Wewe punguani umeelewa nilichokiandika? Au unatafuta bwana kwa nguvu? Acha kujitongozesha bwabwa wewe,
Nimeuliza nchi inakombolewa kwa kuimba nyimbo kwenye usafiri wa umma? Si mlisha soma novena? Iliishia wapi?
Mimi sio shabiki wa haya mambo ya kisiasa ila mkileta udini kwenye mambo haya nawaona ni kama umechanganyikiwa na kuishiwa hoja,huoni huo ujinga mnaoufanya ni kuwagawa watu badala ya kuwaunganisha watu? Kuna mapunguani wenzako wagalatia wameanza kuwadhihaki waislamu kisa wagalatia kuimba mapambio,
Huoni kua hata kama kuna waislamu waliokua wanawasapoti watajiondoa?