Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Akili za wakiristo zimefungwa pale walipoaminishwa Israel ni taifa teule la Mungu kwa hiyo kila anaekaa Israel ni mteule hata kama anawaua wanampongeza
 
Wewe umeona kwenye hiyo clip mtu akipigwa risasi?

Je hao aliowaita "wakiristo wanauliwa" umeona alievaa msalaba hapo?

Hayo makundi ya kiasi yanauwa yeyote aliehusika kuwakandamiza enzi za Assad iweje kuwatarget waislam kuwa wanaua wakiristo? Chuki! Chuki! Chuki! Dhidi ya uislam
We muarabu wa wapi ndugu? Kitukuu cha ngapi cha mtume?

Huwezi mjua mkristo kwa kuvaa msalaba pekee.... kama hujui mkristo kwanza anabeba msalaba katika moyo wake daima hayo ya mwilini badae....

Na ingekuwa hivyo basi blaza domo na yule mmakonde ni wakristo kwakuwa wanavaa msalaba..

Hapa hatuongelei chuki dhidi ya uisilami wenu.. huo ni ujumbe kwenu waislamu.. AMANI MNAYO IHUBIRI ZIKU ZOTE IKO WAPI? maana msasemaga uislam ni dini ya amani... UTU WENU UKO WAPI?, IMANI YENU IPO? Mnasema ALLAH NI MWINGI WA REHMA, HIZI REHMA MBONA HATIZIONI?
 
Mnakariri adui yenu ni muislam mnasahau hata wayahudi sio ndugu zenu mnajipendekeza tu
Sisi hapa hatuzungumzii ya wayahudi... na kama wangefanya hivyo.. Tungesema.. maana wale ni binadamu kama binadamu wengine na watahukumiwa sawa na wanadamu wengine...
 
Kitu gani wewe kimekujulisha kuwa hao si Wakristo? Waislamu ni majority sana kipindisha habari hata kama haziwasaidii chochote!!
Kwani mimi nimekwambia hao ni wakiristo....!? nimeuliza kilichokufanya ujue ni wakiristo ni nini, kama umeshindwa kujibu basi, wacha tuamini hao ni wasiria walioamua kuuana wemyewe kwa wenyewe kwa sababu zao wazijuazo! Nakushauri nenda Congo uwasemee wakristo wanauana sana aisee! hapo panakuhusu sana kuliko huko uarabuni!
Kitu gani wewe kimekujulisha kuwa hao si Wakristo? Waislamu ni majority sana kipindisha habari hata kama haziwasaidii chochote!!
 
Kabla Yesu hajaondoka alitaja ujio wa mpinga Kristo ambaye atawachinja sana Wakristo na ndio huu ujio wa uislamu, Wakristo wengi watajiunga kwa huo mfumo wa jehanamu ila Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ataokoka.
Huwa na washangaa sana wasabato wanaposema eti papa wa roma ni mpinga kristo,wakati wapinga kristo wako wazi kweupe wanau na kutesa wakristo nao sio wengine ni waisalm,kwangu mimi uislam ndio mpinga kristo halisi bila kificho.
 
Bila Mohammed Musa Alkhawarizm,kugundua Algebra,ambayoinasomwa kila siku mashuleni duniani,dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona,binadamu katengeza,kinatokana na information technology,na IT,inatokana na Algebra,na Algebra ni Mohammed Musa Alkhawarizim,mvaa kobaz.
Huyu nadhani mnamtambua ninyi tu huko madrasa,wala ulimwengu wa wanasayansi hatambuliki
 
Sisi hapa hatuzungumzii ya wayahudi... na kama wangefanya hivyo.. Tungesema.. maana wale ni binadamu kama binadamu wengine na watahukumiwa sawa na wanadamu wengine...
Mbona wamewaua ndugu zenu wakiristo wengi tu kule gaza hatukusikia mkisema
 
We muarabu wa wapi ndugu? Kitukuu cha ngapi cha mtume?

Huwezi mjua mkristo kwa kuvaa msalaba pekee.... kama hujui mkristo kwanza anabeba msalaba katika moyo wake daima hayo ya mwilini badae....

Na ingekuwa hivyo basi blaza domo na yule mmakonde ni wakristo kwakuwa wanavaa msalaba..

Hapa hatuongelei chuki dhidi ya uisilami wenu.. huo ni ujumbe kwenu waislamu.. AMANI MNAYO IHUBIRI ZIKU ZOTE IKO WAPI? maana msasemaga uislam ni dini ya amani... UTU WENU UKO WAPI?, IMANI YENU IPO? Mnasema ALLAH NI MWINGI WA REHMA, HIZI REHMA MBONA HATIZIONI?
Swali ni kuwa huko Syria wanauana wasyria? Au waislam wanawaua wakiristo kama anavyotuaminisha mtoa mada? Toa jibu
 
Tumia akili yako vizuri Wakristo hawapigani bali wanauwawa na watawala wapya
 
Katika matatizo ya Islamophobes ni kama haya. Nje ya Uislam jamii zote za binadamu utakuta tabia ya ukabila na kujifakharisha kwa nasabu.



Unatia aibu. Inaonesha huijui kabisa kabisa historia ya Uislam.

Halafu ni Uislam ndio umekuja kuondoa ukabila na ni Uislam ndio dawa ya ukabila. Malcolm X anakwenda Hijja miaka ya 60 kashangazwa na aliyoyaona kule mpaka akaandika barua kutokea Makkah ndani yake akielezea aliyoyaona. Anashangaa watu ambao wameunganishwa na Imani wako bega kwa bega katika Ibada na wako rangi tofauti na jamii tofauti, kitu ambacho kwao hakukiona wakati ambao watu weusi baadhi ya sehemu Marekani wakikatazwa hata kuchanganyika na weupe makanisani.


Allah said:

إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ

Verily, the most noble of you to Allah is the most righteous of you.

Surat al-Hujurat 49:13


Abu Nadrah reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

يَا أَيُّهَا النَّاسُ أَلَا إِنَّ رَبَّكُمْ وَاحِدٌ وَإِنَّ أَبَاكُمْ وَاحِدٌ أَلَا لَا فَضْلَ لِعَرَبِيٍّ عَلَى أَعْجَمِيٍّ وَلَا لِعَجَمِيٍّ عَلَى عَرَبِيٍّ وَلَا لِأَحْمَرَ عَلَى أَسْوَدَ وَلَا أَسْوَدَ عَلَى أَحْمَرَ إِلَّا بِالتَّقْوَى أَبَلَّغْتُ

O people, your Lord is one and your father Adam is one. There is no favor of an Arab over a foreigner, nor a foreigner over an Arab, and neither white skin over black skin, nor black skin over white skin, except by righteousness. Have I not delivered the message?

Source: Musnad Aḥmad 22978, Grade: Sahih




Uislam gani unaouzungumzia?


Amr ibn al-‘As reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, “Verily, the relatives of my father are not my allies. Verily, only Allah and the righteous believers are my allies. Yet, they have the bonds of kinship and I will uphold their family ties.”

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 5990, Ṣaḥīḥ Muslim 215





Ndio hoja yako hii kuonesha kuwa Ukabila ni "core values" ndani ya Uislam? Hizi ndio "Logic" mnazosoma sio? Kwanza, kuoana wenyewe kwa wenyewe sio ushahidi wa kuonesha ukabila.

Pili, kuuhusisha desturi hii na Uislam au waarabu peke yao ilhali jamii zote za binadamu zina kawaida ya kuoana wao kwa wao, huo ni ujinga au chuki tu au vyote kwa pamoja.

Tatu, Uislam haujakataza kuoa nje ya race, tribe au ethnic group yako. Ili mradi tu ufuate Shari'ah ya Dini katika Ndoa, unaweza kuoa kabila lolote au rangi yoyote. Na katika Uislam kuna interracial, inter-tribal, inter ethnic marriages nyingi mno. Hili halipaswi hata kuwa mjadala.

Mtu kuoa au kuolewa na rangi fulani au kabila fulani ima ni la kwake au la kwengine ni chaguo lake kwa sababu tofauti tofauti zinazokubalika. Afuate tu Shari'ah ya Dini inasemaje.

Umoja na kuungana ni katika Tawheed (kumpwekesha Allah) na kumfuata Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Hii sio dini ya ukabila. Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alipigana mpaka na kabila lake la Quraysh kwa ajili ya Dini hii na katika waliokuwa pamoja naye wapo mpaka watu weusi akina Bilal (Allah Amridhie yeye na Maswahaba wote wa Mtume).

Ni katika Uislam ndio watu kama Swahaba mtukufu Bilal (Allah Amidhie) ambaye alikuwa mtumwa mweusi kabla ya Uislam, baada ya Uislam akawa ni Muadhini wa kwanza. Mtu aliyeitoa Adhana juu ya Ka'abah Tukufu.

Uislam sio Dini ya ukabila ndio maana Abu Lahab ataingia motoni wakati ni baba yake mdogo Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na Bilal (Allah Amridhie), mwafrika ataingia peponi. Abu Talib ataingia motoni ilhali ni baba yake mkubwa Mtume na alimtetea Mtume ila akafa kafiri na ataingia motoni japo ni baba yake mkubwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu ya Mtume Muhammad). Ndio maana akina Abu Jahal na 'Utba Bin Rabi'ah wataingia motoni japo walikuwa kabila moja na Mtume na waliishi Makkah karibu na Ka'abah.

Uislam sio Dini ya ukabila, ndio maana ukakuta Maswahaba wa Mtume waliokuwa weusi (Bilal, Ummu Ayman, Wahshi, na kadhalika), waliokuwa wafursi kama Salman al-Farisy, waliokuwa wana asili ya uyahudi (wakaja kusilimu) kama 'Abdullahi Ibn Salam, Mama yetu Safiyya Bint Huyayy (Mke wa Mtume) na wengineo wengi Allah Awaridhie wote. Kuna wanafunzi wa Maswahaba ambao walikuwa sio waarabu, kuna wanafunzi wa wanafunzi wa Maswahaba ambao hawakuwa waarabu, kuna Maimam wakubwa katika Dini hii ambao hawakuwa waarabu kama Imam Bukhari, Imam Abu Dawud, Imam Tirmidhi, Imam Nasa'i, Imam Ibn Majah, Imam Abu Hanifa na wengineo wengi kutoka zamani mpaka sasa.


View: https://youtu.be/yAzlsFDmsJI?si=fIA7bI8SnTe7qLcE

Dini hii imetumikiwa na kila jamii. Bado Dola za jamii tofauti tofauti kama Waturuki (Seljuqs, Ottomans na kadhalika), Wakurdi (akina Salahuddin al - Ayyubi), Songhai Empire, Mali Empire akina Mansa Mussa waafrika, Almohads (Al Muwahhiduun) na AlMoravids (Al Murabituun) Wa Berber wa Afrika Kaskazini, kuna Waajemi, na wengineo. Wote wameitumikia Dini hii tukufu ya Uislam.

Kuna misikiti hapa bongo kama sio muarabu husalishi ngozi nyeusi,sembusr ukabila..uislamu na mauaji na chuki ni tako na chupi..true definition of satan
 
Ajabu sana kuwa umeshindwa kuona kuwa hao wote uliowataja ni wahanga wa sera za kimataifa za kilafi za marekani na washirika wake. Kinachowaponza wengi katika hao ni resources zao zinazatamaniwa na nchi za magharibi.

Jaribu kudadisi ni vipi watu hawa waliishi kabla ya ukoloni (Uislamu ulishakuwepo kwa zaidi ya karne kumi kabla ya ukoloni), je waliishi vipi? ... ingia hata Chat Gpt uliza maisha yalivyokuwa kabla ya ukoloni huko Somalia. Hapo utapata kuona ukweli kuwa tatizo ni mzungu na mifumo yake, mifumo ambayo siku zote anaachia athari ya kuwabomoa hata akiondoka ili aendelee kuwa na power juu yenu. Mfano, Africa leo hii hakuna nchi iliyo kwenye ukoloni kwa takriban miaka 60 lakini je tumefanikiwa kujiongoza?

Kwanza wamekuletea mfumo wa utawala (demokrasia) ambao ni lazima kwako kuufata ama uingie nao vitani moja kwa moja kwa jina la Umoja wa mataifa. Pili, ukiingia katika mfumo huo wanahakikisha unakuwa ni utawala wenye madaraka yaliyogawanywa ili kuweza kudhibiti kirahisi kiongozi tishio kwao na kumpenyeza wanaemtaka. Tatu, ukiwa kiongozi uaetambua kuwa muda wako unahesabika (5 or 4 years periods) ni rahisi wao kukushawishi kujinufaisha kwa kichache ili uwape wao kikubwa.

Ukigoma yote hayo, either wakuwekee wapinzani wanaowapa nguvu ama waasi ama wakuuwe wenyewe (rejea kilichompata Gaddafi na wengine kama yeye).

Nakusihi ndugu yangu usihadaike na propaganda za US, njia pekee ya kujitawala ni kujikomboa kutoka kwao na kuwa tishio dhidi yao i.e. Korea, Russia, China, Iran etc. Sio kwamba hawa wanaweza kumshinda USA kivita ila damage wanayoweza kuisababishia US katika vita kubwa kiasi kwamba baada ya vita US itakuwa imepoteza nguvu yote, hii ndo sababu wanawaacha wajitawale bila kuwaingilia na nenda kaangalie maisha na uchumi wao upoje kwa kujitawala wenyewe.
Kwahiyo kwako madikteka kama mobuti,gadafi na wengineo ndio utawala unaoutaka urusi,korea kaskazini ni nchi za kidkteka mrusi ana uwa wapinzani korea kaskazini ni nchi iliyojaa umasikini kwahiyo kwako hiyo ndio mifano mizuri ya utawala.

Uchina bila kuruhusu wazungu waingie na kuweka viwanda na kufanya soko huria angekuwa masikinj wa kutupwa same kwa nchi za middle east kama UAE na Quatar,Saud arabia nao wameamua kuachana na upuuzi wameungana na wazungu ili kuendeleza nchi zao.

Iran kajaza propaganda na wengi wameikimbia au wapo katika hatakati za kuikimbia hiyo nchi ya kihafidhina.
 
Mgogoro wa Syria ni kielelezo tosha Cha ujinga wa Jamii za Kiarabu. Hao Alawites Ndio kabila la Assad, Wameua Sana Waarabu wengine.
Pale Rwanda 1994 walichinjana adi Makanisani walikuwa Waarabu Ukraine na Russia nao Waraabu Rwanda na Congo vip nao waislamu!!!!!!
 
20250311_170443.png
 
Back
Top Bottom