipokuwa kule Iraq, Afghanistan nk, walipokuwa wanauwa raia wasiokuwa na hatia huko walikuwa wakinukuu Biblia (Mathayo 10:34), sasa nikuulize hao jamaa walikuwa wakitekeleza Mafundisho ya Ukristo au walikuwa wakitekeleza tamaa za nafsi zao kwa mgongo wa Ukristo??!!, hivyo hivyo ningependa uangalie katika dini zote kwamba sio kila jambo lifanywalo na waumini huwa limetokana na mafundisho ya dini husika.
Ili kujua mafundisho sahihi ya dini husika yakupasa kwanza usome na uulize kwa wanaojua dini husika kabla hujaanza matusi na shutuma kwani matusi na shutuma ni vitendo vya Shetani.
 
Khee mbona sijawahi kusikia hapa kanisani kwetu??
 
Back
Top Bottom