Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
379
Reaction score
1,082
Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..

Sasa kuna binti ambaye ninataka nimuoe, hapa na pale nikampa mimba, natoa huduma vizuri tu wala hana complain yoyote, nafikiri kwenda kwao huyo binti kujitambulisha nikamilishe process zote nimchukue huyo binti pamoja na kichanga changu, lakini kutokana na story za watu wanaokuzunguka naona kabisa hii million 3 ni ndogo, au yoote itaishia kwenye mahari, kwa hiyo wazo la kufungua biashara ni kama limekufa sasa, Mimi naona vijana wasikimbilie kuoa mapema wala kupata majukumu kama hakuna sehemu hata mbili uliposhika, ili iweze kukunyanyua ukikwama na familia.

Hii ni tofauti na ndugu zetu Waislam nina rafiki yangu mmoja katoa mahari laki nne na nusu, kamaliza ile sherehe ilifanyika nyumbani sidhani hata kama ilicost laki mbili, yaani kaoa kwa laki 6 kila kitu.

Sioni haja ya kuwalaumu vijana kuhusu kuoa, wazazi wanakomoa sana. Na kipindi iki mabinti wengi wako desperate sana juu ya kuolewa, yaani Kuna kundi kubwa la wanawake wanaofikisha 30 bila ya kuolewa, wanapitia msongo mkubwa mawazo, wazazi wapunguze mahari 300k-1000k, iwe ina range hapo ili vijana waoe kwa kasi, maana hata hizo mahari za million 3 au 4 mnazozichukua, zingewasaidia hao vijana ni kama vile mnawarudisha nyuma.
 
Suala la mahari ni tamaduni, si suala la dini fulani. Unapoemda kuoa chunguza tamaduni za jamii husika else jiandae kutoa moio
 
Kwahiyo unakisia au?

Maana ulitakiwa uende wakwambie hiyo mahari ni kiasi gani then ndio uwe na uhakika na mambo... halafu sijui wewe ni dhehebu gani ila roman wako na ndoa za mafungu, hizi unajiandikisha na unafunga ndoa usiku kwamfano kwenye mkesha wa Christmas or mwaka mpya na hata pasaka pale unaenda zako usiku unafunga ndoa unarudi zako home kulala wakati hata rafiki zako hawajui kama tayari umeoa, asubuhi unaamka na mkeo mnapika zenu ubwabwa kama ilivyo desturi ya sikukuu na mkitaka mnaalika rafiki zenu na ndugu wawili watatu mchezo unakua umeisha kihivo.

Kwahiyo kama uko na nia wewe oa tu mkuu, pesa nyingi sana hiyo na kama hauna mshenga niko hapa and niko vizuri kwenye kuomba punguzo la bei 😆😆😆 Kwahiyo watake utaoa wasitake utaoa hasa kama hofu yako ni juu ya mahari.
 
kuna mwamba kafunga ndoa wiki mbili zimepita katikat ya ibada ya kipaimara wasimamizi wa ubatizo wa mtoto wake ndio wakawa wasimamizi wa ndoa, ngoma imeisha bila hata ya kuvaa suti wala shera, ubwabwa wa kipaimara huo huo ukaliwa, kupanga ni kuchagua
 
Hizo gharama unazoziona ni mtu tu anaamu kujibebesha/kubebesha gharama. By the way mtu unaweza ukaoa tu kimyakimya tena bila hata kutoa mahari na maisha yakaendelea. Taratibu zingine ni za kujitungia tu
unafunga ndoa wewe na wadhamini wako ofisini kwa mchungaji na cheti unapewa, ukipenda kujionyesha ndio unaliwa kichwa
 
Hizo gharama unazoziona ni mtu tu anaamu kujibebesha/kubebesha gharama. By the way mtu unaweza ukaoa tu kimyakimya tena bila hata kutoa mahari na maisha yakaendelea. Taratibu zingine ni za kujitungia tu
Sisi kabila letu mkuu ukioa bila mahari, endapo ikitokea shida (ambayo hatuombei) utazika wewe Wala hawatokupa ushirikiano mpaka utoe mahari.
 
Mahari kuwa kubwa au ndogo haibebwi na dini (kwa mkristo) ya muhusika ni utaratibu wa familia husika. Pia ndoa za kikristo hazina gharama unaandikisha kanisani wataitangaza siku 21 then mnafunga.

Hizo mbwembwe zinazoambatana na ndoa yenyewe plus sherehe ni watu tuu na mbwembwe zao na sio lazima au ndo taratibu kwa ndoa za kikristo.

Uamuzi unabaki kwako unataka mbwembwe au simple
 
Back
Top Bottom