Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga



Dini ndio inayoweza kumfanya mtu akawa mwanadamu, mtu hawi mwanadamu kwa sheria za kidunia au kwa mtutu wa bunduki, never ever. Bila dini mtu ni zaidi ya mnyama kwani akili yake inampa superiority ya kufanya chchote kama akili hiyo hiyo haitawekewa mipaka, je ni mipaka gani hiyo??, jibu, ndio maana Mungu akatuma manabii na kuwapa dini tujifunze kwa hao manabii ili tuwe na mipaka ya utu wetu na hivyo tuwe binadamu, vinginevyo mtu ni mnyama mbaya na hatari kuliko wanyama wote, Mungu aliyetuumba ndiye anajua jinsi ya kutuwekea mipaka na mipaka ya aina gani, wewe, mimi au yule hatuwezi kazi hii ya kujiwekea mipaka.
 
YESU NI MUNGU LAZIMA ABUDIWE.

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI

JESUS FIRST JESUS FOREVER
huyo yesu ni mungu wako. naona mungu wako alipigwa mpka leo hajarudi yupo kwa baba yake endelea kua na mungu alie zaliwa na mwanamke bikra[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kmaa kuna mkristo analalamika na ni kweli sio tetesi basi ahame timu kwan kalazimishwa kushabikia timu kama anaona haimsupport dini yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatafuta udini ila siku kikiwaka mtaomba yale mliokua mkiyataka yaishe faken mleta mada
 
Kwan ni uongo yanga na simba wamejaa Muslims, anzia akina gsm wote( hersi saidi, hasan bumbul, manara, omar,n.k)njoo, moo( try again, Barbara, Ahmed ali,kassim, rabi Hume,babchicharito,asha baraka n.k)
Uongozi uliopita wa Yanga viongozi wa juu wote wakristo hebu tuache haya mambo basi
 
huyo yesu ni mungu wako. naona mungu wako alipigwa mpka leo hajarudi yupo kwa baba yake endelea kua na mungu alie zaliwa na mwanamke bikra[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya bana allah the imaginary Arab skygod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…