Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

Hamna hata uhusiano wa dini na gharama. Gharama ni uamuzi wako mwenyewe.
Nimesha shuhudia ndoa nyingi zinafungwa na wanandoa hawajavaa suti wala shela. Ukitaka uone hilo kwa wingi hudhuria ndoa za msamaha kwa kanisa katoliki. Gharama kubwa ni kujitakia mwenyewe tu kujitutumua mbele za watu.
Ushaongelea gharama za harusi mkuu, mtoa hoja anazungumzia mahari kudaiwa na upande wa mke kuwa kubwa kwa muoaji.
 
Mahari dada angu kuhusu ndoa nachukua ushauri wako.
 
Ushaongelea gharama za harusi mkuu, mtoa hoja anazungumzia mahari kudaiwa na upande wa mke kuwa kubwa kwa muoaji.
Sasa hiyo si ni mahali anapoenda kuoa. Hamna formula ya mahari kila nyumba ina taratibu zake. Na hiyo haihusiani na dini
 
Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..

Sasa kuna binti ambaye ninataka nimuoe, hapa na pale nikampa mimba, natoa huduma vizuri tu wala hana complain yoyote, nafikiri kwenda kwao huyo binti kujitambulisha nikamilishe process zote nimchukue huyo binti pamoja na kichanga changu, lakini kutokana na story za watu wanaokuzunguka naona kabisa hii million 3 ni ndogo, au yoote itaishia kwenye mahari, kwa hiyo wazo la kufungua biashara ni kama limekufa sasa, Mimi naona vijana wasikimbilie kuoa mapema wala kupata majukumu kama hakuna sehemu hata mbili uliposhika, ili iweze kukunyanyua ukikwama na familia.

Hii ni tofauti na ndugu zetu Waislam nina rafiki yangu mmoja katoa mahari laki nne na nusu, kamaliza ile sherehe ilifanyika nyumbani sidhani hata kama ilicost laki mbili, yaani kaoa kwa laki 6 kila kitu.

Sioni haja ya kuwalaumu vijana kuhusu kuoa, wazazi wanakomoa sana. Na kipindi iki mabinti wengi wako desperate sana juu ya kuolewa, yaani Kuna kundi kubwa la wanawake wanaofikisha 30 bila ya kuolewa, wanapitia msongo mkubwa mawazo, wazazi wapunguze mahari 300k-1000k, iwe ina range hapo ili vijana waoe kwa kasi, maana hata hizo mahari za million 3 au 4 mnazozichukua, zingewasaidia hao vijana ni kama vile mnawarudisha nyuma.
sema vizuri ww wasukuma na wamaasai ndo wanakomoa ila sio wakristo
 
Back
Top Bottom