Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?#
Tusaidie mkuu. Sisi huwa hatupotezi kufanya kazi ya Mungu wetu utadhani yeye ni kilema.
 
Huyo mwanamziki ni mkenya angekuwa wa TZ basata wangeruka nae
 
Si mnasema Yesu/Mungu hujipigania mwenyewe..!
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?#
Hiyo ndio tofauti ya mudi ja Yesu analiyesema tusihuku tusije kuhukumiwa anajipigania yeye mwenyewe
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?#
Tunamuombea kwa Mungu amkomboe maana si jambo jema mwanadamu kusukumwa motoni na shetani
 
Hawa waimbaji huwa tunafuatilia wachungaji wao wakoje, maisha yao ya kiroho yakoje. Kama mchungaji yuko hovyo na waumini wake wanakuwa wa hovyo, ndio hawa wanaoimba wanyanduliwe. Muimbaji yawezakuwa ana maana nzuri ila katumia neno baya la kihuni. Kulikuwa hakuna maana kutumia neno hilo wakati kuna maneno kuna maneno yenye staha yapo
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
Unataka tujilipue kama wavaa "KOBAZI?" Mungu wetu ni Mungu wa, Ibrahimu, Isaka na ya Yakobo, 1 sam:- 25 Mtu mmoja akimkosa mwenzake, Mungu atamhukumu; lakini mtu akimkosa Bwana, ni nani atakayemtetea? mkuu jifunze maandiko.
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
Alishakamatwa tayari na nyimbo zake kupigwa marufuku

PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT

The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of Police from Kapsoya Police Station have arrested and detained Gospel artiste William Getumbe over non-compliance with the Films and Stage Play Act, Cap 222 of the Laws of Kenya.

Getumbe's arrest comes after the lapse of a seven-day 'Demand Notice' issued to him for violating Sections 4 and 12 of Cap 222 governing the creation, possession, distribution and exhibition of audio-visual content in Kenya, specifically the creation, distribution, and exhibition of the blasphemous 'Yesu Ninyandue music video, among others.

The artist will be arraigned in Court on Wednesday, 13th March 2024 to face the following charges:
a) Filming without a license which contravenes Part II, Section 4 of Cap 222.

b) Distribution and exhibition of unclassified audio-visual content in breach of Part III, Section 12 of the Cap 222.

c) Distribution, public exhibition, and possession of 'obscene cinematograph films and public exhibition of indecent shows/performances tending to corrupt morals contrary to Section 181 (1) (a) and (e) of the Penal Code.

The KFCB takes a strong stance against the creation, distribution, possession, broadcasting, and exhibition of 'indecent content that goes against the values and morals of our society.

As the Government agency mandated to regulate film and broadcast content space within the country, the Board urges all content creators to create content that promotes Kenya's culture, moral values, and National aspirations, while ensuring that children are not exposed to inappropriate content. To this effect, the Board is collaborating with relevant platform owners to pull down the targeted content.

We also encourage members of the public to report to KFCB any instances of "indecent content distributed or exhibited via social media platforms and other broadcast channels for appropriate action to be taken. Further, the Board appeals to members of the public to desist from circulating inappropriate audio-visual content that the Board has flagged, as doing so will result in legal action.

The KFCB remains committed to ensuring a facilitative regulatory environment to spur the growth of the film industry in line with the Fifth Pillar of the Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA) and the Talanta Hela Initiative, a flagship program of the Ministry of Youth Affairs, Creative Economy and Sports.

IMG_20240312_210954_660.jpg

IMG_20240312_210955_021.jpg
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
ndo manake unaona kuna kasi kubwa ya wa2 kuslim kwa ajili ya mabo ya ovyo kama haya!!!,,,,na mambo ya PAPA-PAPAI,nimeona kasisi mmoja huko ulaya {mkatoliki nae kaslim!!!''thamani ya PAPA-PAPAI imeshuka mno kwa sasa,si umeona juzi kati alitoa witi kwa UKRAINE kusalimu amri kwa urusi!!! matokeo yake rais ZELENSKY alimjibu majibu ya kejeli mpaka msemaji wa VATIKAN akabadili kauli!!!,,,,fikiria enzi za PAPA JOHN PAUL ilivokuwa alikuwa akitoa kauli faster inafanyiwa kazi,alisaidia mpaka vita ya iraq kwisha,ata yule papa aliyeachia mdaraka papa-papai {aliachia baada ya kushinikizwa aruhusu USODOMA}....huyu papa wakati wa vita flaniflani humu duniani alikuwa akitoa kauli tu,inatekelezwa
 
Kwamba Yesu mwenyewe angekuwepo angemfanya nini ?; Angempiga ? Angemlaani Au ?

Nadhani ku-deal na vitu petty ni kutumia Kodi zetu vibaya - cha maana watu wa Imani yao wamuombee na kumuachia Hukumu Yesu Mwenyewe...

Kama vipi na mimi ninaweza kushitaki hizi Imani zote mbili kwa kusema Imani ya Mababu zangu ya Mizimu ni ya Kipuuzi, Uongo na ya Kipagani....
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
Kwani Yesu hawezi kujitetea mwenyewe?
 
You Tube kila kitu ruksa hakuna anayaweza kuondoa isipokuwa aliyeiweka.
Nope Youtube watu waki-complain inaweza ikafutwa pia..., But this is neither here nor there..., Kama mtu haupendi kwanini usikilize ? Yaani wewe ndio unamtetea Yesu kwani yeye hawezi kujitetea ?
 
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
Ninyandue manaake nini?
 
Nope Youtube watu waki-complain inaweza ikafutwa pia..., But this is neither here nor there..., Kama mtu haupendi kwanini usikilize ? Yaani wewe ndio unamtetea Yesu kwani yeye hawezi kujitetea ?
Nape anachoweza ni kuuzuia mtandao nchini na si kuingilia ulichokiweka.
 
Kuna hizi hapa zingineza embarambamba
Zinaitwa

Yesu nimwangie
Nikuingizie ndani
Nipe style mpya
Tuko uchi. jamaa anacheza yuko uchi kajifunika shuka tu huku mashine ikiligusa anapocheza.
Nk
 
Yesu anajipigania mwenyewe sisi uwezo wa kumpigania HATUNA Bali yeye hutupigania sisi na kutusamehe makosa yetu
 
Back
Top Bottom