Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61

Mbaya sana
 
Acheni ushamba, Waislam wana mchango mkubwa sana katika technology. Maendeleo ya kitenologia ni mchakato ambao jamii karibu zote za binadamu wamechangia.
Bila Mohammed Musa Alkhawarizm,kugundua Algebra,ambayoinasomwa kila siku mashuleni duniani,dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona,binadamu katengeza,kinatokana na information technology,na IT,inatokana na Algebra,na Algebra ni Mohammed Musa Alkhawarizim,mvaa kobaz.
 
Ila Waislamu ndugu zetu Mkiambiwa dini yenu Ina kama kalaana hamkubali karibu nchi zenu zote zenye watu wenye itikadi yenu utakuta wanauana kama Kuku na hata hawajali sio Somalia,Syria, Afghanistan,Lebanon,Iran Iraq Yani nyie ni watu wa fujofujo tu hivi hata nyie wa Huku Tanzania hamuogopi viashiria vya Vurugu kwenye Nchi za Washirika wenzenu? Wa dini yenu Hivi ni mungu Gani huyo ambaye mnamwita Allah Ambaye kamwe hapendi Amani na Upendo kwa viumbe na Watoto wake? Ni nini hicho mnachokiamini kama tu nyie kwa Nyie hamuelewani Yani Waarabu kwa Waarabu wanaabaguana na Kuuana?

Sijasema ukristo uko Perfect Yani kama ni Ukristo nao una makandokando yake kibao lakini Unahubiri Upendo na Amani ndugu zanguni waislam lakini Kuna kitu cha kujifunza nyie kwa nyie haswa Waislamu wa Hapa kwetu

Naanza Kufunguka macho kwa nini hata Mungu alideal zaidi na Uzao wa YAKOBO badala ya ISHMAEL Yani alikua akiufatilia zaidi huo Uzao wa YAKOBO/YAKUB kuliko ISHMAEL pengine Kuna chembechembe za Ukaidi alishaziona kwa ISHMAEL akaamua kumweka Bench na Kudeal na Yakobo

Sio Waislam walioanzisha vita kuu mbili za dunia, hizo nchi zote za kiislam ulizozitaja ukizijumlisha idadi ya watu waliouawa katika hizo vita zao hazifikii idadi ya waliokufa kutokana na vita kuu za dunia ambazo hazikuanzishwa na Waislam.

Sio Waislam waliochinja mayahudi milioni 6 wala sio Waislam waliotumia mabomu ya nyuklia (zote hizo ni vita kuu ya pili ya dunia), mabomu ya nyuklia yametumika mara mbili tu na waliotumia sio Waislam.

Sio dola za Waislam zilizoua mamilioni huko Korea na Vietnam.

Sio Waislam wanaoongoza na kuanzisha magenge ya kuuza madawa ya kulevya huko Latin America (drug cartels na narco-terrorism) magenge ya uhalifu na ya madawa ya kulevya ya Latin America yanafanya ukatili na unyama ISIS/Daesh hawaoni ndani.

Sio nchi za Kiislam zinaongoza kwa gun violence. Wala rape.

Hata baadhi ya nchi ulizotaja kama Afghanistan na Iraq unaelewa zilichafuka kwa sababu gani.

Wanaoichochea Congo izidi kuwaka moto nadhani unawajua.

Sio Waislam walioanzisha genocide Cambodia wala Rwanda.

King Leopold wa pili ambaye utawala wake uliua mamilioni Congo, hakuwa Muislam.

Sio Waislam walioua nakufanya genocide dhidi ya native Americans.

Nadhani unajua kuwa mpaka karne ya 20, nchi za Ulaya zilikuwa zinapigana vita zisizo na kichwa wala miguu. Kama Hundred Years' War, The Thirty Years' War, The Seven Years' War na kadhalika

Stalin, Mao Ze Dong, Polpot, Lenin, Trotsky hawakuwa waislam (walikuwa atheists). Kusanya watu wote unaodhani waliuawa na Waislam hawafikii idadi ya waliouawa chini ya hao.

Nadhani unajua ni nani aliwafuata Waislam Palestina, sio Waislam ni mayahudi wazungu kutoka Ulaya ambao sio Waislam, ambao ironically walikimbilia Mashariki ya Kati kukimbia mateso ya "ndugu" zao ambao pia sio Waislam. Na sasa unaona wanachowafanyia ndugu zetu huko Palestine (Allah awanusuru ndugu zetu wanaoteseka Palestina na kwengine kote Duniani).

Ukristo unahubiri upendo wa Crusades? Genocide dhidi ya wenyeji Marekani? Kuwaua wenyeji Canada, Australia na New Zealand na kuwapokonya ardhi zao?

Sio Waislam walioanzisha Apartheid Regime Afrika Kusini.

Struggles dhidi ya Ukoloni zilizomwaga damu huko Zimbabwe, Angola, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini hazikuwa struggle za kupambana na Waislam. Zilikuwa za kupambana na dhulma za wasio Waislam.

Ooh! Nilitaka kuisahau Ukraine!


Na kadhalika na kadhalika.


Halafu Ya'aqub na Ismaa'eel (Amani iwe juu yao wote) ni manabii wa Allah wote kutoka kizazi cha Nabii Ibraahiim (Amani iwe juu yake), hawakuwa na uadui wala chuki baina yao, walikuwa wanamuabudu Allah peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, Walikuwa Waislam.
 
Ndio maana nafurahia Trump na Netanyahu wanavyowanyoosha

Halafu ndugu zenu ambao hata hamuwajali wala nini, wakiteseka huko mnalia lia.

Iraq kabla haijapelekewa "zawadi" ya demokrasia ilikuwa na wakristo wangapi na sasa ina wangapi? Huko Gaza na West Bank ambapo kuna wakristo original wanazidi kuisha. Unafikiri mayahudi wanajali hilo? Huko Lebanon si na "ndugu" zenu pia wanauawa?

Ndio maana wakristo wa Middle East walikuwa wanaungana na Waislam pale "ndugu" zenu kutoka magharibi wanapowavamia.

Na pia hata ukisoma katika Historia, Waislam walipofika Misri, Wakristo wa Kikoptiki waliungana na Waislam dhidi ya wa Byzantine kutokana na dhulma za "ndugu" zao.
 
Nani aongee kwama wakristo wenyewe mmekaa kimya??
Wakristo wanauana DRC,Rwanda,Sudani ya Kusini,Ireland ya Kaskazini,Rwanda,Burundi,Kaskazini Ya Uganda,na,Waprotestant na Wakatoliki wanauana huko Ireland ya Kaskazini.Hata Yesu walimsulubu ,na wakati huo hakuna muislamu hata mmoja ni wenyewe kwa wenyewe,wakristo,kungekuwa na waislamu,mngesema waliomua Yesu ni waislamu.
 
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61

Wakristo wanauna wenyewe kwa wenyewe,huko DRC,Rwanda,Burundi,Ireland ya Kaskazini,Sudan ya kusini na hata Yesu,walimsulubu,na kunuua,hakuna muislamu hata mmoja,eneo hilo walilomuua.
 
Dini ya haki iko busy kufanya karamu ya mauaji. Yule mungu wak anapenda sana damu za Wakristu
Na Mungu wa wakristo huko DRC,Ireland ya Kaskazini,Sudani ya Kusini,Rwanda,Uganda Kaskazini,Mungu wa wakristo,anapenda damu za wakristo?
 
Uislamu ni dini ya ovyo sana. Huwezi kumchukia na kumuua binadamu mwenzako kwasababu ya imani ya kufikirika. Hujawahi kumuona Allah wala haujawahi kusikia sauti yake,
Ni ujinga sana
DRC,Ireland ya Kaskazini,waprotestant na wakatoliki,Sudan ya kusini,Ukraine,Urusi wanauana,na hakuna muislzmu hata mmoja,kwa hiyo huko wanapiganz kwa ujinga wa dini yao?
 
Syria chini ya Assad ilikuwa salama zaidi. Haikuwa nchi ya kidini. Wakristo waliishi Kwa uhuru mkubwa mpaka ilipoingia vita na ujio wa vikundi vya kisalafi kutaka kujenga Dola la kiislam.Maskini Wasyria hawamjui adui Yao Leo wanauana wao Kwa wao. Si mkiristo tu anayeuawa, hata wenye misimamo wa kati wa kidini( Islam) wanakufa, former pro Assad wanauawa.
Ni huzuni kubwa sana kinchotokea Syria. Lakini hakuna anayejali. Hata UN wapo kimya!
 
Back
Top Bottom