Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani paragraph ya mwanzo nimekujibu nini.Jibu swali " Mungu anaweza kufanya kitu chochote "?
Torati ni nini??Kwa sababu Wakristo hawana kitabu chenye sheria, amri na adhabu. Kama kipo nipo hapa unijulishe kiko wapi
Torati ni nini??
Sasa hayo ma Imani na ma dini yenu, yamewasaidia nini?nyie wasfrika weusi? Shida, hamna pesa, ajira,mnalia Lia, hamna hata telkinolojia Bora ya kuzalisha sukari na mafuta ya kula! Lakini mnakomaa na madudu yasio na faida,Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba[emoji116]
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Dini ni neno la kiarabu,na si lazima lied na maana ya religion,bali neno religion linakupa mwanga muingereza kuhusu neno diniMbona umejichanganya mkuu mpaka aibu kusoma, we sema tu ni ustaadh sio dhambi. Kwa sababu kwa maelezo yako umesifia Islam ni dini sio Imani afu ukakandia Ukristo ni imani sio dini, kibaya umejisahau ukasema wewe ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika.
Yaani umechanganya madafu mpaka aibu.
Acha nikutoe tongotongo Afrika haina dini bali ina imani 'way of life' hapa nazungumzia imani za jadi kila kabila lina utaratibu wake haufanani hata kidogo na kabila lingine, rastafari kila mtu anaweza kuwa rasta kwa kutunza tu misingi ya imani bila kujali taratibu za ibada wala sheria za kibinadamu, pia tuna Khemetician(old Egypt) au Ausarian hawa wapo kiroho zaidi ila hawana ibada za kila week bali ni misingi ya kiroho tu, unajifunza ukifuzu ndo umefuzu unaenda kufundisha wengine wenye wito kama wako. Ambapo karibia imani zote za jadi za kiafrika zinamfanano na Ausarian kwa kuwa huko ndo chimbuko la imani zote za kiafrika.
Kiufupi dini kuu zinazojulikana ni Ukristo na Uislam.
Kwa sababu kwenye imani za kiroho dini ni kitu dhaifu sana na ni kwaajili ya kuwafunga watu dhaifu wale ambao hawana uwezo wa kutafsri mambo ya kiroho yaani vipofu wa imani wapo kimwili zaidi. Hivyo kusema ukristo ni imani unaupaisha ukristo katika viwango ambavyo haijavifikia, ukristo ni dini tu iliyowafunga vipofu wa kiroho dhaifu kama vipofu wenzao wengine.
Sasa wewe unaposema una dini ya jadi ya kiafrika nitajie Afrika kuna dini gani, ipi hiyo, we sema ni Ustaadh mganga wa jadi wa kutumia kitabu usijifiche kwenye uafrika waafrika hatuna upuuzi unaoitwa dini, dini zililetwa na vipofu dhaifu wa imani kuwaongoza vipofu wenzao.
Dini = Religion (English) limetokana na neno la kilatini Re-Ligare
Re = again,
Ligare = bind or tie together yaani wafunge tena na tena wasijechomoka zizini au nje ya box wakaujua ukweli.
Mbaya zaidi dini za sasa ni political religion/ dini za kisiasa
Walau dini za zamani bado zinatunza misingi ya imani kiroho kama kwa wakristo kuna Orthodox(ambapo hata marasta wanafuata misingi yake) na waislamu kuna Sufism. Mambo ya maarifa usiongelee mihemko.
Halafu usiishie kusema imani sema imani ya kiroho, unaweza kuwa na dini ila huna imani ya kiroho, ila ukiwa na imani ya kiroho dini kwako ni trakatraka moja ambayo hata hauihitaji, kwa sababu ushalipata kusudi la Mungu.
Kama sio kitabu cha wakristo, kwann mtume Paulo alie play part kubwa sana kusambaza ukristo alikuwa bado anafata sheria za torati na kuwaasa watu washike amri za mungu? Sio yeye hata Petro na YakoboTorati sio kitabu cha Wakristo
Kama sio kitabu cha wakristo, kwann mtume Paulo alie play part kubwa sana kusambaza ukristo alikuwa bado anafata sheria za torati na kuwaasa watu washike amri za mungu? Sio yeye hata Petro na Yakobo
Je, Yesu aliongea nn kuhusu amri za mungu na torati kwa ujumla??
Mkristo ni nani? Kama sio mfuasi wa Yesu Kristo.Yesu na Paulo hawakuwa Wakristo.
Walikuwa Wayahudi.
Hakuna ethnicity inaitwa Uyahudi we fala Uyahudi ni religion(dini)Mkristo ni nani? Kama sio mfuasi wa Yesu Kristo.
Kama wewe ni mfuasi wa Yesu alaf Yesu mwenyew hakuipinga torati, bali ameonesha kwamba njia pekee ya kuonesha mapenzi yako kwake ni kushika amri za mungu(torati) "mkinipenda mtazishika amri zangu", huoni kwamba unaongea nonsense.
Na ukisema Paulo alikuwa sio mkristo unaongea uongo mzee, rejea maana ya mkristo??
Uyahudi sio dini, uyahudi ni race/ethnicity ya mtu, kwa maneno yako ni kama vile kusema Mtume Muhammad S.A.W alikuwa ni muarabu na sio muislamu, uyahudi na ukristo ni vitu viwili tofauti, moja ni ethnicity while another ni dini, sasa kuwa myahudi na kuwa mkristo inawezekana kabisa.
Note; Nahic unachanganya kati ya Judaism, Christianity and Jewish.
Jewish/myahudi- Race/Ethnicity
Judaism- Jewish religion.
Ahsante sana kwa matusi yako.Hakuna ethnicity inaitwa Uyahudi we fala Uyahudi ni religion(dini)
unaandika upupu tu.
Ukristo ni dini ya michongo, eti pasta ana uwezo wa kusamehe zambi.Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Sio wakiristo wana imani, sema hivi wakiristo ni mazombi yahani wao kila kitu ni NDIOOOoo... Hawana hapani, alafu cha kushangaza wengi wao ni wasomi wakubwaModerator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Mungu hawezi kufa/kujiuwa/kuuwawa/kulala kwa kusinzia/kusahau/kudanganywa nk nkJibu swali " Mungu anaweza kufanya kitu chochote "?
Mungu hawezi kuwa na Mtoto ila Allah ana watoto.2:117......na anapo taka jambo basi huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.
Kuhusu mungu kujiweka katika tumbo... Kwamba asipofanya ivyo basi hana uwezo...
Jibu ni kuwa Mwenyezi Mungu anauwezo wakufanya/kuamuru jambo lolote lakini sio kujizalilisha utukufu wake.
Natoa mfano ili ieleweke maana ya kuwa na uwezo wa kufanya jambo lolote haimaanishi kwamba basi afanye lenye kumdhalilisha kwamba asipojidhalilisha yeye sio Mungu.
Wakristo hawataki kumpa Mungu uwezo wake kwamba suala la kuzaliwa kwa yesu ni kauli yake tu imefanya kazi kwa kasema MARIAM BEBA MIMBA YA MTOTO YESU nayo mimba ya yesu ikajitunga kwa kauli tu kuwa nayo ikawa.
Wao hawataki kuamini kuwa Mungu anao uwezo huo bali wanaamini Mungu kaamua kujifanyia mtoto.Mara waseme sio mtoto ni yeye mwenyewe kajiweka huko tumboni akikua miezi 9.Mara waseme ni copy yake katika kimwili wa kibinadamu. Mara ni mtoto wake ndio alikuwa Yesu mbinguni wakabaki Baba na Roho Mtakatifu nknknk.
Yote haya Mungu hana haja nayo haitaji kuwa na mtoto wala msaidizi wala mshirika Mana hayo yote ni katika kumpunguzia nguvu zake na kumvisha Mambo/hali za kibinadamu.
Mfano wa nguvu za utendaji wake ni waangalie katika kitabu cha mwanzo namna alivyoumba dunia/ulimwengu kwa kauli tu mf Iwe nuru... liwe anga...
Katika mwanzo ndio unakutana na kauli "Mungu akasema.... " Na ndivyo hivyohivyo hata kwa Yesu ilivyofanyika nae Mariam akabeba Mimba hivyo kwa muujiza huo HAIMAANISHI KWAMBA MUNGU ANA MTOTO.
kwa hiyo Judaism kwa kiswahili ni nn ? ukiambiwa mjinga utasema unatukanwa hali unauonyesha dhahiri.