Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe UNAKUBALI kabisa Uislamu umekuja baada ya YesuWakristo wanauana DRC,Rwanda,Sudani ya Kusini,Ireland ya Kaskazini,Rwanda,Burundi,Kaskazini Ya Uganda,na,Waprotestant na Wakatoliki wanauana huko Ireland ya Kaskazini.Hata Yesu walimsulubu ,na wakati huo hakuna muislamu hata mmoja ni wenyewe kwa wenyewe,wakristo,kungekuwa na waislamu,mngesema waliomua Yesu ni waislamu.
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.
View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61
Na wewe vita kikabila unasema za kidini, Rwanda, Burundi, Congo, Uganda vita za kikabila hizo.Wakristo wanauana DRC,Rwanda,Sudani ya Kusini,Ireland ya Kaskazini,Rwanda,Burundi,Kaskazini Ya Uganda,na,Waprotestant na Wakatoliki wanauana huko Ireland ya Kaskazini.Hata Yesu walimsulubu ,na wakati huo hakuna muislamu hata mmoja ni wenyewe kwa wenyewe,wakristo,kungekuwa na waislamu,mngesema waliomua Yesu ni waislamu.
hiyo ni propaganda kukudanganya , hao ni waliokuwa wanashangilia vifo vya wenzao , kama hapa leo tuna watu 100 hatujui walipo ila wapo watu wanashirikiana na serikali kufanya haya yote na wengine wanashangilia haya yote , baada akija mtawala mwingine wakianza kuhukumia utasiki serikali mpya inaua wazenjWavaa kobazi wana roho mbaya sanaa ulimwenguni kote hata apo zenji tu una waona ,ni hatari sana mvaa kobwzi yoyote kua kiongozi wa nchi
hao ni wafuasi wa Asad , wabongo mna vicha vya kuku , Asad kaua wngap ? je waliokuwa wanamuunga mkono unataka waachwe ? hapo hakuna udini , kama walishangilia wenzak kuulia ka mamilion bas acha wauliwe na wao piaNdio nyie mlishangilia kuanguka Kwa ASSAD. Sasa endeleeni na shangwe sisi tumekaa paleeeee,,,
wazenji mkemeeni mama mapema maana kiongoz ajae lzm awalambishe mchanga maana ndo mmekuwa mnashangilia mauaji anayofanya mama yenu , waonen hao alawit hawakuamin kuwa ipo siku kama ye leo , wao wanaiona Syria ni jehanamNdugu yangu kuisema vibaya Zenji haitokusaidia kutatua changamoto za kimaisha ulizo nazo. Msubirie Lisu wako anaefaa kuwa kiongoz wa n chi ili moyo wako uburudike
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.
View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61
Mungu amekupa akili zitumie vizuri!!!hawaui wakristu bali wafuasi wa Asad , Asad kaua weng na hao ndo walikuwa wanashabikia , acha wapitie kile wenzao wamekipitia kwa miaja 14 ndan ya nchi yao
TUSISTETEE WAHARIFU , HATA HAPA KWETU WAPO WATU WANAFURAHIA VIFO VYA ALLY KIBAO , SOKA ETC ILA UPO WKT WATAWINDWA MTAANI KAMA KUKU NA WATAHUKUMIWA NA RAIA KAMA WALE WEZ WA MITAANI
Inasikitisha sana kwa kweli 🤔Unaongelea siria mbali, juzi magenge ya waislamu yamechinja zaidi ya watu 70 kanisani hapo Congo na Dunia imekaa kimia.
Ni mambo ya hovyo sana mtu kuua mwenzako kwa sababu ya kutofautiana kwa imani za kidini.
Kwani wewe ndio mke wa kipozeo??Umeshindwa kumchinja Sheikh Kipozeo utaweza wapi Kwangju??