Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

We jamaa mbona unamtetea sana huyo nabii Lovy? Umeambiwa dressing code yake ina utata elewa hivyo. Hebu soma vizuri kuhusu mavazi na tafriri zake. Huyo nabii kaleta utata kwa muonekano wake si wa kimaadili ya kikristo, ni uvaaji wa kihuni. Sasa kama Mungu ameamua kutumia wahuni si ajabu maana anasema watu wake wasipopiga kelele mawe yatapiga kelele. Mnataka kuizoesha jamii ya kikristo kuona ni kawaida kujiingiza kwenye huduma za Mungu uwe kama ulivyo bila kuacha utu wa kale. Liko wapi badiliko la kuokoka? Hukumu ya Mungu inaanzia nyumbani kwake, acha huyo nabii ahukumiwe kwa muonekano wake
 
Unajua tukiacha kukemea dhambi itazoeleka ni kawaida kuvaa hovyohovyo na kwenda kwenye ibada. Ukute wanawake wamevaa min skirt, body tight matiti yanaonekana, matako yamefutiliwa kwa nguo za kubana kisa tu kuna uhuru wa kuvaa mitindo ya ajabuajabu hii haitakubalika kwa kweli. Mawakili wa Mungu tupo tutafanya kazi ya Mungu kwa kufuata neno lake katika Biblia. Manabii wote tutawapima kwa neno la Mungu kama wanaendana nalo. Nje na hapo tutawaona ni wahuni tu na mawakala wa shetani
 
Ukristo ulianzishwa karne ya 1 Islam ikaanzishwa karne ya 7,hizi ni dini moja, msomeni Constantine mtajua mengi huyu ndiye intelegency wa mambo yote ya kidini.
 
Ukiristo sio dini ni ukombozi
Usilamu ni dini ni sheria ndio maana kuna nchi kama sudan, UAE, saudia, Yemen zinaongozwa kws sheria ya kiislam
Lakini ukiristo hautumiki kutawala nchi yoyote kwa sheria za kikristo
Mtoa uzi umeeleza vyema
 
UNAUMIA NA YESU....SABABU AMEWAAMBIA UKWELI WAKRSTO KUA ALLAH NI SHETANI MKUU ALIYELAANIWA....
KWAHIYO WAMUACHE YESU WAO MWANA WA MUNGU WAO WAMFUATE MUDI MWARABU ALIYEWAKOPI WAYAHUDI NA WAKRSTO...
WAISLAMU MNAUMIA KWELI NA WAKRSTO NA IMANI YAO NA MADHEHEBU YAO NA MNAUMIA KWELI WAO KUMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI EL SHADAI BADALA YA MUNGU WENU WA KIARABU ALLAH
 
Waislamu na waarabu bhana mnaumia na imani za wayahudi na wakrsto...
Mnawalazimisha wakubaliane na mapokeo yenu ya kiarabu🤣🤣😂😂
Ila siwalaumu nyinyi,,,bali najua akili za kiislamu na kiarabu wapi waga zinaishia.
🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu pole sana,unaongea mambo usiyoyajua.
 
Katika watu wanao amini uwepo wa mungu , wewe ni kati ya watu wenye upeo wa juu sana

Una jua kujenga hoja sna , kadri mda unavyokwenda ipo siku utakuja kusema watu wa dhibitishe uwepo wa Mungu.

Nimekaa pale[emoji2309][emoji2309]
 
LIKUD soma hapa! Umeshajibiwa hoja yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uislamu umekuja after ukristu uislam umekopi vitu vingi kwenye ukristu angalia vitu vya kuongea
 
Hizo definition umezitoa wapi mleta mada ?
Dini ni utaratibu
Imani ni kubali hata bila ushahidi.
Ukisha kubali unaanza kuishi kwa maamrisho na makatazo.
Mifano
Usiiibe usizini, mpende jirani.
Huu tayari ni mfumo wa maisha kwa hio ni dini.
Hata upagani ni imani za kale hivyo nayo ni dini.
Yaani ulicho andika hakipo.
Ukristo wenyewe na uislamu wenyewe chiimbuko lao ni moja .
Ungelifananisha ukristo na Uhindu walau ningekuelewa. Uislamu na ukristo unazungumzia watu wale wale. Mfano Adam, hawa, Musa.
Vitu vinazungumzia watu wale wale vinakuwaje tofauti?
 
Siungani na mtoa mada juu ya yote aliyoandika ila nakusaidia hayo maandiko uliyoyataka ayaweke

ni vizuri sana hata sisi kabla ya kucomment chochote tuwe tuna utaratibu wa kusoma Biblia maana wakati mwingne Huwa tunaweza fikiri tumemkosoa mtu Kwa upana
kumbe Kuna kitu kweli kipo kwenye Biblia ila hata yeye hajakielewa kiliandikwa kumaanisha nini ila maandiko yanayoonyesha huo unyenyekevu aliouzungumzia Yapo ni haya hapa chini nimekuwekea

Mathayo 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;

Philipi 2:6-8
6 Ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
7 Bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;

8Tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
 
Ha ha ha .....nmecheka mpk Basi[emoji28][emoji116]

Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia
 
Ha ha ha. ....[emoji28][emoji116]

Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake
 
Naomba ufafanuzi, UKRISTO na UKRISTU ni kitu kimoja au tofauti.?
Hayo maneno mawili yote yana maana moja ni lugha tu zilizotumika yaani Greece&Latin

Neno Kristo limetoka katika lugha ya kigiriki (Khristos) ambalo likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTO.

Lakini Neno hili hili, kwa lugha ya kilatini (Christus), likitafsiriwa katika Kiswahili linatamkika kama KRISTU.
 
Kwa maelezo ya mtoa mada,

Wakristo Wayahudi Wanayo dini maana wanaaabudu ktk injili ya mussa,ina Sheria kali sn na imenyooka , haina Kona kona

Wakristo wa Roma na kwingineko hawana dini, maana ata juzi papa kahalalisha mashoga kutobughudhiwa na waruhusiwe kusimamia ubatizo. Akidai maisha yamebadilika,biblia iendane na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…