Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
hao walikuwa wanabariki ndoa. Kubariki haina gharama labda utake tu kufanya ufaharikuna mwamba kafunga ndoa wiki mbili zimepita katikat ya ibada ya kipaimara wasimamizi wa ubatizo wa mtoto wake ndio wakawa wasimamizi wa ndoa, ngoma imeisha bila hata ya kuvaa suti wala shera, ubwabwa wa kipaimara huo huo ukaliwa, kupanga ni kuchagua
U.senge zaidi unayemuoa sio Bikira,kipindi wewe unatafuta pesa unahustle mwenzako anapigwa Doggystyle huko huku akiulilia mkuyengeNimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..
Sasa kuna binti ambaye ninataka nimuoe, hapa na pale nikampa mimba, natoa huduma vizuri tu wala hana complain yoyote, nafikiri kwenda kwao huyo binti kujitambulisha nikamilishe process zote nimchukue huyo binti pamoja na kichanga changu, lakini kutokana na story za watu wanaokuzunguka naona kabisa hii million 3 ni ndogo, au yoote itaishia kwenye mahari, kwa hiyo wazo la kufungua biashara ni kama limekufa sasa, Mimi naona vijana wasikimbilie kuoa mapema wala kupata majukumu kama hakuna sehemu hata mbili uliposhika, ili iweze kukunyanyua ukikwama na familia.
Hii ni tofauti na ndugu zetu Waislam nina rafiki yangu mmoja katoa mahari laki nne na nusu, kamaliza ile sherehe ilifanyika nyumbani sidhani hata kama ilicost laki mbili, yaani kaoa kwa laki 6 kila kitu.
Sioni haja ya kuwalaumu vijana kuhusu kuoa, wazazi wanakomoa sana. Na kipindi iki mabinti wengi wako desperate sana juu ya kuolewa, yaani Kuna kundi kubwa la wanawake wanaofikisha 30 bila ya kuolewa, wanapitia msongo mkubwa mawazo, wazazi wapunguze mahari 300k-1000k, iwe ina range hapo ili vijana waoe kwa kasi, maana hata hizo mahari za million 3 au 4 mnazozichukua, zingewasaidia hao vijana ni kama vile mnawarudisha nyuma.
hata kufunga ukiamuahao walikuwa wanabariki ndoa. Kubariki haina gharama labda utake tu kufanya ufahari
kuna pastar yeye alitangaza kabisa atafungisha ndoa hata kwa asiye na misosi. Misosi akale kwake na mkewe huko walikojiandalia chakula chao. Hataki mbwembwe na usumbufu wa michangohata kufunga ukiamua
Kwani we hujui?Siku hizi vijana Hawaoi, shida Nini sijui?
mle tiGo huyo.Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..
Sasa kuna binti ambaye ninataka nimuoe, hapa na pale nikampa mimba, natoa huduma vizuri tu wala hana complain yoyote, nafikiri kwenda kwao huyo binti kujitambulisha nikamilishe process zote nimchukue huyo binti pamoja na kichanga changu, lakini kutokana na story za watu wanaokuzunguka naona kabisa hii million 3 ni ndogo, au yoote itaishia kwenye mahari, kwa hiyo wazo la kufungua biashara ni kama limekufa sasa, Mimi naona vijana wasikimbilie kuoa mapema wala kupata majukumu kama hakuna sehemu hata mbili uliposhika, ili iweze kukunyanyua ukikwama na familia.
Hii ni tofauti na ndugu zetu Waislam nina rafiki yangu mmoja katoa mahari laki nne na nusu, kamaliza ile sherehe ilifanyika nyumbani sidhani hata kama ilicost laki mbili, yaani kaoa kwa laki 6 kila kitu.
Sioni haja ya kuwalaumu vijana kuhusu kuoa, wazazi wanakomoa sana. Na kipindi iki mabinti wengi wako desperate sana juu ya kuolewa, yaani Kuna kundi kubwa la wanawake wanaofikisha 30 bila ya kuolewa, wanapitia msongo mkubwa mawazo, wazazi wapunguze mahari 300k-1000k, iwe ina range hapo ili vijana waoe kwa kasi, maana hata hizo mahari za million 3 au 4 mnazozichukua, zingewasaidia hao vijana ni kama vile mnawarudisha nyuma.
Baas..weka laminationMahari kuwa kubwa au ndogo haibebwi na dini (kwa mkristo) ya muhusika ni utaratibu wa familia husika. Pia ndoa za kikristo hazina gharama unaandikisha kanisani wataitangaza siku 21 then mnafunga.
Hizo mbwembwe zinazoambatana na ndoa yenyewe plus sherehe ni watu tuu na mbwembwe zao na sio lazima au ndo taratibu kwa ndoa za kikristo.
Uamuzi unabaki kwako unataka mbwembwe au simple
Yeah...Kuna ndoa na Harusi.
Kama hujajipanga, usipelekeshwe na sauti za mashabiki uwanjani wakati wewe ndo mwenye mpira na kipa kashaanguka.
Tatizo mbataka kuoa matawi ya juu wakati wewe ni kapuku! Kaoe masikini mwenzako ambaye mahari ni kununua ubani wa jero unapewa mke!Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..
Sasa kuna binti ambaye ninataka nimuoe, hapa na pale nikampa mimba, natoa huduma vizuri tu wala hana complain yoyote, nafikiri kwenda kwao huyo binti kujitambulisha nikamilishe process zote nimchukue huyo binti pamoja na kichanga changu, lakini kutokana na story za watu wanaokuzunguka naona kabisa hii million 3 ni ndogo, au yoote itaishia kwenye mahari, kwa hiyo wazo la kufungua biashara ni kama limekufa sasa, Mimi naona vijana wasikimbilie kuoa mapema wala kupata majukumu kama hakuna sehemu hata mbili uliposhika, ili iweze kukunyanyua ukikwama na familia.
Hii ni tofauti na ndugu zetu Waislam nina rafiki yangu mmoja katoa mahari laki nne na nusu, kamaliza ile sherehe ilifanyika nyumbani sidhani hata kama ilicost laki mbili, yaani kaoa kwa laki 6 kila kitu.
Sioni haja ya kuwalaumu vijana kuhusu kuoa, wazazi wanakomoa sana. Na kipindi iki mabinti wengi wako desperate sana juu ya kuolewa, yaani Kuna kundi kubwa la wanawake wanaofikisha 30 bila ya kuolewa, wanapitia msongo mkubwa mawazo, wazazi wapunguze mahari 300k-1000k, iwe ina range hapo ili vijana waoe kwa kasi, maana hata hizo mahari za million 3 au 4 mnazozichukua, zingewasaidia hao vijana ni kama vile mnawarudisha nyuma.
Kama unashindwa kumudu mahari uwezi mudu changamoto cha mke! Hata hivyo awa vijana shida ya nini? Kuna wanawake wa bure unachukua unaweka ndani bila kutoa hata mia mbovu!Kwangu mabinti zangu huwa siwauzi na mahari ni Tshs 7,000 (elfu saba tu)
Umemaliza! Uzi ufungwe!Dunia haina huruma na watu maskini
Tatizo umaskini wakati hao wazazi na ndugu wa mke ndiyo watakaofaidi hiyo kaya Mpya! It’s unfair kwa kijana wa kiume kutozwa mahari kubwaKama unashindwa kumudu mahari uwezi mudu changamoto cha mke! Hata hivyo awa vijana shida ya nini? Kuna wanawake wa bure unachukua unaweka ndani bila kutoa hata mia mbovu!