Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona unajikanganya tu."Dini ya uyahudi" ndo neno sahihi, ukisema "Uyahudi" tuu unachanganya watu kwasababu kweny biblia wanaposema "wayahudi" mara nyingi wana-refer kizazi kilichotokana na kabila ya "yuda".
Wewe unamatatizo ya akili, kama huwez kuleta hoja na kuongea na mtu bila kuleta matusi ni dalili ya mtu mwenye shida kichwani.
Kwakheri, sidhani kama ntakujibu tena.
Kwani wanaotengeneza condom huwa wanazipima kwa kuzivaa? Na kama hawazivai huwa wanajuaje kwamba hii haitochanika haraka hii itachanika haraka?
Mbona nimeshakujibu? Nimetumia socratic method au kwa jina lingine maieutic method kukupa jibu njia ambayo hata yesu unayeamini ni Mungu aliitumia mifano ni hii hapaJibu swali mkuu Mungu ana fahamu kuhusu utamu anaoupata mwanadamu anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa au hafahamu?
Kama ana fahamu ana fahamu vipi na kama hafahamu ni kwanini hafahamu?
Mkuu iv waislamu ai huwa wana amini ktk kivuki cha Mtume Mohammed S.A.W. ?Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Mbona nimeshakujibu? Nimetumia socratic method au kwa jina lingine maieutic method kukupa jibu njia ambayo hata yesu unayeamini ni Mungu aliitumia mifano ni hii hapa
Matthew 6:26-30 (RSV, as throughout) Look at the birds of the air: they neither sow nor reap nor gather into barns, and yet your heavenly Father feeds them. Are you not of more value than they? And which of you by being anxious can add one cubit to his span of life? And why are you anxious about clothing? Consider the lilies of the field, how they grow; they neither toil nor spin; yet I tell you, even Solomon in all his glory was not arrayed like one of these. But if God so clothes the grass of the field, which today is alive and tomorrow is thrown into the oven, will he not much more clothe you, O men of little faith?
Na huu hapa
Matthew 12:10-11 And behold, there was a man with a withered hand. And they asked him, “Is it lawful to heal on the sabbath?” so that they might accuse him. He said to them, “What man of you, if he has one sheep and it falls into a pit on the sabbath, will not lay hold of it and lift it out?”
Na huu hapa
Matthew 21:23-27 And when he entered the temple, the chief priests and the elders of the people came up to him as he was teaching, and said, “By what authority are you doing these things, and who gave you this authority?” Jesus answered them, “I also will ask you a question; and if you tell me the answer, then I also will tell you by what authority I do these things. The baptism of John, whence was it? From heaven or from men?” And they argued with one another, “If we say, ‘From heaven,’ he will say to us, ‘Why then did you not believe him?’ But if we say, ‘From men,’ we are afraid of the multitude; for all hold that John was a prophet.” So they answered Jesus, “We do not know.” And he said to them, “Neither will I tell you by what authority I do these things.”
Nitashangaa sana kama utakubaliana na yesu kutumia hiyo njia halafu kwangu ukataka nikupe maelezo zaidi JIBU NILILOTOA LINAJITOSHELEZA .
🤣🤣🤣 instead of giving the answers ur just talking about the question.
U know what Nimetoka kwenye familia na ukoo wa kiislamu na nimeisoma dini kuliko wewe. Waislamu wana dini lakini hawana imani. Wakristu hawana dini ila wana imani. Uislamu umekaa kisayansi zaidi ndio maana unaonekana upo perfect hata kwenye jicho la kisayansi..
Nikuache na neno litakalo kusaidia kwenye maisha yako. Kwenye uislamu kuna fundisho linasema " itafuteni elimu hadi China. Elimu za China unazijua Wewe? Basi tafuta kuzisoma elimu za China. Na unapoambiwa China usifikirie China kama hii ya kina Jackie Chain. By elimu za China ina maanisha Elimu za mbali
Na zile amri kumi za musaDini ni njia. Njia ina sheria na amri zake.
Ukristo sio njia kwa sababu hauna sheria wala Amri.
Ukristo ni kama wewe utokee kumuamini Gwajima alafu muitwe Wagwajima, yaani wafuasi Wagwajima
Una mipointi kibao, lakini uandishi wako mtihani!Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.
Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.
MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.
Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko
Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Mtu anayesema nimesoma dini kuliko wewe huwezi kunidanganya huwa namshangaa sana, sisi tunahangaika usiku na mchana zaidi ya miaka 10 sasa kusoma, elimu ambazo nina uhakika tunaweza kukufundisha mpaka unakufa usimalize, lakini kila siku tukifungua vitabu tunajiona wajinga zaidi tusio na maarifa, wewe umeusoma uislamu upi mwepesi hivyo, unaokupa ufahamu mbovu namna hii, waislamu hawana imani, kwahyo hizo sheria na taratibu za dini zilitoka wapi na wanazitekeleza vipi kama hawaziamini?.🤣🤣🤣 instead of giving the answers ur just talking about the question.
U know what Nimetoka kwenye familia na ukoo wa kiislamu na nimeisoma dini kuliko wewe. Waislamu wana dini lakini hawana imani. Wakristu hawana dini ila wana imani. Uislamu umekaa kisayansi zaidi ndio maana unaonekana upo perfect hata kwenye jicho la kisayansi..
Nikuache na neno litakalo kusaidia kwenye maisha yako. Kwenye uislamu kuna fundisho linasema " itafuteni elimu hadi China. Elimu za China unazijua Wewe? Basi tafuta kuzisoma elimu za China. Na unapoambiwa China usifikirie China kama hii ya kina Jackie Chain. By elimu za China ina maanisha Elimu za mbali
Kwa kukazia hakuna mafundisho kwenye uislamu yanayosema tutafute elimu mpaka china, hizo ni hadithi za kutunga wanazodanganywa nazo watu kama wewe.🤣🤣🤣 instead of giving the answers ur just talking about the question.
U know what Nimetoka kwenye familia na ukoo wa kiislamu na nimeisoma dini kuliko wewe. Waislamu wana dini lakini hawana imani. Wakristu hawana dini ila wana imani. Uislamu umekaa kisayansi zaidi ndio maana unaonekana upo perfect hata kwenye jicho la kisayansi..
Nikuache na neno litakalo kusaidia kwenye maisha yako. Kwenye uislamu kuna fundisho linasema " itafuteni elimu hadi China. Elimu za China unazijua Wewe? Basi tafuta kuzisoma elimu za China. Na unapoambiwa China usifikirie China kama hii ya kina Jackie Chain. By elimu za China ina maanisha Elimu za mbali
Kumbe ulishamjibu.1. same claim kila siku withought any proof itabaki kuwa claim haijalishi umezaliwa kwenye ukoo wa kiislamu haijalishi baba yako alikuwa shaikh mkuu wa taifa haijalishi babu yako alikwenda hijja mara 100 it doesn't matter KAMA HAUJUI KITU ITABAKI KUWA HAUJUI .
Mtu unaye claim kusoma uislamu kunizidi ndiyo haujui kama uislamu haukamiliki bila imaan? How ironic .
2. Ingekuwa umesoma uislamu kunizidi ungeshajua kwamba hiyo hadith uliyoitoa ni ya kutunga au kwa lugha nyengine ni dhaif na hatufuati hadithi dhaiif , hii inaonesha jinsi gani HAUJUI UNACHOKIONGELEA 😄😄.
Ushauri wangu
usiwe unatoa mada ambazo kuzitetea hauwezi na usipende kufosi hoja zako hata kama hazina mashiko pia pendelea kusimama na mada moja mpaka iishe hii itaondoa logical PHALLACIES nyingi ambazo hata kwenye mada yako zipo.
Yeah nilimjibu kwa swali pia , badala yake ndiyo akaja na hoja ya kuzaliwa kwenye waislamu .Kumbe ulishamjibu.
Ungepata elimu ya mambo ya kemet, ungeuelewa ukristo hasa ukatoliki,,....... Ukristo ni dini yenye codes nyingi sana,,........ na biblia ni kama manual tu ila kila kitu kipo tayari ndani mwako.......... Ukristo hasa wa wakatoliki ni sayansi ya aina yake,,,,..... Warumi walifanya fusion ya imani zao za asili za kirumi na ukristo wa mashariki ya kati,,... Ila sasa ukija kucheki historia,, mrumi alifunzwa na mgiriki na mgiriki alifunzwa na wa kemet ndo hao wa misri........ Ukipata elimu zao vizuri ukristo utauelewaModerator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
hata shukrani ni neno la kiarabu sio lazima liendane na thank you ya mzunguDini ni neno la kiarabu,na si lazima lied na maana ya religion,bali neno religion linakupa mwanga muingereza kuhusu neno dini
Instead of giving the answer. Ur talking about the question.. bye1. same claim kila siku withought any proof itabaki kuwa claim haijalishi umezaliwa kwenye ukoo wa kiislamu haijalishi baba yako alikuwa shaikh mkuu wa taifa haijalishi babu yako alikwenda hijja mara 100 it doesn't matter KAMA HAUJUI KITU ITABAKI KUWA HAUJUI .
Mtu unaye claim kusoma uislamu kunizidi ndiyo haujui kama uislamu haukamiliki bila imaan? How ironic .
2. Ingekuwa umesoma uislamu kunizidi ungeshajua kwamba hiyo hadith uliyoitoa ni ya kutunga au kwa lugha nyengine ni dhaif na hatufuati hadithi dhaiif , hii inaonesha jinsi gani HAUJUI UNACHOKIONGELEA 😄😄.
Ushauri wangu
usiwe unatoa mada ambazo kuzitetea hauwezi na usipende kufosi hoja zako hata kama hazina mashiko pia pendelea kusimama na mada moja mpaka iishe hii itaondoa logical PHALLACIES nyingi ambazo hata kwenye mada yako zipo.
Ni vizuri kukaa kimya kama utashindwa kutete uluchoanzisha GOOD for youInstead of giving the answer. Ur talking about the question.. bye
@Mhaya unaposema mungu baba tayar mungu ushampa jinsia ya kiume ! Kwahiyo mungu ni wakiume !! Hii ni kufuru mzeeeeDini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.
Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.
MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.
Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko
Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Kasome Satanic Verse, watoto wa Allah wamefafanuliwa vizuri sana na Rushdie."Hivi! mmemuona lata na uzza? na manata mwingine wa tatu? je! ninyi ndio wenye watoto wa kiume na yeye ndio awe na wa kike?huo bila shaka ni mgawanyo wa dhulma, hayakuwa hayo isipokuwa ni majina mliyowapa nyinyi na baba zenu, allah hakuteremsha uthibitisho wowote juu ya hayo, hawafuati ila dhana tu na yale yanayotamaniwa na nafsi, na kwa yakini uongofu ulikwisha wafikia kutoka kwa mola wao."
Qur'an 53:19-23
Mbona Qur'an ndio inalisema vibaya jambo hilo mkuu, au wewe umetoa wapi habari hizo? Qur'an ukiisoma ukiwa biased lazima upotelee maporini.
"na walisema allah mwingi wa rehema amejifanyia mtoto, kwa hakika mmeleta jambo la kubwa mno! zinakaribia mbingu kutatuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande, kwa kule kudai kwao kuwa allah mwingi wa rahma ana mtoto, wala haimpasii allah mwingi wa rahma kuwa na mtoto, hapana yeyote aliyeko mbinguni na ardhini ila atafika kwa allah mwingi wa rahma hali ya kuwa ni mja wake, kwa hakika yeye amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa kwa idadi,
na kila mmoja katika wao atamjia {allah} siku ya qiyamah hali ya kuwa yuko peke yake."
Qur'an 19:88-95
Wakati mwingine usome Qur'an ukiwa open minded na uwe tayari kupokea ukweli wowote hata kama unauma, kisha ni juu yako kufuata au kuacha.