Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

UARABUNI NI JANGWANI.

kama mnavyojua ndugu zangu.

1. WAISLAMU Huwa wanakaa chini msikitini kwasababu KWAO hakuna Misitu na MITI ya kutosha KIWEZA kuikata na KUTENGENEZEA mabenchi.

2. Walikosa ustaarabu WA kuzikwa kwenye majeneza kwasababu za uhaba wa MITI na mbao.

Hawa WAJINGA waliopo huku Nao wanaiga tu
 
Mwanzo 50:26.

Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.

Mwanzo 50:26
 
Pilipili iko shambani wewe inakuwashia nini?
Wewe zikwa uchi siku yako ikifika.
Mbona huulizi maiti zinazochomwa?
 
TUKIWAAMBIA QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI AMUELEWI.

QURAN .2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MUNGU NI SHETANI.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NI SHETANI.
ADUI WA GABLIEL NI SHETANI.

SHETANI NDIE ALIYEANDIKA QURAN.
 
Anzia kwa nini wavaa nguo
Nadhani mada kama hizi ambazo hazina kujenga umoja wetu Watanzania zisiendekezwe maana hazitujengi bali ufarakano, yoyote mwenye busara daima hatakubali huu mjadala maana ni wa kitoto sana

Tufurahie kumalizika kwa mfungo tuachane na mada hizi potofu
 
Yani wewe ukiwa na mtoto anaenda shule saa Moja ASUBUHI Hadi saa kumi na moja JIONI.

AKABADIRI RATIBA.
Akaanza kwenda SAA moja USIKU Hadi saa kumi na moja ALFAJIRI Asubuhi.

Hapa utasema mtoto AMEFUNGA SHULE.

Hakuna Mfungo. Hawa walikuwa wanashinda na njaa

WAMEBADILI RATIBA ya kula.
 
Khaaaa mbona chengachenga
 
Quran 40:60 - Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

JEHANAM INAWANGOJA.
Jifikirie, wewe unabudu binaadam na sisi tunaoabudu Allah, muumba wetu ambae ndie Yesu alimuabudu, nani hapo wa kwenda Jahanam?

Jibu unalo.
 
Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Watu wengine buwa mnajichosa sana, hivi kuna maiti wa kikristo amewahi kulalamikia suala la kuzikwa kwenye jeneza? Kama hakuna achana na mambo ambayo wahusika wenyewe hawajalalamika, cha kukushauri hebu wewe weka utaratibu wako mapema kabla haujaondoka. Kwamba ukifa uzikwe na sandarusi au salfeti au chovhote ambacho sio jeneza ila imani za wengine ziache tu zisikuumize sana
 
Hata utende mema vip kama ufuati dini we motoni. Labda uwe ujaambiwa kuhusu mwongozo

QURAN INASEMA WALE WANAO MWABUDU MWAMEDI WATAENDA JEHANAM.

Quran 40:60 - Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
 
Watu wengine buwa mnajichosa sana, hivi kuna maiti wa kikristo amewahi kulalamikia suala la kuzikwa kwenye jeneza? Kama hakuna achana na mambo ambayo wahusika wenyewe hawajalalamika, cha kukushauri hebu wewe weka utaratibu wako mapema kabla haujaondoka. Kwamba ukifa uzikwe na sandarusi au salfeti au chovhote ambacho sio jeneza ila imani za wengine ziache tu zisikuumize sana

TUMEMPA MISTARI YA BIBLIA BADO HAELEWI.

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
 
Back
Top Bottom