Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?


Na kimsingi dini sio Ufuasi wa mtu bali Mungu.
Hivyo kuwa mfuasi wa Kristo (Ukristo) sio Dini.
Kwa sababu Yesu sio Mungu.

Uyahudi ni Dini

Gal 1:14​

Nami naliendelea katika dini ya Kiyahudi kuliko wengi walio hirimu zangu katika kabila yangu, nikajitahidi sana katika kuyashika mapokeo ya baba zangu

Matendo 2:11​

Wayahudi na watu walioongokea dini ya Kiyahudi; wengine wametoka Krete na Arabia. Sisi sote tunasikia wakisema kwa lugha zetu wenyewe mambo makuu ya Mungu

Mimi na wewe nani anasema uongo?
Hapo umeona Uyahudi ni dini au sio dini?

Yesu dini yake ni Myahudi
Paulo dini yake ni Myahudi
Wanafunzi wote wa Yesu walikuwa wayahudi.

Kwa hiyo Wafuasi wa Yohana mbatizaji nao wanadini iitwayo Uyohana?
Hivi unajua wakati wa Yesu kulikuwa na Marabi(Waalimu) wenye Wafuasi na sio kwamba waligundua dini mpya.

Kama huna uelewa na haya mambo ni bora ukae kimya
 

Ndio nakuuliza Wafuasi wa Yohana mbatizaji nao walikuwa na dini yao kuacha Uyahudi?

Ndio maana waislamu wanawaona Wakristo kama Watu wasiotumia Akili.
Kuwa mfuasi wa kristo (Ukristo) hakuibadili dini ya Kristo kuwa Uyahudi.

Haya embu tuambie Mungu wa Wakristo anaitwa nani?
Maana Mungu wa Wayahudi anaitwa Yahweh
 
kwa hiyo Judaism kwa kiswahili ni nn ? ukiambiwa mjinga utasema unatukanwa hali unauonyesha dhahiri.
"Dini ya uyahudi" ndo neno sahihi, ukisema "Uyahudi" tuu unachanganya watu kwasababu kweny biblia wanaposema "wayahudi" mara nyingi wana-refer kizazi kilichotokana na kabila ya "yuda".

Wewe unamatatizo ya akili, kama huwez kuleta hoja na kuongea na mtu bila kuleta matusi ni dalili ya mtu mwenye shida kichwani.

Kwakheri, sidhani kama ntakujibu tena.
 
Dini ni nini?
 
Kariobangii huweka bangi karionii
 
Haya embu tuambie Mungu wa Wakristo anaitwa nani?
Maana Mungu wa Wayahudi anaitwa Yahweh
Brother sikia tufupishe tuu haya mazungumzo, mm najua siwez kubadilisha mtazamo wako wa kusema "Yesu sio mungu", nimekuona mara nyingi tuu humu jukwaani ukisema hivo na trust me nimeona watu wengi wakijaribu kukuelewesha kwa kutumia mafungu ya biblia na common sense tuu lakini wapi, bado umekaza fuvu, hio ni ideology iliyojaa kichwani kwako kwa miaka mingi, ni mungu tuu labda ahusike kukuongoza katika kusoma maandiko uyaelewe na ujue yesu ni nani. Hapa tutabishana tuu na haitasaidia kitu.

Katika maisha yangu nimekutana na watu wa design yako weny hio ideology, na wengi wao either hawajasoma vizur Agano jipya kwa umakini au wana mitazamo yao ambayo hawataki ivunjwe hata ufanyeje (sometimes mitazamo yao ndo unayowasaidia mkono uende kinywani)

Yesu kristo ni either alikuwa Mungu au alikuwa mtu aliyechanganyikiwa, inabidi uchague moja wapo hapo, maana ukisema alikuwa nabii, hakuna nabii narudia tena hakuna nabii kweny biblia aliyediriki kusema maneno aliyosema yesu, na kujipa mamlaka, na kujipa sifa, na kuonakana kama mtu mweny uhakika na future yake na future ya wafuasi wake kama yesu. Manabii wote hayupo aliyethubutu kusema "MIMI MIMI nitawaokoa, mkinifata MIMI ntawaokoa, MIMI MIMI ndiye njia ya uzima, MIMI ndiye mwanga wa ulimwengu" hakuna nabii aliyethubutu kujipa hizi sifa, ni Yesu Kristo pekee ndo alisema maneno haya na kujiweka kweny nafasi ya mungu na mbingu hazikupinga, unadhani kwann??
Wangapi walijikweza na kujifananisha na Mungu wakaanguka kwa aibu??

Ukisema alikuwa "Rabi" wa kawaida yaan mwalimu, napo unakosea kwasababu hakuna Rabi alikuwa na mamlaka kama aliyokuwa nayo yesu, alisema "Mwana wa Adam ana uwezo wa kusamehe dhambi hata duniani" sasa nambie kuna Rabi au mtume au Nabii yeyote aliyethubutu kuwaaambia watu anauwezo wa kusamehe dhambi??

Ukisema alikuwa binadamu wa kawaida aliyechanganyikiwa ndo maana akasema haya "makufuru" hapo naweza kukuelewa, ila usiseme alikuwa tuu binadamu wa kawaida mweny uelewa mkubwa wa dini, Nabii, mtume, Rabi...hapana mzee, he doesn't fit in those categories.
Ni kama tuu vile Israel walivomchukulia, mafarisayo walisema amechanganyikiwa wengine wakamwamini wakamwita mfalme wao, ni either Mungu au amechanganyikiwa.

Yaan ni hivyo tuu broo, either yule mtu aliyekuwa anaitwa Yesu alikuwa ni Mungu au chizi, ni uamuzi wako sasa kuamua.
 

Kuachana na Kitabu kinachoelezea habari za Yesu(Injili) kuna kitabu kingine ambacho kinahusu Marabi wengine ambacho umekisoma mpaka useme hakuna Marabi wengine waliokuwa wanasamehe dhambi?

Unapoambiwa usamehe saba mara sabini,unaelewa kitu gani kama mwanadamu hawezi kusamehe?
 

Yesu hakuwa Mungu
Hivi unajua maana ya dhana "Mungu"?

Yeye mwenyewe hakujiita Mungu lakini ninyi mwamuita Mungu ni kwamba mmelogwa?

Musa naye utasema alikuwa Mungu sio?
 
Usijifanya kama haya mambo huyaelewi brother, msamaha wa binadamu ni tofauti na msamaha wa mungu, binadamu tunasemeheana kuondoa chuki moyoni, kuondoa visasi moyoni, na kuondoa vinyongo moyoni mwetu.

Nadhani unajua msamaha wa mungu unamaanisha nn, sihitaji kukuelimisha, na yesu alipomwambia yule mwanamke kahaba "nimekusamehe" hakuamaanisha masamaha wa kibinadamu, maana yule mwanamke kahaba hakumkosea yesu, bali alimkosea mungu kwa uzinifu, ulikuwa sio msamaha wa kibinadamu bali ulikuwa ni msamaha wa kufuta maovu ya yule mwanamke kahaba kama mungu anavofuta maovu yetu.
 
Yesu hakuwa Mungu
Hivi unajua maana ya dhana "Mungu"?

Yeye mwenyewe hakujiita Mungu lakini ninyi mwamuita Mungu ni kwamba mmelogwa?

Musa naye utasema alikuwa Mungu sio?
Yohana 8:57-58
[57]Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
Then said the Jews unto him, Thou art not yet fifty years old, and hast thou seen Abraham?
[58]Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Before Abraham was, I am.


Binadamu anaweza kuishi miaka zaidi ya elfu mbili??
Maana kutoka Ibrahimu hadi kuzaliwa kwa Yesu ni miaka elfu mbili.

Yohana 1:1-10
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
The same was in the beginning with God.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
In him was life; and the life was the light of men.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
And the light shineth in darkness; and the darkness comprehended it not.
[6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
There was a man sent from God, whose name was John.
[7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
The same came for a witness, to bear witness of the Light, that all men through him might believe.
[8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
He was not that Light, but was sent to bear witness of that Light.
[9]Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
That was the true Light, which lighteth every man that cometh into the world.
[10]Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
He was in the world, and the world was made by him, and the world knew him not.


Hapa anazungumziwa nani??
Kuna Nabii, Mtume, Rabi alihusika kuumba ulimwengu??
Kuna Nabii, Mtume, Rabi alikuwako kabla dunia kuwako??
 
Umesema mengi ya ukweli lakini inaonekana bado kuna kitu hujakielewa sawasawa. Unaposema Waislamu hawana imani kisa tu hawakubaliani na kwamba Mungu alishuka duniani kupitia kiumbe chake aliyemuumba yeye mwenyewe na kwamba kutokukubali kwao waislamu juu ya hili ndo kunawakosesha imani hapa hujaelewa IMANI ni nini na hoja ya ya waislamu ni ipi ya kukataa. Sio ability ya Mungu kufanya alitakalo bali ni fact ya nini kilifanyika na nini kimezuliwa na watu. Kumbuka Quran imeshuka centuries baada ya Yesu kuondoka katika uso wa dunia.

Quran haikubali kuwa Yesu ni Mungu kama inavyoaminiwa na wakristo kwa kuwa yenyewe (Quran) inaelezea fact ya YESU ni nani na MUNGU ni nani. Kama ambavyo umekubali fact za kisayansi zilizomo ndani Quran even before binadamu kuzigundua kwa maendeleo ya kisayansi basi pia moja ya fact zilizomo ndani ya Quran ni juu ya Yesu ni nani na yaliyojiri kumuhusu yeye kwa kiwango kilichopotoshwa katika narration za wanadamu baada ya kuondoka kwake.

Quran sio kitabu cha uvumbuzi wa sayansi bali ni kitabu cha muongozo kwa wanadamu! usahihi wake wa kisayansi ni ishara na uthibitisho kwetu juu ya ukweli na uongofu uliomo ndani ya kitabu hicho. Ukiishia kuverify science iliyomo na ukaacha muongozo mwengine uliomo ndani yake ni kwamba umeamua tu kutoukubali ukweli wa fact husika licha ya kukiri authenticity ya source iliyokuelezea fact hiyo (through your science verification, na hapa ndo hoja Quran kuwa ni miracle inapokuja)!

Katika suala la Imani, kama wengi wasivoelewa imani ni nini na wewe inainekana hujaelewa maana ya imani ni nini. Imani sio kuchagua ukweli wa kitu usichokijua kwa njia ya 'ana ana doo' bali imani ni kuridhika juu ya ukweli wa jambo lisiloonekana kwa kupitia lile linaloonekana! Point ya msingi kabisa hapa ni kuridhika (kujitosheleza kwa kukinai) na sio kuchagua upande! Kama ambavyo wengi katika watu tunaamini kuwa Mungu yupo just kwa kuangalia nature ya dunia, maumbile na creation zinazotuzunguka (tumeridhika na ukweli wa uwepo wa Mungu ambae sote hatumuoni kupitia yale tunayoyaona katika creation zake).

Sasa ukishaelewa usahihi wa imani ni nini na hoja ya waislamu kupingana na yale yanayosemwa na wakristo, then ndo uje udiscuss je waislamu wana imani au hawana!? na je wapo sahihi au wamepotea!
 
Mungu hawezi kuwa na Mtoto ila Allah ana watoto.
Mbona hamuulizi kuwa inayumnikanaje awe na watoto hali hana mke?

Au huwajui watoto watatu wa Allah ?
Akina Uzza na Dada zake wawili.

Mnashupalia Mambo ya wengine wakati ya kwenu yamewashinda.
"Hivi! mmemuona lata na uzza? na manata mwingine wa tatu? je! ninyi ndio wenye watoto wa kiume na yeye ndio awe na wa kike?huo bila shaka ni mgawanyo wa dhulma, hayakuwa hayo isipokuwa ni majina mliyowapa nyinyi na baba zenu, allah hakuteremsha uthibitisho wowote juu ya hayo, hawafuati ila dhana tu na yale yanayotamaniwa na nafsi, na kwa yakini uongofu ulikwisha wafikia kutoka kwa mola wao."

Qur'an 53:19-23

Mbona Qur'an ndio inalisema vibaya jambo hilo mkuu, au wewe umetoa wapi habari hizo? Qur'an ukiisoma ukiwa biased lazima upotelee maporini.

"na walisema allah mwingi wa rehema amejifanyia mtoto, kwa hakika mmeleta jambo la kubwa mno! zinakaribia mbingu kutatuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande, kwa kule kudai kwao kuwa allah mwingi wa rahma ana mtoto, wala haimpasii allah mwingi wa rahma kuwa na mtoto, hapana yeyote aliyeko mbinguni na ardhini ila atafika kwa allah mwingi wa rahma hali ya kuwa ni mja wake, kwa hakika yeye amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa kwa idadi,
na kila mmoja katika wao atamjia {allah} siku ya qiyamah hali ya kuwa yuko peke yake."


Qur'an 19:88-95

Wakati mwingine usome Qur'an ukiwa open minded na uwe tayari kupokea ukweli wowote hata kama unauma, kisha ni juu yako kufuata au kuacha.
 
Awali ya yote umekosea pakubwa sana kuhusu uislamu hii inaonesha ni jinsi gani una elimu ndogo kuhusiana na dini hii nitajaribu kufupisha jibu langu ili iwe rahisi kusomeka na kueleweka.

1. Uislamu ni dini na ndani ya dini kuna imani hauwezi kuwa muislamu bila kuamini kwamba Allah (the almighty) ,malaika wake , mbingu ,pepo, moto, siku ya mwisho na viumbe wengine tusiowaona wala kuwathibitisha kwa macho vina exist hii ni imani.

2. Uislamu ni dini kwa sababu una sheria na misingi aliyoichagua mola muumba wetu Allah( the almighy) na kuwapatia mitume wake kidogo kidogo mpaka alipozikamilisha kwa mtume wake wa mwisho Muhammad (peace be upon him) .

3. Kwenye uislamu kuna kukumbushana na kuelekezana pale tunaposahau na kukosea kwenye na vyote hivi vina namna yake ya kuvifikisha mfano kama ni hotuba siku ya ijuma itatolewa bila ya kutajwa mtu yaani itaenda kwa watu wote kuwakumbusha na ndiyo maana inatolewa mbele ya hadhara kwa sababu hatajwi mtu ila ni ukumbusho wa umma wote.

Ila linapokuja swala kwamba kuna mtu amefanya jambo la madhambi either kwa kujua au kutojua basi utaratibu ni kumfuata na kwa upole na usiri kumwambia yule mtu na kumuelewesha ili aelewe na HAKUNA KUMLAZIMISHA MAANA HAKUNA KULAZIMISHANA KWENYE DINI ,WE FIKISHA KISHA YEYE ATAAMUA CHA KUFANYA.

4. Kingine jua tofauti kati ya nini Mungu anaweza fanya na MUNGU ni nani .tukienda na logic yako ya Mungu anaweza kuwa chochote ni kwamba MUNGU anaweza kuwa shetani , Mungu anaweza kuumba Mungu mwenye nguvu kuliko yeye , Mungu anaweza kujipa ubinadamu na binadamu akatupa Uungu halafu akaishi na kufa kama sisi kisha akaenda kuhukumiwa na binadamu aliowapa uungu . SEEE??? CONTRADICTION NDANI YA CONTRADICTION ambapo inaharibu na kubadili kabisa sifa ya Mungu na UUNGU.

Sasa jibu halisi ni lipi? Ni kwamba Mungu anaweza kufanya chochote anachoona yeye ni bora kwake bila ya kuingiza mkanganyiko HILI NDILO JIBU SAHIHI , kulikuwa na haja gani ya yeye kumuingilia maria na akampatia mimba halafu akaingia kwenye hiyo mimba ili azaliwe na kuja kuuwawa na watu aliowaumba ili awakombor na dhambi alizoziumba yeye 🤔🤔🤔🤔 ILLOGICAL. YET AGAIN CONTRADICTION IS NOT A THING.

Unapifungua mijadala kama hii huwa unafungua mlango kwa dini kama uhindu kupata deffence kwamba hata wao wanamuabudu mungu aliyezaliwa na kuja kama binadamu na wama utatu pia .

AND nieleweke nilipisema alimuingilia maria ni kutokana na uthibitisho wa kibiblia ambapo kwenye kiswahili mmeamua kubadili nitaweka aya zote hapa

John 3:16
kjv(king james version), nasb (new america standard bible) , the darby translation, jubilee bible 2000, douay-rheims catholic bible, third millenium bible, the latin vulgate bible , young literal translation, wycliffe, the webster bible.

"16 For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life" .

neno begotten tukiangalia maana yake ni hii hapa unaweza kuangalia kwenye oxford dictionary or google dictionary au yoyote ile itakupa maana moja ambayo ni hii

Google dictionary meaning of Begotten :
1.
(especially of a man) bring (a child) into existence by the process of reproduction. E.g
"they hoped that the King might beget an heir by his new queen"

Kwamba begotten kwa kiswahili rahisi ni kupata mtoto kwa njia ya MUINGILIANO yaani SEX hivyo ndiyo maana nikatumia neno kumuingilia maria kama ilivyo kwenye version nyingi za biboe hapo juu .

Ila ukija kwenye kiswahili mambo yamegeuzwa ili kutoa maana tofauti

Yohana 3:16 kjv
"
16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele"

Wametafsiri neno begotten kama kutwaa kitu ambacho si kweli .

MUNGU ametakasika sifa zake ni za kipekee na haziingiliani na za binadamu hata kidogo .
 
"Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu."
Tito 2:13
Aliyeandika na kusema hivyo ni tito (titus)ambaye alikuwa mgiriki hakuwahi kuishi wala kumuona yesu ambaye pia yeye pamoja na timotheo(ambaye baba yake alikuwa mgiriki na mama yake myahudi aliyehamia kwenye ukristo) walikuwa ni watoto wa kiroho wa paulo (😅 see where am going ) paulo mtu ambaye hakuwahi kumuona yesu akawachukua wanafunzi wawili wa kigiriki ambao hawakuwahi pia kumuona yesu ili waka preech kuhusiana na uungu wa yesu ambaye hata hawajawahi kuuthibitisha wala yesu mwenyewe hajawahi kujiita Mungu.

Yap najua mtaniletea matendo 9:26-28 kama uthibitish wa paulo kumuona yesu ILA SWALI je wanafunzi wa yesu walithibitisha vipi kwamba aliloliongea lilikuwa la kweli? Ukitaka uaminiwe leta aya ya biblia isiyo na mkanganyiko ambayo yesu amejiita Mungu (ISIWE NA KONA KONA)
 
Nikuulize swali dogo sana mkuu lakini usije sema nimekufuru?

Kuhusu utamu anaoupata mtu anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa?

Kwa imani yako je Mungu anafahamu kuhusu huo utamu au hafahamu?

Kama ana fahamu ana fahamu vipi na kama hafahamu ni kwanini?
 
Kwa imani yao wakina nani?
 
Kwani wanaotengeneza condom huwa wanazipima kwa kuzivaa? Na kama hawazivai huwa wanajuaje kwamba hii haitochanika haraka hii itachanika haraka ,hii ni laini kama haujavaa kitu na hii ni ngumu na rough na itampa mwanamke starehe zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…