Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri


Mavazi hayo yanavaliwa na wote sio waislamu sio wakristu.
Ushawai kutana na mtu kavaa dera na ushungi alafu huko ndani ako chukuchuku yalaaaa yalaaaa.

"Hyo picha namba mbili ya slimthickmary ifute mzazi mwenzie akiiona atambutua tu bure"
 
Mkuu let’s be honest hapa, je dada yako au mama yako akivaa hivo utamtamani? Kama jibu ni hapana basi tukubali tu tamaa ya kumtamani mwanamke hujengwa zaidi akilini mwa mwanaume na haijalishi mavazi ya mwanamke!
je wanavaa uchi uchi kumaanisha nini?
 
Watu wanaenda kanisani lakini utazani wanaenda night clubs [emoji848][emoji848]

Mbaya zaidi wachungaji hawakemei hata kidogo siku hizi.

Wanachojali wao siku hizi ni sadaka tu basi [emoji848]

Vaa uvaavyo tutakuelewa muhimu kwetu ni sadaka kwanza.
 
Watu hawataki kujikana nakujitwika Msalaba na kumfuata Yesu Kristo.
 
Wanataka kufanana na watu wa Dunia ambao hawajapata Neema ya kumjua Mwenyezi Mungu.
 
Watu wanavaa mavazi ya kikahaba kiasi kwamba hata asieamini hawezi kuvaa.
 
Wana inferiority competition problem.

Yaani wanazani wakivaa mavazi ya heshima hawatapendeza!

Wengi wakuja !

Hawajiamini.
 
Kijana acha tamaa,eti mpododo wa mama sijui kufanyaje,hizo nguo unazopigia chapuo sio zetu,Bibi zetu ,mama Africa walitembea matiti wazi na mipododo nje,hakuna aliyewabaka,waliheshimika na Vijana wao,hao walioleta hizo nguo ndio wamekuja na mibalaa yao.......tatizo watu wa siku hizi mnapenda Sana kusisimka kila dakika yaani MTU kaona tu kahipsi kametuna keshasisimka daaaahh
 
Soma kuhusu mkakati wa malikia wa kuzimu dhidi ya kanisa utajua mengi kwann wakristo wameacha maagizo jinsi ya kuvaa walivyoelekezwa.
 
Jibu eti Yesu haangalii mavazi , hili swala hata mimi kunipa wakati mgumu maana mtu unaweza kukutana na mdada mkiristo dini imemkolea ila mavazi yake sasa mtihani mtupu.
Si funzo la Yesu bali la kuzimu Ili kuwapa uhalifu watu kupotoka kimavi,lengo kuu ni kupromote miwako ya tamaa za ngono makanisani. Moyo uathirika kwa matendo ya mwilini
 
Wewe Bible uliletewa na mzungu na Quran uliletewa na muarabu, jiulize kabla yao bibi zako na babu zako walikua wanavaaje kabla ya uwepo wa viwanda vya nguo? Msijipumbaze kiasi hicho,
Lakini wale hadi leo awakuwaka tamaa,awakujua kuhusu dhambi, walikuwa gizani.
Huwezi chukua mavazi ya kahaba kanisani
 
Wengi wao ni ajenti utumwa kuliangusha kanisa kwa kupandikiza roho ya uzinzi.
 
Mungu abadiliki ni yule jana na leo.Mavazi yasiyostaha ni dhambi na chukizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…