Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

Ushaongelea gharama za harusi mkuu, mtoa hoja anazungumzia mahari kudaiwa na upande wa mke kuwa kubwa kwa muoaji.
 
Mahari dada angu kuhusu ndoa nachukua ushauri wako.
 
Ushaongelea gharama za harusi mkuu, mtoa hoja anazungumzia mahari kudaiwa na upande wa mke kuwa kubwa kwa muoaji.
Sasa hiyo si ni mahali anapoenda kuoa. Hamna formula ya mahari kila nyumba ina taratibu zake. Na hiyo haihusiani na dini
 
sema vizuri ww wasukuma na wamaasai ndo wanakomoa ila sio wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…