edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Sio wakristu sema WaafrikaHivi wakristo mahali wanapanga wazazi au anaeolewa ndo anataja mahari??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wakristu sema WaafrikaHivi wakristo mahali wanapanga wazazi au anaeolewa ndo anataja mahari??
Kuna arusi za kiislam zishafanyika kubwa sana za wakiristo zinasubiri.Jiko la kiislamu ni cheap kuanzia mahari mpka harusi lakini unakuta harusi za kikristo ndiyo zinaongoza kwa kuchangishana michango ya harusi unakuta harusi inagharimu milioni 10+ afu wakitoka apo wanapanga chumba kimoja na sebule jumla kodi 100k kwa mwezi na zawadi zao za mabeseni na vijiko walivyopata siku ya harusi [emoji23][emoji23][emoji23]mimi nefa nefa kufanya hivyo japo home ni wakristo ndani nje
Hata kuachana ni cheap hivyo hivyo, in a blink of an eye.Mimi bado naziheshimu ndoa za waislam very cheap and nzuri na mwanamke kama amekulia kwenye dini hutakuja kujuta sema misimamo yao ya tofauti za didi otherwise i still opting to muslam ladies
Rebeka akiolewa na Isaya mahari ilitolewaSijui chochote zaidi kuwa swala la mahari halipo specific ndani ya Biblia.
tena mahari ya million tatu mwanaume anaghairi mpaka kuoa?heshima iko wapi?miaka 37 huwezi kulipa mahari ya 3M?Huwezi lipa mahari uwezo huna usioe nenda kawe padri wa katoliki
Lofa hatakiwi kuoa atasumbua watu na mke kwa ulofa wake
Kipimo cha kuonyesha mwanaume.yuko fit sio tu ule mkuki wake ulioko ndani katikati ya suruali yake ndani ni uwezo wa kulipa mahari
aibu nimeona mimi yaani ameiabisha nchi bora usingeleta ujinga wako hapaKwamba jamaa yako kabadilishwa dini na mbususu tena ya form four aiseee na unakuja kujisifia hapa. Si angebadili tu tangu mwanzo kuliko kutaka kujibebesha mganda asiyemuweza.
Ukishataja mahali huzungumzii tena ukristo , umevuka hizo ni Mila na desturi za makabilaRafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).
Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.
Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.
Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.
Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).
Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.
Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).
Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.
Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.
NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.
Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.
Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Tatizo la Ukristo si haya uliyo yasema shida Ukristo hauna mafundisho au muongozo wa kiimani juu ya suala la Ndoa. Hapa ndipo tatizo lililopo.Moja ya vitu vinavyosingiziwa ukristo ni swala la mahari. Ukristo haupo specifically kuhusu insu ya mahari..ukristo ni mtu kumuacha Baba yake na Mama yake, swala mahari kiasi hiki ama kile ni tamaa za wakristo si ukristo.
Hapa ndipo utaona shida ya ukristo kwani ni dini ambayo haiendani na umbile la mwanadamu. Kwanini msiachane kama mmeshindwana ? Hii sheria aliwafundisha Yesu ? Kwa ninavyo wajua mitume hawawezi kufundisha ujinga kama huu.Na kuachana ni cheap sana kwenye uislamu
Ukristo expensive na kuachana hakupo
Hapa msitake kuwadanganya watu. Hayo mapokeo katika jamii lazima yarasimishwe na dini yaani hapo ilitakiwa Yesu awe amefundisha suala la Mahari na ndoa kwa ujumla.Vizuri, ulichokiandika ndicho mleta mada alipaswa kukijua kabla hajaleta uzi wake.
Mapokeo yamewathiri wakristo especially insu ya mahari.
Ulitaka afundishe nini ambacho unahisi hakijafundishwa?. unakusudia kusema Yesu alipaswa afundishe kiwango cha mahari ama nini hasa?.Hapa msitake kuwadanganya watu. Hayo mapokeo katika jamii lazima yarasimishwe na dini yaani hapo ilitakiwa Yesu awe amefundisha suala la Mahari na ndoa kwa ujumla.
Ndoa ni jambo la kiibada tena kongwe, kwahiyo ni muhali kwenye dini kutokuwa na mafundisho rasmi juu ya ibada hii adhwimu.
Unataka kusema nini hasa?Hapa ndipo utaona shida ya ukristo kwani ni dini ambayo haiendani na umbile la mwanadamu. Kwanini msiachane kama mmeshindwana ? Hii sheria aliwafundisha Yesu ? Kwa ninavyo wajua mitume hawawezi kufundisha ujinga kama huu.
Asikwambie mtu ndoa ambazo zimefunwa kwa mahari ndogo ndiyo zina baraka.
Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).
Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.
Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.
Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari).
Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.
Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).
Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.
Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).
Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.
Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.
NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.
Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.
Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Sina maana kuwa nimedharau fani yake ila dharau zilianza kwa walezi wake kudharau kiasi cha pesa nilicho nacho, utamaduni wengi wa wakristo hupanga mahari kubwa kutokana na kiwango cha elimu walicho msomesha binti yao,Kwa hiyo huyo binti asingekuwa fundi nguo; ungetoa hicho kiasi?
Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,Wewe siyo mkristo labda huwa unakwenda kuangalia mademu tu church.
Kabisa linahusika vipi na mahari? Mambo ya kifamilia kabisa linaingiaje?
Atoe muongozo wa Mahari na aseme lipi ni bora katika mahari, kutaja kiwango si jambo la msingi, ila kanuni na muongozo juu ya mahari na ndoa ndiyo jambo la msingi zaidi. Kukosekana kwa mafundisho ya Ndoa kutoka kwa Yesu ni ishara ya kuwa Ukristo haujatoka kwa Yesu.Ulitaka afundishe nini ambacho unahisi hakijafundishwa?. unakusudia kusema Yesu alipaswa afundishe kiwango cha mahari ama nini hasa?.
Unajua mjadala ni mahari na si Ndoa?.