fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
OkUkristo ulianzishwa karne ya 1 Islam ikaanzishwa karne ya 7,hizi ni dini moja, msomeni Constantine mtajua mengi huyu ndiye intelegency wa mambo yote ya kidini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUkristo ulianzishwa karne ya 1 Islam ikaanzishwa karne ya 7,hizi ni dini moja, msomeni Constantine mtajua mengi huyu ndiye intelegency wa mambo yote ya kidini.
"Naye juu ya kila kitu ni muweza.."Kaka kwa mujibu wa imani yako? Je kuna kitu chochote ambacho Mwenyezi Mungu hana uwezo wa kukifanya?
Hapo kwenye Sayansi kuprove Quran kuwa true umepigwa na TikTok video za kiislamu...hamna kitu kama hichoModerator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Brother naheshimu mawazo yako, but I have to respectfully disagree with you, yesu si mmoja kati ya viumbe wengi waliopo mbinguni, hapana, ana title na position kubwa sana mbinguni, unapomzungumzia yesu, mzungumzie kwa ukubwa wake na uungu wake.MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe
Umesema Ukristo hauna sheria?Ukristo hauwezi kuhukumu Watu kwa sababu hauna sheria ( sio dini).
Naomba nikuulize swali, Umefikaje kweny hii conclusion ya kusema kwamba "ukristo hauna sheria wala amri"???Dini ni njia. Njia ina sheria na amri zake.
Ukristo sio njia kwa sababu hauna sheria wala Amri.
Umeandika maneno ya pumba kuhusu imani ya dini ya kiislam iweje Waislam wawe na dini pasipokuwa na imani? Ukiwa Muislam kitu cha kwanza unatakiwa uwe na imani ya dini yako ndipo hapo Uslam wako utakuwa umekamilika pasipo na imani haujawa Muislam wa ukweli. Wale wanao jichukulia Sheria mikononi mwao kuwahukumu watu waliofanya makosa katika dini hao tunaweza kuwaita magaidi sio Waislam. Huwezi kumhukumu mtu pasipo na kumpeleka katika vyombo vya sheria. Katika Dini ya kiislam kuna sheria zake endapo mtu atakapo kiuka sheria za Dini ya kiislam anafaa kupelekwa kwa sheikh wa Mkoa au kadhi ili akapate kuhukumiwa sio wewe Muislam mwenzake ukaamuwa kuchukuwa sheria mikononi mwako umuhukumu utakuwa umevunja sheria za Dini ya kiislama na pia sheria ya Seikali iliyopo katika nchi yako. Ninakuacha hapo nalog off.Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Maneno mengi, lakini hakuna kitu! 'Incarnation' (Mungu kuwa mtu) ina maana ya jinsi wewe unavyoweza kuongea na mtoto mdogo. Je, utafanyaje? Itabidi ujishushe kama mtoto na utumie lugha ambayo mtoto ataelewa. Mungu hufanya vivyo hivyo anapotaka kuongea nasi. Hujifanya/huwa kama sisi. Full stop! Mtoto ukimwongelesha lugha ya wakubwa, unapoteza muda wako. Ni methodolojia ya kufikisha ujumbe fulani kwa addressees wanaokusudiwa.Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Miungu bandia kwa mujibu wa nani? Kumbuka hata huyo Mungu wako kwa wanaoabudu miti kwao huyo wanamuona muongo vile vile.Kimsingi kuna mifumo miwili tu duniani. Mfumo wa kuamini Mungu muumbaji na vitabu vyake, yaani kufuata walichofundisha mitume. Nao walifundisha imani na hukumu (vitabu vyote vinaeleza mzinifu afanywe vipi, muuaji n.k) .kilichotokea wanadamu wakabagua cha kufuata.
Mfumo wa pili ni wa kutoamini Mungu muumbaji kabisa (Atheist) au kuamini miungu bandia kama miti, ng'ombe n.k
Hapo mwanadamu huwezi epuka,automatically utaishi kwa kufuata moja ya makundi hayo
LIKUD liquidDini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.
Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.
MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.
Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko
Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Wamehoji kutofanana kwake na ukristo, maana ukristo ni doing like Jesus, Imani inayodhihilishwa Katika mwili, siyo kwamba ukristo hauna Sheria,tena Sheria zake ni Kali Sana,ila ziko rohoni siyo physically. Mfano amwangaliye mwanamke na kumtamani= zinaa , ukimchukia mtu= umeua etc,Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba[emoji116]
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Credit [emoji120][emoji120] uko sahihi Sana yuko stagini anaimba dangote baba lao,malisa baba lao... Yaani wanajitukuza Sana wao kuliko MUNGU [emoji24]YESU katika kitabu cha Mathayo 7:16 na kuendelea, aliwatahadharisha watu kuwa siku za mwisho watakuja manabii wengi wa uongo, watawadanganya wengi na wengi watadanganyika.
Wakamuuliza tutawatambiaje, akajibu, mtawatambua kwa matendo Yao.
Hao wanaom judge Huyo Nabii unayemtaja hapa, Wameshamtambua kwa matendo yake.
Sasa usilazimishe watu waone kama unavyoona wewe maana katika Bibilia imeandikwa nanyi mtaona Lakini hamtatambua, mtasikia Lakini hamtaelewa.
Naomba nikuulize swali, Umefikaje kweny hii conclusion ya kusema kwamba "ukristo hauna sheria wala amri"???
Umesema Ukristo hauna sheria?
Una maanisha Yesu Kristo hana sheria?
Mimi ni mkristo na ninakwambia sheria ya Kristo ipo, na ni Kali kuliko sheria za Musa na Tourati.