Wakristo mnatuwakilisha vizuri sana kwenye mwendokasi hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linahitaji ukombozi

Wakristo mnatuwakilisha vizuri sana kwenye mwendokasi hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linahitaji ukombozi

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Wakristo mna mbingu yenu nyie watu,

Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.


 
Mimi ni mkristo Tena mkatoliki ila hii tabia ya kuanza kuimba nyimbo za dini kwenye magari ya mwendokasi siiungi mkono. Mamlaka zidhibiti Haraka sana
 
Kwahiyo kumbe mtaka kuandamana kwakuwa Samia muiskamu?
Kama mnahitaji kufanikiwa kweli basi acheni chuki za kidini .
 
Waandamanaji watapungua sanaa kama kati yao kutakua na ukristo na uislam
 
Sijaona wakiimba CCM mbele kwa mbele au hiyo pawa ingawa pia wakifanya hivyo watakua wanakosea.
Nadhani kama kuna waislamu au wahindu nk kwenye usafiri na hawajawahi kulalamika kuhusu hizo tenzi za rohoni sioni kama kuna kosa Iwapo kuna watu wamelalamika ni sawa sio sawa.

Niliwaahi kupanda gari Dom to Arusha(MACHAME) Watu walikuwa wanaimba na kucheza njia nzima wimbo wa Darrasa wa maisha na mziki sikuona shida maana njia yote ilichangamka sana
 
Back
Top Bottom