Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Tukisema wakiristo ni wa dini sana huwa tunamaanisha ona ulichoandika sasa kwa mwislamu anaetekeleza maandiko hawezi kukuacha salama kwa matusi hayo halafu uje umuite gaidi

Wakiristo hamna uvumilivu wa kidini kabisa na mna matusi kutukana dini za wengine,

Hapo nimekupa mfano wa aya, Mungu (ambae wewe humuamini) anawaambia wenye kumuamini kuwa wapigane na makafiri wale ambao "wanatunaka dini"

Ukiangalia vizuri ni kwamba muislam hawezi kumkuta tu mkiristo kakaa tu akaanza kupigana nae au kumuua ila huwa kuna sababu ambayo ipo kisheria

Kwahiyo mtaendelea kuwaita watu magaidi mpaka muache kukebehi na kutukana dini za watu
Kwa ujinga wenu huo ndiyo maana mnaahidiwa mabikira 72 na kwa sababu mnapenda ngono mnakubali upuuzi huo. Kama una akili timam unamuuaje binadamu mwenzako kwa sababu tu yeye Ana imani tofauti na ya kwako? Acheni ujinga ndiyo maana monadanganywa na mnaenda makka kumpiga shetani mawe nanyi mnakubali uongo huo!!! Ni wajinga tu na wapumbavu kama wewe wanashabikia kuua watu simply tu wana Imani tofauti na yako!!
 
Tamaduni za wakoloni hakuna mwenye afadhali
 
Bila Mohammed Musa Alkhawarizm,kugundua Algebra,ambayoinasomwa kila siku mashuleni duniani,dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona,binadamu katengeza,kinatokana na information technology,na IT,inatokana na Algebra,na Algebra ni Mohammed Musa Alkhawarizim,mvaa kobaz.
Ndo sheikh Kipozeo kakwambia hivyo?
 
Kwa ujinga wenu huo ndiyo maana mnaahidiwa mabikira 72 na kwa sababu mnapenda ngono mnakubali upuuzi huo. Kama una akili timam unamuuaje binadamu mwenzako kwa sababu tu yeye Ana imani tofauti na ya kwako? Acheni ujinga ndiyo maana monadanganywa na mnaenda makka kumpiga shetani mawe nanyi mnakubali uongo huo!!! Ni wajinga tu na wapumbavu kama wewe wanashabikia kuua watu simply tu wana Imani tofauti na yako!!
Ukiangalia andiko lako zima limejaa matusi na chuki dhidi ya waislam sijui ni Mungu gani huyo aliehimiza matusi kwa dini nyingine
 
Hivi mkristo kabisa unashindwa kwenda kuishi nchi ya Hadi, unaenda Syria, UNAJIPENDA KWELI?
 
Mwislamu mzima na kuchamba kotę huko unashindwa kwenda kuishi Makka unaishi Manzese utakuwa kweli hujipendi!!
 
Ukiangalia andiko lako zima limejaa matusi na chuki dhidi ya waislam sijui ni Mungu gani huyo aliehimiza matusi kwa dini nyingine
Ujinga wako tu angalia mada yenyewe inasemaji kwa ujinga na Upumbavu wenu mmeigeuza mada Ikara ya kutukana dini na wakristo!! Wakristo hapa wana jibu tu mapigo Ila matusi ni yenu waislamu
 
Chuki tu umekujaa huna kingine mada yako inathibitisha hilo
 
Ukiambiwa ukweli wewe unakimbilia kwenye kichaka chenu cha kujificha!! Mnasingizia chuki ili kuficha uovu wenu!,
Wewe una chuki tu na uislam ndio maana mitusi inakutoka huna hoja za msingi

Tunakuelimisha kuwa serikali ya Assad iliyopinduliwa watu wake ndio wanauwawa na waasi waliopindua nchi hawa wanaokufa ni wa madhehebu yote yale yaliyokuwa yanamuunga mkono Assad na sio wakiristo tu kama unavyotuaminisha hapa

Hiyo inatokea hadi Ukraine ambapo Urusi wanashambulia hadi makanisa na asasi za kijamii ila wewe umetarget moja kwa moja waislamu pekee

Pia tumeona Palestine ambapo Israel ilikuwa inashambulia hadi makanisa na misikiti na taasisi nyingine za kiraia kama shule na hospital ambapo kuna mchanganyiko wa watu wa dini mbali mbali mbona hukusema kuwa Israel inawaua wakiristo wakati pia wakiristo walikuwa wanauliwa

Shida yako inakuja kwakuwa Syria ni nchi ya kiislamu basi lengo la chuki zako dhidi ya uislamu ndio limetimia kuona waislamu wanawaua wakiristo eti kisa nchi ni ya waislam jaribu kupevuka kidogo acha chuki zisizo na msingi jikite kwenye uhalisia
 
Acha ujinga wewe nimekuwekea hapa ushahidi wa kuuwawa kwa wakristo na wanaodaiwa kuwa ni waliokuwa wanamuunga mkono Assad ( Alawite ) na kweli kuwa wanauwawa madhehebu yote huo ni uongo wenu tu kuuhadaa ulimwengu kuwa jamaa zenu wanaua dini zote wajinga tu ndiyo mtawadanganya lakini watu waelewa wanajua ukweli wakristo wanauwawa kikatili sana na utawala mpya wa kiislamu.
Umeongelea Ukraine ili tu kuficha uovu wanaofanyiwa wakristo huko Syria issue ya Ukraine hailingani na ya Syria lakini kwa kuwa mnataka mtimize uongo wenu mnaouita TAQIYYAH kusema uongo kwa ajili ya mnyazi-mungu wenu!!
Umeongelea kuhusu Gaza ambako Magaidi wa Hamas waligeuza nyumba za Ibada kuwa kambi zao za kuhifadhia silaha mbalimbali yakiwemo mabomu wakiamini Majeshi ya Israel yakichukua hatia dhidi ya Makanisa,Misikiti,Hospitali na nyumba za kijamii zinazotumika kigaidi wanapigwa kelele ili waonewe huruma au kuungwa mkono na jumuia za ki Mataifa kwa upuuzi wao huo kuzigeuza nyumba za ibada kuwa maficho ya magaidi na kushambuli watu kutokea kwenye nyumba za ibada. Majeshi ya Israel hayakusita kuzishambulia nyumba hizo za Ibada kwani zilikuwa zimekosa hadhi ya kuitwa nyumba za Ibada maana zilikuwa zinatumika kigaidi na zina miundombinu ya kigaidi ndani yake.
Mauaji ya wakrista huko Syria hata umoja wa Mataifa na jumuia zake umeshindwa kukemea maana umoja huo ulishatekwa nyara na waislamu. Watu wanauwawa Sudan,DRC wao wamebunda tu wanasubiri Israel ishambuliwe na Magaidi na ikijibu mapiga Umoja wa Mataifa na Jumuia zake ndipo wanaanza kubwabwaja ovyo hawana maana kabisa na wanafanya kazi zao kwa upendeleo ulio wazi kabisa!!.
 
Attachments

  • 🇸🇾_A_Christian_in_Syria_is_asking_for_help,_because_people_in_his.mp4
    12.3 MB
  • Syria_The_situation_is_worse_than_most_know_“They_are_carrying_out.mp4
    17.1 MB
Acha ujinga wewe nimekuwekea hapa ushahidi wa kuuwawa kwa wakristo na wanaodaiwa kuwa ni waliokuwa wanamuunga mkono Assad ( Alawite ) na kweli kuwa wanauwawa madhehebu yote huo ni uongo wenu tu kuuhadaa ulimwengu kuwa jamaa zenu wanaua dini zote wajinga tu ndiyo mtawadanganya lakini watu waelewa wanajua ukweli wakristo wanauwawa kikatili sana na utawala mpya wa kiislamu.
Umeongelea Ukraine ili tu kuficha uovu wanaofanyiwa wakristo huko Syria issue ya Ukraine hailingani na ya Syria lakini kwa kuwa mnataka mtimize uongo wenu mnaouita TAQIYYAH kusema uongo kwa ajili ya mnyazi-mungu wenu!!
Umeongelea kuhusu Gaza ambako Magaidi wa Hamas waligeuza nyumba za Ibada kuwa kambi zao za kuhifadhia silaha mbalimbali yakiwemo mabomu wakiamini Majeshi ya Israel yakichukua hatia dhidi ya Makanisa,Misikiti,Hospitali na nyumba za kijamii zinazotumika kigaidi wanapigwa kelele ili waonewe huruma au kuungwa mkono na jumuia za ki Mataifa kwa upuuzi wao huo kuzigeuza nyumba za ibada kuwa maficho ya magaidi na kushambuli watu kutokea kwenye nyumba za ibada. Majeshi ya Israel hayakusita kuzishambulia nyumba hizo za Ibada kwani zilikuwa zimekosa hadhi ya kuitwa nyumba za Ibada maana zilikuwa zinatumika kigaidi na zina miundombinu ya kigaidi ndani yake.
Mauaji ya wakrista huko Syria hata umoja wa Mataifa na jumuia zake umeshindwa kukemea maana umoja huo ulishatekwa nyara na waislamu. Watu wanauwawa Sudan,DRC wao wamebunda tu wanasubiri Israel ishambuliwe na Magaidi na ikijibu mapiga Umoja wa Mataifa na Jumuia zake ndipo wanaanza kubwabwaja ovyo hawana maana kabisa na wanafanya kazi zao kwa upendeleo ulio wazi kabisa!!.
Kwahiyo serikali ya Assad ilikuwa ya kikiristo na Assad mwenyewe alikuwa mkiristo ambaye aliweza kuishi na wakiristo bila kuwauwa wakati wote huo hadi alipopinduliwa na waislam ndio waislam wakaanza kuwaua wakiristo?
 
Maswali ya kijinga na kipumbavu kabisa. Unachokifanya ni kutetea mauaji ya wakristo na vikundi vingine vidogo wanaouliwa na watawala
 
Hata watoto wa chekechea hawawezi kujibu ujinga na upumbavu huo
Huna hoja unapelekeshwa na mihemko ya dini na udini

Assad sio mkiristo na hajawahi kuwa mkiristo kwanini hakuwaua wakiristo?
 
Unaniuliza mimi kamuulize Assad atakujibu!!
Sasa kumbe unakubali Assad ni muislam na hakuwaua wakiristo unakujaje kusema waislam wanaua wakiristo?

Ukiacha mihemko ya kidini na udini utajua uhalisia uko wapi ila ukishupaza shingo utajikataa na kujikubali mwenyewe
 
Back
Top Bottom