CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wizi tu, wanafanya hivyo waziwahi nguo alizopambwa nazo maiti.Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Anzia kwa nini wavaa nguoNaomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Tunamfata Yesu, alayhi salaam.Wapi umeambiwa kuvaa makobazi muda wote, badala ya viatu?
Nadhani mada kama hizi ambazo hazina kujenga umoja wetu Watanzania zisiendekezwe maana hazitujengi bali ufarakano, yoyote mwenye busara daima hatakubali huu mjadala maana ni wa kitoto sanaAnzia kwa nini wavaa nguo
Tunamfata Yesu, alayhi salaam.
Nadhani mada kama hizi ambazo hazina kujenga umoja wetu Watanzania zisiendekezwe maana hazitujengi bali ufarakano, yoyote mwenye busara daima hatakubali huu mjadala maana ni wa kitoto sana
Tufurahie kumalizika kwa mfungo tuachane na mada hizi potofu
Khaaaa mbona chengachengaYani wewe ukiwa na mtoto anaenda shule saa Moja ASUBUHI Hadi saa kumi na moja JIONI.
AKABADIRI RATIBA.
Akaanza kwenda SAA moja USIKU Hadi saa kumi na moja ALFAJIRI Asubuhi.
Hapa utasema mtoto AMEFUNGA SHULE.
Hakuna Mfungo. Hawa walikuwa wanashinda na njaa
WAMEBADILI RATIBA ya kula.
Jifikirie, wewe unabudu binaadam na sisi tunaoabudu Allah, muumba wetu ambae ndie Yesu alimuabudu, nani hapo wa kwenda Jahanam?Quran 40:60 - Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
JEHANAM INAWANGOJA.
Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Watu wengine buwa mnajichosa sana, hivi kuna maiti wa kikristo amewahi kulalamikia suala la kuzikwa kwenye jeneza? Kama hakuna achana na mambo ambayo wahusika wenyewe hawajalalamika, cha kukushauri hebu wewe weka utaratibu wako mapema kabla haujaondoka. Kwamba ukifa uzikwe na sandarusi au salfeti au chovhote ambacho sio jeneza ila imani za wengine ziache tu zisikuumize sanaNaomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Hata utende mema vip kama ufuati dini we motoni. Labda uwe ujaambiwa kuhusu mwongozo
Ndugu kifupi aanzishe mada nyingine hii imebuma. Ila tuwe makini na watu kama hawaUnataka tu kuleta ubishani usio na maana, wewe ni wa kupuuza.
Watu wengine buwa mnajichosa sana, hivi kuna maiti wa kikristo amewahi kulalamikia suala la kuzikwa kwenye jeneza? Kama hakuna achana na mambo ambayo wahusika wenyewe hawajalalamika, cha kukushauri hebu wewe weka utaratibu wako mapema kabla haujaondoka. Kwamba ukifa uzikwe na sandarusi au salfeti au chovhote ambacho sio jeneza ila imani za wengine ziache tu zisikuumize sana