Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Bila Mohammed Musa Alkhawarizm,kugundua Algebra,ambayoinasomwa kila siku mashuleni duniani,dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona,binadamu katengeza,kinatokana na information technology,na IT,inatokana na Algebra,na Algebra ni Mohammed Musa Alkhawarizim,mvaa kobaz.
Mimi kinachonishangazaga kuhusu umma wa Muhammad yani mambo yenu mnayajuwaga wenye jamii nyingine hatujui mpka mtujuze ..
Ila wakristo tukisema Isaac Newton alifanya hili na lile jamii zote tunakubari coz kama hukulisoma darasani basi utalikuta kwenye historia mbali mbali
Ila nyie mambo yeni ni yenu tu! Utasikia Muhammad aligawa mwezi vipande viwili lkn huu muujiza mnaujuwa nyie Tu na quran yenu ila tukija hapa tukasema Yesu alimbea juu ya maji,Musa aligawa bahari ya sham kwa vimbo kila jamii inatambua na hata ukitaka uthibitisho ya maandiko ,makumbusho za kihistoria utakuta misumali iliyotumika kumsurubisha Yesu ,fimbo ya Mussa
Ila Muhammad mnamini ndio mtume wa mwisho kabla ya wote hao ambapo technologia ilikuwa imekuwa zaid but mbona jamii nyingi hazifahamu kuhusu mambo aliyofanya nnje ya Quran
 
Ila Waislamu ndugu zetu Mkiambiwa dini yenu Ina kama kalaana hamkubali karibu nchi zenu zote zenye watu wenye itikadi yenu utakuta wanauana kama Kuku na hata hawajali sio Somalia,Syria, Afghanistan,Lebanon,Iran Iraq Yani nyie ni watu wa fujofujo tu hivi hata nyie wa Huku Tanzania hamuogopi viashiria vya Vurugu kwenye Nchi za Washirika wenzenu? Wa dini yenu Hivi ni mungu Gani huyo ambaye mnamwita Allah Ambaye kamwe hapendi Amani na Upendo kwa viumbe na Watoto wake? Ni nini hicho mnachokiamini kama tu nyie kwa Nyie hamuelewani Yani Waarabu kwa Waarabu wanaabaguana na Kuuana?

Sijasema ukristo uko Perfect Yani kama ni Ukristo nao una makandokando yake kibao lakini Unahubiri Upendo na Amani ndugu zanguni waislam lakini Kuna kitu cha kujifunza nyie kwa nyie haswa Waislamu wa Hapa kwetu

Naanza Kufunguka macho kwa nini hata Mungu alideal zaidi na Uzao wa YAKOBO badala ya ISHMAEL Yani alikua akiufatilia zaidi huo Uzao wa YAKOBO/YAKUB kuliko ISHMAEL pengine Kuna chembechembe za Ukaidi alishaziona kwa ISHMAEL akaamua kumweka Bench na Kudeal na Yakobo
Ajabu sana kuwa umeshindwa kuona kuwa hao wote uliowataja ni wahanga wa sera za kimataifa za kilafi za marekani na washirika wake. Kinachowaponza wengi katika hao ni resources zao zinazatamaniwa na nchi za magharibi.

Jaribu kudadisi ni vipi watu hawa waliishi kabla ya ukoloni (Uislamu ulishakuwepo kwa zaidi ya karne kumi kabla ya ukoloni), je waliishi vipi? ... ingia hata Chat Gpt uliza maisha yalivyokuwa kabla ya ukoloni huko Somalia. Hapo utapata kuona ukweli kuwa tatizo ni mzungu na mifumo yake, mifumo ambayo siku zote anaachia athari ya kuwabomoa hata akiondoka ili aendelee kuwa na power juu yenu. Mfano, Africa leo hii hakuna nchi iliyo kwenye ukoloni kwa takriban miaka 60 lakini je tumefanikiwa kujiongoza?

Kwanza wamekuletea mfumo wa utawala (demokrasia) ambao ni lazima kwako kuufata ama uingie nao vitani moja kwa moja kwa jina la Umoja wa mataifa. Pili, ukiingia katika mfumo huo wanahakikisha unakuwa ni utawala wenye madaraka yaliyogawanywa ili kuweza kudhibiti kirahisi kiongozi tishio kwao na kumpenyeza wanaemtaka. Tatu, ukiwa kiongozi uaetambua kuwa muda wako unahesabika (5 or 4 years periods) ni rahisi wao kukushawishi kujinufaisha kwa kichache ili uwape wao kikubwa.

Ukigoma yote hayo, either wakuwekee wapinzani wanaowapa nguvu ama waasi ama wakuuwe wenyewe (rejea kilichompata Gaddafi na wengine kama yeye).

Nakusihi ndugu yangu usihadaike na propaganda za US, njia pekee ya kujitawala ni kujikomboa kutoka kwao na kuwa tishio dhidi yao i.e. Korea, Russia, China, Iran etc. Sio kwamba hawa wanaweza kumshinda USA kivita ila damage wanayoweza kuisababishia US katika vita kubwa kiasi kwamba baada ya vita US itakuwa imepoteza nguvu yote, hii ndo sababu wanawaacha wajitawale bila kuwaingilia na nenda kaangalie maisha na uchumi wao upoje kwa kujitawala wenyewe.
 
Unaletewa habari za uongo ,unaanza kubwabwaja
Habari za waislamu kuchinja watu hazijaanza leo, hata muasisi wa hiyo dini Muhammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi wa kuchinja Wayahudi na kuuza watoto wao mateka.
 
Mungu amekupa akili zitumie vizuri!!!
bbc hawajasema wakristu na stori inasema wao ndo walianza shambulia kituo cha polisi cha serikali huko kaskazin mwa Syria na waliua makumi ya askari , je ulitaka wapongezwe kwa hili ?

ACHA UDINI
 
Sio Waislam walioanzisha vita kuu mbili za dunia, hizo nchi zote za kiislam ulizozitaja ukizijumlisha idadi ya watu waliouawa katika hizo vita zao hazifikii idadi ya waliokufa kutokana na vita kuu za dunia ambazo hazikuanzishwa na Waislam.

Sio Waislam waliochinja mayahudi milioni 6 wala sio Waislam waliotumia mabomu ya nyuklia (zote hizo ni vita kuu ya pili ya dunia), mabomu ya nyuklia yametumika mara mbili tu na waliotumia sio Waislam.

Sio dola za Waislam zilizoua mamilioni huko Korea na Vietnam.

Sio Waislam wanaoongoza na kuanzisha magenge ya kuuza madawa ya kulevya huko Latin America (drug cartels na narco-terrorism) magenge ya uhalifu na ya madawa ya kulevya ya Latin America yanafanya ukatili na unyama ISIS/Daesh hawaoni ndani.

Sio nchi za Kiislam zinaongoza kwa gun violence. Wala rape.

Hata baadhi ya nchi ulizotaja kama Afghanistan na Iraq unaelewa zilichafuka kwa sababu gani.

Wanaoichochea Congo izidi kuwaka moto nadhani unawajua.

Sio Waislam walioanzisha genocide Cambodia wala Rwanda.

King Leopold wa pili ambaye utawala wake uliua mamilioni Congo, hakuwa Muislam.

Sio Waislam walioua nakufanya genocide dhidi ya native Americans.

Nadhani unajua kuwa mpaka karne ya 20, nchi za Ulaya zilikuwa zinapigana vita zisizo na kichwa wala miguu. Kama Hundred Years' War, The Thirty Years' War, The Seven Years' War na kadhalika

Stalin, Mao Ze Dong, Polpot, Lenin, Trotsky hawakuwa waislam (walikuwa atheists). Kusanya watu wote unaodhani waliuawa na Waislam hawafikii idadi ya waliouawa chini ya hao.

Nadhani unajua ni nani aliwafuata Waislam Palestina, sio Waislam ni mayahudi wazungu kutoka Ulaya ambao sio Waislam, ambao ironically walikimbilia Mashariki ya Kati kukimbia mateso ya "ndugu" zao ambao pia sio Waislam. Na sasa unaona wanachowafanyia ndugu zetu huko Palestine (Allah awanusuru ndugu zetu wanaoteseka Palestina na kwengine kote Duniani).

Ukristo unahubiri upendo wa Crusades? Genocide dhidi ya wenyeji Marekani? Kuwaua wenyeji Canada, Australia na New Zealand na kuwapokonya ardhi zao?

Sio Waislam walioanzisha Apartheid Regime Afrika Kusini.

Struggles dhidi ya Ukoloni zilizomwaga damu huko Zimbabwe, Angola, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini hazikuwa struggle za kupambana na Waislam. Zilikuwa za kupambana na dhulma za wasio Waislam.

Ooh! Nilitaka kuisahau Ukraine!

Na kadhalika na kadhalika.

Halafu Ya'aqub na Ismaa'eel (Amani iwe juu yao wote) ni manabii wa Allah wote kutoka kizazi cha Nabii Ibraahiim (Amani iwe juu yake), hawakuwa na uadui wala chuki baina yao, walikuwa wanamuabudu Allah peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, Walikuwa Waislam.
Genius,watapita kimya kimya hapa
 
Sio Waislam walioanzisha vita kuu mbili za dunia, hizo nchi zote za kiislam ulizozitaja ukizijumlisha idadi ya watu waliouawa katika hizo vita zao hazifikii idadi ya waliokufa kutokana na vita kuu za dunia ambazo hazikuanzishwa na Waislam.

Sio Waislam waliochinja mayahudi milioni 6 wala sio Waislam waliotumia mabomu ya nyuklia (zote hizo ni vita kuu ya pili ya dunia), mabomu ya nyuklia yametumika mara mbili tu na waliotumia sio Waislam.

Sio dola za Waislam zilizoua mamilioni huko Korea na Vietnam.

Sio Waislam wanaoongoza na kuanzisha magenge ya kuuza madawa ya kulevya huko Latin America (drug cartels na narco-terrorism) magenge ya uhalifu na ya madawa ya kulevya ya Latin America yanafanya ukatili na unyama ISIS/Daesh hawaoni ndani.

Sio nchi za Kiislam zinaongoza kwa gun violence. Wala rape.

Hata baadhi ya nchi ulizotaja kama Afghanistan na Iraq unaelewa zilichafuka kwa sababu gani.

Wanaoichochea Congo izidi kuwaka moto nadhani unawajua.

Sio Waislam walioanzisha genocide Cambodia wala Rwanda.

King Leopold wa pili ambaye utawala wake uliua mamilioni Congo, hakuwa Muislam.

Sio Waislam walioua nakufanya genocide dhidi ya native Americans.

Nadhani unajua kuwa mpaka karne ya 20, nchi za Ulaya zilikuwa zinapigana vita zisizo na kichwa wala miguu. Kama Hundred Years' War, The Thirty Years' War, The Seven Years' War na kadhalika

Stalin, Mao Ze Dong, Polpot, Lenin, Trotsky hawakuwa waislam (walikuwa atheists). Kusanya watu wote unaodhani waliuawa na Waislam hawafikii idadi ya waliouawa chini ya hao.

Nadhani unajua ni nani aliwafuata Waislam Palestina, sio Waislam ni mayahudi wazungu kutoka Ulaya ambao sio Waislam, ambao ironically walikimbilia Mashariki ya Kati kukimbia mateso ya "ndugu" zao ambao pia sio Waislam. Na sasa unaona wanachowafanyia ndugu zetu huko Palestine (Allah awanusuru ndugu zetu wanaoteseka Palestina na kwengine kote Duniani).

Ukristo unahubiri upendo wa Crusades? Genocide dhidi ya wenyeji Marekani? Kuwaua wenyeji Canada, Australia na New Zealand na kuwapokonya ardhi zao?

Sio Waislam walioanzisha Apartheid Regime Afrika Kusini.

Struggles dhidi ya Ukoloni zilizomwaga damu huko Zimbabwe, Angola, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini hazikuwa struggle za kupambana na Waislam. Zilikuwa za kupambana na dhulma za wasio Waislam.

Ooh! Nilitaka kuisahau Ukraine!

Na kadhalika na kadhalika.

.↙️NIMEONA ULIPITA KIMYA KIMYA NIKAONA NI COPY NA KU-PASTE ILI UTULIZE KICHWA USOME
 
kwan dunia imeanza mwaka 1914? vita vya Muhamad kuua watu wengine umevisahau , kaja mpk Afrika kateka na kuua sana
 
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri.

Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

Kitu gani kilichokujulisha kuwa hao ni wakristo...!?
 
Ndugu yangu hii migogoro ukiichukulia kidini na propaganda za chuki utashindwa hata kumsalimia jirani yako muislam kumbe hana kosa lolote. Elewa makundi ya kigaidi yanauwa waislam wengi kuliko dini yoyote.

Waarabu ni wajinga na wabinfsi kama ilivyo kwa waafrika ndiomaana ni rahisi kwao kuanzisha uasi. Watawala wa dunia hii wanatumia wanyonge kuwagombanisha ili wafikie malengo yao kwa mlango wa dini ama kabila.
Kavuka milima, mito, bahari, mabonde na majangwa mpaka Syria! Ilinhali alikuwa anatakiwa avuke ziwa tu aende hapo CONGO atupe neno! Haikatazwi kuwa mdini ila huyu ni MCHOCHEZI!
 
Sio Waislam walioanzisha vita kuu mbili za dunia, hizo nchi zote za kiislam ulizozitaja ukizijumlisha idadi ya watu waliouawa katika hizo vita zao hazifikii idadi ya waliokufa kutokana na vita kuu za dunia ambazo hazikuanzishwa na Waislam.

Sio Waislam waliochinja mayahudi milioni 6 wala sio Waislam waliotumia mabomu ya nyuklia (zote hizo ni vita kuu ya pili ya dunia), mabomu ya nyuklia yametumika mara mbili tu na waliotumia sio Waislam.

Sio dola za Waislam zilizoua mamilioni huko Korea na Vietnam.

Sio Waislam wanaoongoza na kuanzisha magenge ya kuuza madawa ya kulevya huko Latin America (drug cartels na narco-terrorism) magenge ya uhalifu na ya madawa ya kulevya ya Latin America yanafanya ukatili na unyama ISIS/Daesh hawaoni ndani.

Sio nchi za Kiislam zinaongoza kwa gun violence. Wala rape.

Hata baadhi ya nchi ulizotaja kama Afghanistan na Iraq unaelewa zilichafuka kwa sababu gani.

Wanaoichochea Congo izidi kuwaka moto nadhani unawajua.

Sio Waislam walioanzisha genocide Cambodia wala Rwanda.

King Leopold wa pili ambaye utawala wake uliua mamilioni Congo, hakuwa Muislam.

Sio Waislam walioua nakufanya genocide dhidi ya native Americans.

Nadhani unajua kuwa mpaka karne ya 20, nchi za Ulaya zilikuwa zinapigana vita zisizo na kichwa wala miguu. Kama Hundred Years' War, The Thirty Years' War, The Seven Years' War na kadhalika

Stalin, Mao Ze Dong, Polpot, Lenin, Trotsky hawakuwa waislam (walikuwa atheists). Kusanya watu wote unaodhani waliuawa na Waislam hawafikii idadi ya waliouawa chini ya hao.

Nadhani unajua ni nani aliwafuata Waislam Palestina, sio Waislam ni mayahudi wazungu kutoka Ulaya ambao sio Waislam, ambao ironically walikimbilia Mashariki ya Kati kukimbia mateso ya "ndugu" zao ambao pia sio Waislam. Na sasa unaona wanachowafanyia ndugu zetu huko Palestine (Allah awanusuru ndugu zetu wanaoteseka Palestina na kwengine kote Duniani).

Ukristo unahubiri upendo wa Crusades? Genocide dhidi ya wenyeji Marekani? Kuwaua wenyeji Canada, Australia na New Zealand na kuwapokonya ardhi zao?

Sio Waislam walioanzisha Apartheid Regime Afrika Kusini.

Struggles dhidi ya Ukoloni zilizomwaga damu huko Zimbabwe, Angola, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini hazikuwa struggle za kupambana na Waislam. Zilikuwa za kupambana na dhulma za wasio Waislam.

Ooh! Nilitaka kuisahau Ukraine!

Na kadhalika na kadhalika.

.↙️NIMEONA ULIPITA KIMYA KIMYA NIKAONA NI COPY NA KU-PASTE ILI UTULIZE KICHWA USOME

Vita vimekuwepo hata kabla uislamu kubuniwa na huyo muarabu huko, na hata vita vikuu vya dunia pamoja na uchinjaji wa Wayahudi ni vita kama vita vingine, ila nyie vita vyenu mnachinja watu kwa ajili ya allah, huyo ambaye huna uwezo au namna ya kuthibitisha uwepo wake.
Halafu ujinga wenu pamoja na utandawazi huu na elimu ya leo bado mnachinja watu kisa allah na ukihojiwa hebu nithibishie uwepo wake unaanza ukinitajia maujuha ya kwenye kurani.
Ugaidi wa kiislamu ulianza kwa huyo huyo muasisi, alichinja Wayahudi na kuuza watoto wao mateka.
 
Wakristo ndio uonewa na jamii za dini zingine utasikia Israel Wayahudi wanawafanyia fujo wakristo, waislamu ndo usiseme hadi wameunda makundi ya kigaidi ya kuwaua Wakristo.
Angalau mabudha hawana shobo Wala ugomvi na dini zingine.
Waabudu shetani wao vita vyao ni vya kiroho na sio kimwili kama waislamu
 
Ndo marekani alichokuwa anakitaka,wakiwamaliza hao wataamsha wengine ndipo vita itainuka upya Syria tuliona Iraq
 
Ajabu sana kuwa umeshindwa kuona kuwa hao wote uliowataja ni wahanga wa sera za kimataifa za kilafi za marekani na washirika wake. Kinachowaponza wengi katika hao ni resources zao zinazatamaniwa na nchi za magharibi.

Jaribu kudadisi ni vipi watu hawa waliishi kabla ya ukoloni (Uislamu ulishakuwepo kwa zaidi ya karne kumi kabla ya ukoloni), je waliishi vipi? ... ingia hata Chat Gpt uliza maisha yalivyokuwa kabla ya ukoloni huko Somalia. Hapo utapata kuona ukweli kuwa tatizo ni mzungu na mifumo yake, mifumo ambayo siku zote anaachia athari ya kuwabomoa hata akiondoka ili aendelee kuwa na power juu yenu. Mfano, Africa leo hii hakuna nchi iliyo kwenye ukoloni kwa takriban miaka 60 lakini je tumefanikiwa kujiongoza?

Kwanza wamekuletea mfumo wa utawala (demokrasia) ambao ni lazima kwako kuufata ama uingie nao vitani moja kwa moja kwa jina la Umoja wa mataifa. Pili, ukiingia katika mfumo huo wanahakikisha unakuwa ni utawala wenye madaraka yaliyogawanywa ili kuweza kudhibiti kirahisi kiongozi tishio kwao na kumpenyeza wanaemtaka. Tatu, ukiwa kiongozi uaetambua kuwa muda wako unahesabika (5 or 4 years periods) ni rahisi wao kukushawishi kujinufaisha kwa kichache ili uwape wao kikubwa.

Ukigoma yote hayo, either wakuwekee wapinzani wanaowapa nguvu ama waasi ama wakuuwe wenyewe (rejea kilichompata Gaddafi na wengine kama yeye).

Nakusihi ndugu yangu usihadaike na propaganda za US, njia pekee ya kujitawala ni kujikomboa kutoka kwao na kuwa tishio dhidi yao i.e. Korea, Russia, China, Iran etc. Sio kwamba hawa wanaweza kumshinda USA kivita ila damage wanayoweza kuisababishia US katika vita kubwa kiasi kwamba baada ya vita US itakuwa imepoteza nguvu yote, hii ndo sababu wanawaacha wajitawale bila kuwaingilia na nenda kaangalie maisha na uchumi wao upoje kwa kujitawala wenyewe.
Mnapenda kuwasingizia Wazungu... Watu Mashariki ya Kati wameanza kupigana kabla ya Uislam, baada ya Mtume kufa ugomvi mkubwa ukazuka... Popote pale ukiona kuna ndoa za Ndugu (cousins marriage) Jua hiyo ni Jamii ya kibaguzi na roho mbaya
 
Back
Top Bottom