Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

TUMEMPA MISTARI YA BIBLIA BADO HAELEWI.

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
Huyo hawezi lurlewa mku, ngoja nisisemem mengi nisije nikaonekana mbaya
 
NAKUSHAURI MBAKA HAPA IFUTE UZI WAKO.

TUMEKUPA MISTARI YA NENO LA MUNGU BADO HUELEWI.

MWANZO 50:26.

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26

KAMA UNAAKILI TIMAMU UNGEFUTA UZI
 
TUMEMPA MISTARI YA BIBLIA BADO HAELEWI.

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
Hivi kwa nn kutumia nguvu namna hiyo

Primary tulisoma pilipili.............

Kifupi ndugu zangu kuweka mistari haisaidii bali kumpuuza maana yeye haisomi na hana hata hiyo Biblia

Kikubwa atoe mwaliko kesho tukapige ubweche[emoji23][emoji23]
 
Maandiko yana sema hivi kama picha inavyo jieleza
377648462.jpg
 
Una uhakika simu haipo kwenye maandiko? Dunia itakuwa kigajani ina maana gani? Kwamba kila kitu utakiona bila kificho.

Kitu nilichouliza. Tuliza akili ndo ujibu
Hahaaaaaaaa, toka nianze kusoma Biblia nikiwa darasa la nne hadi umri huu sijawahi ona sehemu imeandikwa dunia itakuwa kiganjani. Naomba andiko linalosema hivyo.
 
LUKA 7:12–14

12. Alipokaribia njia ya kuingia mjini alikutana na watu wal iobeba maiti wakitoka nje ya mji. Marehemu alikuwa mtoto wa kiume wa pekee wa mama mmoja mjane na umati wa watu wa mji ule ulikuwa pamoja na huyo mama.

13. Bwana Yesu alipomwona yule mjane moyo wake ulijaa huruma, akamwambia, “Usilie.”

14. Kisha akalisogelea lile jeneza akaligusa na wale waliolibeba wakasimama. Ndipo akasema: “Kijana nakuambia, amka!”
 
TUMEMPA MISTARI YA BIBLIA BADO HAELEWI.

26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
Hii ni sahihi nami nilikuwa nataka kuweka hili. Hongera kwa kuliweka hili. Sijajua amesemaje kwa andiko hili, japo masuala ya kuzika na mila za makabila Biblia haijaongelea kwani Biblia si kitabu cha Mila za watu. Biblia ni muongozo wa kumuishia Mungu.
 
LUKA 7:12–14

12. Alipokaribia njia ya kuingia mjini alikutana na watu wal iobeba maiti wakitoka nje ya mji. Marehemu alikuwa mtoto wa kiume wa pekee wa mama mmoja mjane na umati wa watu wa mji ule ulikuwa pamoja na huyo mama.

13. Bwana Yesu alipomwona yule mjane moyo wake ulijaa huruma, akamwambia, “Usilie.”

14. Kisha akalisogelea lile jeneza akaligusa na wale waliolibeba wakasimama. Ndipo akasema: “Kijana nakuambia, amka!”
Mungu akubarikinkwa hilo.
 
Jifikirie, wewe unabudu binaadam na sisi tunaoabudu Allah, muumba wetu ambae ndie Yesu alimuabudu, nani hapo wa kwenda Jahanam?

Jibu unalo.
Sasa unakataa maandiko yenu we ajuza? Quran haisemi hivyo jama katunga au?
 
Mwanzo 50:26 BHN​

26. Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.
 
Tunamfata Yesu, alayhi salaam.
Kumfuata mtu ni tofauti na kuandikwa. Kama ni hivyo basi na sisi tunafuata utamaduni wa wenzetu wa magharibi wa kuwahifadhi marehemu katika mazingira mazuri, kabla ya kwenda kuwahifadhi kwenye nyumba zao za milele.

Vipi na kuyajengea makaburi kwa cement, marumaru, na kuandika majina ya marehemu, mwaka wa kuzaliwa, kufa, nk?
Maana hata nyinyi huwa mnafanya! Imeandikiwa wapi kufanya hivyo?
 
Kwani wewe ni maandiko yapi una yaamini? I want to be fair kwenye kukujibu....
 
Kwani ni andiko gani limekataza wasizike kwa jeneza????
Naongezea: Je, kwani andiko lake linasemaje kuhusu wanaozikwa kwa kuchoma moto? au wanaozikwa angani andiko lake linasemaje?
Mm nashauri kwamba kila Jamii au waamini waachwe wazike kwa kadri inavyowapendeza au Utamaduni wao ulivyo.
 
Back
Top Bottom