Memtata
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 587
- 1,863
Ndugu yangu hii migogoro ukiichukulia kidini na propaganda za chuki utashindwa hata kumsalimia jirani yako muislam kumbe hana kosa lolote. Elewa makundi ya kigaidi yanauwa waislam wengi kuliko dini yoyote.
Waarabu ni wajinga na wabinfsi kama ilivyo kwa waafrika ndiomaana ni rahisi kwao kuanzisha uasi. Watawala wa dunia hii wanatumia wanyonge kuwagombanisha ili wafikie malengo yao kwa mlango wa dini ama kabila.