Kwa hiyo unachokiona hapo kinafanana na hutu vs tutsi, South Africa apartheid, colonialism ama hata black vs white AmericansThe manifestation of Mfumo Kristo.
wakiimba tenzi na nyie si mna kaswida? Kaimbeni mtapata wa kuitikaKwahiyo Novena imeshindwa kufanya kazi ndio nyie makafiri mmeamua kuja na hizi ngonjera kwenye usafiri wa umma?
Toka lini ukombozi ukaletwa kwa nyimbo na mapambio? Nyie wagalatia huu ujinga wa kuwagawa watu kwa misingi ya udini ndio mnawagawa watu,
Kwa mtu mwenye akili timamu,huu haukua muda wa kuwagawa watu kwa misingi ya udini.
Wewe punguani umeelewa nilichokiandika? Au unatafuta bwana kwa nguvu? Acha kujitongozesha bwabwa wewe,wakiimba tenzi na nyie si mna kaswida? Kaimbeni mtapata wa kuitika
Hujatekwa tu ?
Wewe punguani hujawahi kumiliki akili hata siku moja,wagalatia wenzako wanawadhihaki waislamu kisa hao makafiri kuimba hizo ngonjera kwenye usafiri wa umma,wanadai eti hivyo ndio wanaikomboa nchi kwa kuimba,Watu wanajifariji kwa tenzi mwingine anakereka wakati naye ana kaswida yake, si aimbe? Acheni watu wajifariji wenyewe kama hawana wa kuwafariji
Kabisa.Kwahiyo Novena imeshindwa kufanya kazi ndio nyie makafiri mmeamua kuja na hizi ngonjera kwenye usafiri wa umma?
Toka lini ukombozi ukaletwa kwa nyimbo na mapambio? Nyie wagalatia huu ujinga wa kuwagawa watu kwa misingi ya udini ndio mnawagawa watu,
Kwa mtu mwenye akili timamu,huu haukua muda wa kuwagawa watu kwa misingi ya udini.
Nyimbo ya darasa Haina mrengo wa kidini. Tenzi ni nyimbo za dini zinachochea mgawanyiko na siyo muunganiko.Nadhani kama kuna waislamu au wahindu nk kwenye usafiri na hawajawahi kulalamika kuhusu hizo tenzi za rohoni sioni kama kuna kosa Iwapo kuna watu wamelalamika ni sawa sio sawa.
Niliwaahi kupanda gari Dom to Arusha(MACHAME) Watu walikuwa wanaimba na kucheza njia nzima wimbo wa Darrasa wa maisha na mziki sikuona shida maana njia yote ilichangamka sana
Mbona Yanga huwa inaswaliwa msikitini tu na hujawahi kulalamika??Mimi ni mkristo Tena mkatoliki ila hii tabia ya kuanza kuimba nyimbo za dini kwenye magari ya mwendokasi siiungi mkono. Mamlaka zidhibiti Haraka sana
Ingekuwa waislamu ndiyo wanafanya hivyo basi kelele za udini zingeanza kusikika na kuwaona waislamu hawana akiliWakristo mna mbingu yenu nyie watu,
Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.
View attachment 3493247
Hebu nipe uhusiano wa kimantiki kati ya hizo nyimbo wanazoimba hapo na kuandamana?Kwahiyo kumbe mtaka kuandamana kwakuwa Samia muiskamu?
Kama mnahitaji kufanikiwa kweli basi acheni chuki za kidini .
Binti unaposema "Nyie watu" unakua una maanisha nini? Unawaongelea watu gani?Aisee nyie watu mna uwezo mdogo sana wa kufikiri, hebu rudini shule kwanza wapuuzi nyie.
Jambo zuri kuweka uwepo wa Mungu.Wakristo mna mbingu yenu nyie watu,
Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.
View attachment 3493247